Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Mie ndio ni mchoyo.Kuna kingine unataka?Wee utakua mchoyo tu ulitaka tusiongeze uzoefu au unazani ameshindwa kumwambia?
Na huenda niutunzi tu mana haya mambo yapo

SitakiMie ndio ni mchoyo.Kuna kingine unataka?
achà kumuoñea wivu Dada ako,utamtia muwa wewe?Habari wanaJF,
Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.
Kwako shemeji Mkurya,
Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu yupo kwa ulichomfanyia dada angu. Nataka nikupe taarifa tu kuwa alopewa kapewa na kama kikitoka kimoja huwa vinarudi zaidi ya kumi.
Baada ya kumuoaa dada angu ukakaribishwa home ukawa unalelewa zaidi ya mimi mdogo wa mtu. Familia yetu ilikutunza kama mtoto mchanga mpaka vocha ukawa unanunuliwa ila shemeji shukrani huna, ulijivika ngozi ya kondoo dada angu kakuogesha ukatakata na sasa una shine mjini umejisahau.
Wewe wa kumletea dada angu mke mwingine ndani wakati nyumba ni ya dada angu na kila kitu ni cha kwake? Yaani aiseee ulichokifanya kimeumiza saana familiaaa yetu.
Umesahau baba na mama ndo walokulipia ada yako ya masters baada ya kujifanya wewe ni mtu wa shida sana? Umesahau mama alikununuliaa kila kitu ili uonekane na wewe mwanaume wa mjini? Daah shemeji hakika umefika mjini nakuaandikia kwa kuwa najuaa ujumbe utakufikiaa.
Kupata kazi usidhani ndo umeyapatiaa maisha na kuleta jeuri. Kumbuka ulikuwa unanunuliwaa mpka boxer manake ulikuwa hujui boxer ni nini zaidi ya kuvaaa machupi mtu mzima? Majibu yako na matusi yameisikitisha familiaa na tulichoamua ni kuwa dada angu hatorudi tena kwako na sisi hatutaki kukuona tena na mwanao hutakaa umuone tena wala mkeo hutakaa umsikie tena. Jiandae kwa talaka ya kanisani.
Mwanaume gani wewe ndoa haina miaka 3 ushaingiza mke mwingine ndani? Kwanza tulikukataaa familiaa nzimaa ulivyokuja kama msukule ila dada angu na kiherehere chake akakung'ang'aniaaa na kujifanya kakupenda wewe tu.
Sasa hatma yako imefika, hatukutaki home wala hatutaki kukusikiaa from now onwards, usije niuliaa dada angu akati tupo wawili tu kama macho, ila kumbuka shida hazina mwisho kila kitu chetu twaja chukuaaa shemeji usiyejielewaaa.
From your brother inlaw,
Jerome j.k
Mh!pole mkuu pole dada wa mkuu.... aisee ndiyo maana sibadili principle silei nalelewa hutaki sepa .. sijui mapenzi mapenzi my foot huna sepa ukipata njoo tutumie
umeanza
Huwa napenda!umeanza
haya karibuHuwa napenda!
Picha mkuu...ha
hapana aisee kwa hili haitawezekana trust me yan mwaka mmoja kashakaa na mwanamke mwingine na ana mimba tayari while wa dada angu ana mwaka alafu bado tumsamehe?alikuja akasema hanaga wazazi alilelewaa kama mtoto dada angu hawezi tena kapata kai nzuri but hajatupunguzia kitu zaidi ni kuwa kampiga teke chura my sisy bado mzuri aiseeeee
Ujumbe umemfikiaHabari wanaJF,
Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.
Kwako shemeji Mkurya,
Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu yupo kwa ulichomfanyia dada angu. Nataka nikupe taarifa tu kuwa alopewa kapewa na kama kikitoka kimoja huwa vinarudi zaidi ya kumi.
Baada ya kumuoaa dada angu ukakaribishwa home ukawa unalelewa zaidi ya mimi mdogo wa mtu. Familia yetu ilikutunza kama mtoto mchanga mpaka vocha ukawa unanunuliwa ila shemeji shukrani huna, ulijivika ngozi ya kondoo dada angu kakuogesha ukatakata na sasa una shine mjini umejisahau.
Wewe wa kumletea dada angu mke mwingine ndani wakati nyumba ni ya dada angu na kila kitu ni cha kwake? Yaani aiseee ulichokifanya kimeumiza saana familiaaa yetu.
Umesahau baba na mama ndo walokulipia ada yako ya masters baada ya kujifanya wewe ni mtu wa shida sana? Umesahau mama alikununuliaa kila kitu ili uonekane na wewe mwanaume wa mjini? Daah shemeji hakika umefika mjini nakuaandikia kwa kuwa najuaa ujumbe utakufikiaa.
Kupata kazi usidhani ndo umeyapatiaa maisha na kuleta jeuri. Kumbuka ulikuwa unanunuliwaa mpka boxer manake ulikuwa hujui boxer ni nini zaidi ya kuvaaa machupi mtu mzima? Majibu yako na matusi yameisikitisha familiaa na tulichoamua ni kuwa dada angu hatorudi tena kwako na sisi hatutaki kukuona tena na mwanao hutakaa umuone tena wala mkeo hutakaa umsikie tena. Jiandae kwa talaka ya kanisani.
