Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Achana na mambo ya dada yako kama kweli wewe ni mwanaume.
Ndio maana wanaume tunazidi kudharaulika siku hizi kwa mambo kama haya, we mwanaume unaanza kukomaa na mambo ya dada yako ooh sijui mume wake kachepuka wewe inakuhusu nini?
Vp dada yako angechepuka na shemeji yako akwambie ungefanya nini?
Kua mwanaume usiwe mtoto wa kiume
ndo maana akawa dada angu na sio dada ako mkuu tupo wawili tu so nilazimaa nimuangalie na kumlinda dada angu
 
YAN SASA HAMNA WATU WANAOCHAMBA KM WANAUME AISEE....WE UNAWEZA KUJIONA UNAONGEA KUMBE UNACHAMBA
Halafu siku hizi eti imekuwa kawaida kisa akina soudy eti wamefanya umbeya uwe jambo la kawaida hadi mwanaume anakuwa proud kuwa mbea
 
ndo maana akawa dada angu na sio dada ako mkuu tupo wawili tu so nilazimaa nimuangalie na kumlinda dada angu
Huwezi kumlinda mwanamke aliyepevuka.
Yaani umlinde dada yako kwenye mambo yake ya mahusiano? Acha mambo ya kike.

Ukitaka kumsaidia dada yako subiri usikie katekwa na vibaka au kuna mtu anataka kumdhurumu fedha au mali zake hayo mengine achana nayo.
 
Wanaume wa Dar bana, kila kitu ni kulia lia tu. Yaani nilikuwa sijajua kama alieleta mada ni me/ke, mpaka nilipoona hitimisho.
 
Huwezi kumlinda mwanamke aliyepevuka.
Yaani umlinde dada yako kwenye mambo yake ya mahusiano? Acha mambo ya kike.

Ukitaka kumsaidia dada yako subiri usikie katekwa na vibaka au kuna mtu anataka kumdhurumu fedha au mali zake hayo mengine achana nayo.
Mkuu ndio maana amekuja kulia lia huku JF, hawezi kumwambia mubashara, shemeji mkurya haya aliyoandika hapa.
 
Mkuu ndio maana amekuja kulia lia huku JF, hawezi kumwambia mubashara, shemeji mkurya haya aliyoandika hapa.

Kwanza mi ndo niwe shemeji yake eti nimechepuka anakuja shemeji wa kiume kuniuliza mambo ya kijinga ooh shemeji sio vizuri sjui nini na nini
Kudadeki namuuliza kwa hiyo unataka nawewe nikutoe rinda au
 
Back
Top Bottom