Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Lkn kaka kumbuka ulisema mlikuwa hamumtaki kama familia amuoe dadako pale mwanzo hapo ndipo mlifanya mistake jamaa aliligundua hilo,mlichofanya ni sawa na mwanaume kumsomesha binti hadi chuo kikuu akitaraji amuoe baada ya kumaliza masomo,ndicho kilichotokea alifanya vile ili apate anachokitaka jamaa alitambua kuwa mlimkataa na pengine dadako ndiye aliyekuwa akimwambia kila kitu mlichokuwa mnakisema juu yake
 
Unajua wamama wanaelezana sasa hadi mamaako anamnunulia vitu jamaa kuna mapigo dada kamweleza mamayo, nahapa unatueleza mamayo kamnunulia vitu, kwahio mchunguze mamayo nae maana size ya boxa kaijuaje
 
Kama dada 'mashine mbovu' awe nae tu sababu mlimsadia kimaisha?
Jamaa kaonja kwingine kakuta mashine tight na huo ndiyo uanaume wa maamuzi magumu
Nyie jaribuni kuongea na dada yenu hasa kwenye ushauri wa mazoezi ili papuchi irudi kuwa tight sababu wakizaa huwa wanajiachia sana
 
Hacha umbea mkuu hayo yapo hao watarudiana siku c nyingi utabaki na uzi wako umezubaa humu
 
Hata ka mlimsaidia hivyo isiwe sababu ya kumdharirisha hivyo Dada ako ndo alipenda unajuaje kama alikuwa hampi haki yake. Chunguza kwanza hamna mwanaume anae mwacha mke bila sababu. Na huenda maneno yenu ya kumdhalilisha ma kutomtunzia siri huenda vimemchosha kaamua asepe.

Umeongea maneno yako umenikumbusha mbali sana hadi nimejisikia vibaya sana maana zipo familia wakiwa na uwezo zaidi yako basi kila watakachofanya kwako utakisikia mtaan ooh ile nguo na suluari tumemnunulia sisi hata gari ni ya Dada yetu. Co vzur hata kama ningekuwa mm namuacha tu kwani shi ngapi maana maneno yako yana reflect mlivyokuwa mnamsema au mnamfanyia.
 
Mambo ya ndoa ni ya watu wawili, wewe huwezi ukaua ndoa yao. halafu kwa haraka haraka niimegundua familia yenu ina tabia ya kujipendekeza kwa matarajio ya kulipwa fadhila. ningetamani kama pande zote zingekuwa hapa na kujibu hoja kwa hoja mziki ungekuwa mtamu sana, maneno yako ni one sided sana! pengine kwa msaada mlio msaidia jamaa ndo kimekuwa chanzo cha masimango na kushusha uanaume wake eti tu kwa kuwa mlimsaidia!
 
Huyu mwenye uzi huu ni mvulana kumbe! Nilikuwa najua ni kasichana.
 
ha


hapana aisee kwa hili haitawezekana trust me yan mwaka mmoja kashakaa na mwanamke mwingine na ana mimba tayari while wa dada angu ana mwaka alafu bado tumsamehe?alikuja akasema hanaga wazazi alilelewaa kama mtoto dada angu hawezi tena kapata kai nzuri but hajatupunguzia kitu zaidi ni kuwa kampiga teke chura my sisy bado mzuri aiseeeee
Wasikuzingue mlete kwangu hautoumia tena
 
hahahahhaha aiseeeee hajawajarudiaaaa my sister kasha move on though jama alikuwaa anapiga piga simu akastopishwaa dada angu naye akastopishwaa kuongeaa naye,katoto kake nako tupo naye na amepewaa jinaa la baba which means baba ake ha exist end of story
 
Mtoa mada umenichanganya kuna sehem inaonexha unajua hadi chupi za shemeji ako, hapo ndo cjapaelewa vzr
 
Habari wanaJF,

Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.

Kwako shemeji Mkurya,

Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu yupo kwa ulichomfanyia dada angu. Nataka nikupe taarifa tu kuwa alopewa kapewa na kama kikitoka kimoja huwa vinarudi zaidi ya kumi.

Baada ya kumuoaa dada angu ukakaribishwa home ukawa unalelewa zaidi ya mimi mdogo wa mtu. Familia yetu ilikutunza kama mtoto mchanga mpaka vocha ukawa unanunuliwa ila shemeji shukrani huna, ulijivika ngozi ya kondoo dada angu kakuogesha ukatakata na sasa una shine mjini umejisahau.

Wewe wa kumletea dada angu mke mwingine ndani wakati nyumba ni ya dada angu na kila kitu ni cha kwake? Yaani aiseee ulichokifanya kimeumiza saana familiaaa yetu.

Umesahau baba na mama ndo walokulipia ada yako ya masters baada ya kujifanya wewe ni mtu wa shida sana? Umesahau mama alikununuliaa kila kitu ili uonekane na wewe mwanaume wa mjini? Daah shemeji hakika umefika mjini nakuaandikia kwa kuwa najuaa ujumbe utakufikiaa.

Kupata kazi usidhani ndo umeyapatiaa maisha na kuleta jeuri. Kumbuka ulikuwa unanunuliwaa mpka boxer manake ulikuwa hujui boxer ni nini zaidi ya kuvaaa machupi mtu mzima? Majibu yako na matusi yameisikitisha familiaa na tulichoamua ni kuwa dada angu hatorudi tena kwako na sisi hatutaki kukuona tena na mwanao hutakaa umuone tena wala mkeo hutakaa umsikie tena. Jiandae kwa talaka ya kanisani.

Mwanaume gani wewe ndoa haina miaka 3 ushaingiza mke mwingine ndani? Kwanza tulikukataaa familiaa nzimaa ulivyokuja kama msukule ila dada angu na kiherehere chake akakung'ang'aniaaa na kujifanya kakupenda wewe tu.

Sasa hatma yako imefika, hatukutaki home wala hatutaki kukusikiaa from now onwards, usije niuliaa dada angu akati tupo wawili tu kama macho, ila kumbuka shida hazina mwisho kila kitu chetu twaja chukuaaa shemeji usiyejielewaaa.

From your brother inlaw,

Jerome j.k


Yote uliyoandika ni sawa. Ila mambo ya kurudiana au kutorudiana usiingilie kabisa.

Never say never.
 
i wish nihdithie ilivyokuwa yaan nilikuwa nipo chuo kimoja na yy mimi undergraduates yy ndo akawa anasomea masters mimi nanyima elaa naambiwa tumempa shemeji yako mama alikuwa kamfanmya mtoto wake kume ni joka la mdimu
Inauma sana
Msameheni tu maisha yasonge
 
hahahahhaha aiseeeee hajawajarudiaaaa my sister kasha move on though jama alikuwaa anapiga piga simu akastopishwaa dada angu naye akastopishwaa kuongeaa naye,katoto kake nako tupo naye na amepewaa jinaa la baba which means baba ake ha exist end of story


sorry sijakuelewa vyema. Sasa mmemkatili na mtoto haki ya kuwa na uhusiano na baba yake? au huyu shemeji ndo hataki kumjua mwanaye..maana kama kamkataa mwanaye ni sawa mlivyofanya, la sivyo, sio vizuri kabisa!
 
Back
Top Bottom