Mwanaume gani wewe ndoa haina miaka 3 ushaingiza mke mwingine ndani? Kwanza tulikukataaa familiaa nzimaa ulivyokuja kama msukule ila dada angu na kiherehere chake akakung'ang'aniaaa na kujifanya kakupenda wewe tu.
Sasa hatma yako imefika, hatukutaki home wala hatutaki kukusikiaa from now onwards, usije niuliaa dada angu akati tupo wawili tu kama macho, ila kumbuka shida hazina mwisho kila kitu chetu twaja chukuaaa shemeji usiyejielewaaa.
From your brother inlaw,
Jerome j.k
Bro mambo ya mapenzi yaache tu watapigiana simu kesho kutwa utakuta dada yako karud kwa jamaa tena wana mtoto?Habari wanaJF,

Jambo blue is the colour?Ila mi niliwahi kuwaambia wadogo zangu, yani siku ukiwa na boyfriend sijui akanyanyua mkono kukupiga..walai kama unampenda sanaaaa basi hakikisha sifahamu la sivyo sitojali ni baunsa kiasi gani ila nita deal na yeye sawia!!!
Somehow nakuelewa..ila ndo maisha...think positively, kila jambo lina jema lake! (ingawa ni ngumu kukubali)
My foot!!,nimeipenda.pole mkuu pole dada wa mkuu.... aisee ndiyo maana sibadili principle silei nalelewa hutaki sepa .. sijui mapenzi mapenzi my foot huna sepa ukipata njoo tutumie
Ndugu yangu tumia busara zaidi ktl hili swala, siku dada yako na shemeji yako watakaporudiana..., nafikiri utabaki mdomo wazi,Habari wanaJF,
Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.
Kwako shemeji Mkurya,
Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu yupo kwa ulichomfanyia dada angu. Nataka nikupe taarifa tu kuwa alopewa kapewa na kama kikitoka kimoja huwa vinarudi zaidi ya kumi.
Baada ya kumuoaa dada angu ukakaribishwa home ukawa unalelewa zaidi ya mimi mdogo wa mtu. Familia yetu ilikutunza kama mtoto mchanga mpaka vocha ukawa unanunuliwa ila shemeji shukrani huna, ulijivika ngozi ya kondoo dada angu kakuogesha ukatakata na sasa una shine mjini umejisahau.
Wewe wa kumletea dada angu mke mwingine ndani wakati nyumba ni ya dada angu na kila kitu ni cha kwake? Yaani aiseee ulichokifanya kimeumiza saana familiaaa yetu.
Umesahau baba na mama ndo walokulipia ada yako ya masters baada ya kujifanya wewe ni mtu wa shida sana? Umesahau mama alikununuliaa kila kitu ili uonekane na wewe mwanaume wa mjini? Daah shemeji hakika umefika mjini nakuaandikia kwa kuwa najuaa ujumbe utakufikiaa.
Kupata kazi usidhani ndo umeyapatiaa maisha na kuleta jeuri. Kumbuka ulikuwa unanunuliwaa mpka boxer manake ulikuwa hujui boxer ni nini zaidi ya kuvaaa machupi mtu mzima? Majibu yako na matusi yameisikitisha familiaa na tulichoamua ni kuwa dada angu hatorudi tena kwako na sisi hatutaki kukuona tena na mwanao hutakaa umuone tena wala mkeo hutakaa umsikie tena. Jiandae kwa talaka ya kanisani.
Mwanaume gani wewe ndoa haina miaka 3 ushaingiza mke mwingine ndani? Kwanza tulikukataaa familiaa nzimaa ulivyokuja kama msukule ila dada angu na kiherehere chake akakung'ang'aniaaa na kujifanya kakupenda wewe tu.
Sasa hatma yako imefika, hatukutaki home wala hatutaki kukusikiaa from now onwards, usije niuliaa dada angu akati tupo wawili tu kama macho, ila kumbuka shida hazina mwisho kila kitu chetu twaja chukuaaa shemeji usiyejielewaaa.
From your brother inlaw,
Jerome j.k
Subiria ukue uone. ...Aiseee mie sijaumbwa na huo uoga kabisa ukinikosea nakwambia live lakini haya mambo yakumuandikia ujumbe ilihali una uwezo wa kumwambia live.Kama mtu mlimsaidia kihivyo hana fadhila na haukupaswa kumficha ficha wewe mwanaume unaongea nae kiume unamwambia ya moyoni ila hizi mambo tuachie watoto wa kike japo mie pia nisingeweza kumuandikia ujumbe ningemwambia live bila chenga
naona bado ni mdogo ki umri kuelewa mambo haya. mwisho wa tukio hili anaweza akajifunza kitu mwache tu.We jamaa wewe kuwa na akiba ya maneno maana mapenzi ni kati yake na dada yako sasa naona mnayafanya kama ni kati yake na familia yenu.