Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Shemeji ulichofanya ipo siku tu

he
Mimi nakushauri achana na mambo ya dada na shemeji yako, wanawake ni viumbe wasiotabirika,ipo siku utasikia kuwa dada yako ana mimba ya huyo shemeji yako huyohuyo.
Sasa ww fanya mambo yako tu hayo waachie wenyewe.

Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
al
aiseeee mbonaaa tushamzikaa siku nyingi huyo shemeji hae xist dada angu ndo hataki kumsikiaaa mama ndo kabisaaa hataki kumuona ishort my sister kasha move on naye ana mtu wake mwingine na yy aendeleee na yule though alikuwa ana piga pigaa simu now amechange number
 
Kwani wewe dada yako ulimuomba game akakubania au? Maana naona unatokwa povu wakati wewe ni mwanaume, mapenzi ya dada yako yanakuhusu nini wakati wewe ni mwanaume?

Acha kutuabisha, we unamponda shemeji yako wakati aliyemkubali ni dada yako na usiku jamaa anamshughulikia kikamilifu ndio maana akawa tayari kumpa hela na kumuweka mjini.
Sas unakuja mbio mbio jf unamponda mwanaume mwenzako we hujawahi kuchepuka?
Acha mambo ya kike mkuu
 
Me ngoja nipite tu ila nmewah kushuhudia dada mmoja akigombana na mumewe,ugomvi ukawa mkubwa mpaka mume akamtwanga risasi ya makalio dada yule na kipind hcho mwenye pesa ndie alisikilizwa hvyo kes haikuwa na nguvu....mwanamume yule alioa mwanamke mwngne na akazaa nae watoto wawili ila mwsho wa siku waliachana na jamaa akarudiana na mke wake wa kwanza aliyemtwanga risasi ya makalio tokea hapo nliamini mapnz yana nguvu ktk maisha yetu, mtoa mada usiamn moja kwa moja kwamba dada yako na mshkaj wameachana, moyo wa mtu ni kichaka na umeficha meng...kwasasa hawa watu walishaiaga dunia maana ilikua zaman sana,
 
Pole familia, jifunze kitu kutokana na hilo ujue ndoa ni zaidi kusaidia mtu kwa mavazi chakula n.k. Toa faraja na ushauri mzuri kwa dada' ako

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Usije kushangaa Dada yako akamrudia halafu akapigwa tena mimba

Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
 
Ila mi niliwahi kuwaambia wadogo zangu, yani siku ukiwa na boyfriend sijui akanyanyua mkono kukupiga..walai kama unampenda sanaaaa basi hakikisha sifahamu la sivyo sitojali ni baunsa kiasi gani ila nita deal na yeye sawia!!!

Somehow nakuelewa..ila ndo maisha...think positively, kila jambo lina jema lake! (ingawa ni ngumu kukubali)
yaani dada yako amegongwa nje ya ndoa ...naanza kumuwajibisha unakuja kuingilia !!!!!...aseee nadhani hiyo vita nitakayoileta ni zaidi ya kule torabasa ...kila aina ya silaha itatumika...na bahati mbaya zaidi dad yako hatakuwa amekueleza reality so utakuja 100% dada yako ameonewa

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Tuongee kistaarabu kabisa kwenye hili...

1. Mtoto anapofikisha umri fulani kwa tamaduni zetu za Kiafrika mzazi huacha kumchapa/kumpiga kama adhabu. Haimaanishi kuwa huyo mtoto hatokosea, ina maanisha ni mtu mzima, anaelewa anachokifanya na njia ya kumuadhibu inabadilika.

2. Haijalishi kuwa ni wa kike au wa kiume, sikubaliani na suala la kumpiga binti kisa kakosea.

3. Hata sheria za nchi zimeliweka hilo kosa kama "assault" kosa la jinai kabisa.

Alternatively,

Kama kwenye mahusiano yenu mkakubaliana kuwa ukikosea wewe, awe anakupiga na akikosea yeye uwe unampiga basi hapo ni sawa kijamii.

Mwisho, hata kupigana tu kisheria ni kisa la jinai kwa hivyo haihalalishi kumpigq mtoto wa kike kwa kosa lolote.

Ushauri wangu kwenye mahusiano yako: jitahidi kutokuonesha udhaifu wa hivyo kwa mwanamke wako. Kama neno lako halitoshi kumfanya akisikilize basi hata ukimpiga hakutabadili hilo. Kama anakudharau, be the man and walk away from that relationship. Mara nyingi tumekremishwa huo ndio uanaume. Lakini ukielewa principles za management, nakuhakikishia utaishi kwa raha sana na familia yako; mke na watoto.

Sent from my MediaPad 7 Youth 2 using JamiiForums mobile app
 
Inaumiza sana jerry joshy

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Ila mapenzi hayaaa lol

Kuna mwanaume mmoja alimpiga mkewe mpaka shingo ilikua haisimami vizuri kama mtoto mchanga.. Alimjeruhi mbaya mbovu kupita maelezo..
Huyo mama kakaa bugando miezi kibaooo kaja kupona juzi tu

Eti karudi kwa mumewe jamani mapenzi hayaaaa!!

Cc Smart911
 
i wish nihdithie ilivyokuwa yaan nilikuwa nipo chuo kimoja na yy mimi undergraduates yy ndo akawa anasomea masters mimi nanyima elaa naambiwa tumempa shemeji yako mama alikuwa kamfanmya mtoto wake kume ni joka la mdimu
Aisee pole sana mkuu

Kuna watu hapa hawataelewa imekuuma kwa sababu ya kuwa mmoja wa familia lakini ndio hivyo alioa kwa kurudisha fadhila.

Mpe dada pole sana iliwahi kutokea kwenye familia nayojua hadi leo yule dada ana maisha yake na anajuta sana kukutana na nyoka yule

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
It takes a nyoka to be with a nyoka!

Jitafakari pia wewe kabla hujamtukana mtu. My point is, punguza kutumia hayo majina kwa binadamu wenzako.

Sent from my MediaPad 7 Youth 2 using JamiiForums mobile app
 
never
Kwani wewe dada yako ulimuomba game akakubania au? Maana naona unatokwa povu wakati wewe ni mwanaume, mapenzi ya dada yako yanakuhusu nini wakati wewe ni mwanaume?

Acha kutuabisha, we unamponda shemeji yako wakati aliyemkubali ni dada yako na usiku jamaa anamshughulikia kikamilifu ndio maana akawa tayari kumpa hela na kumuweka mjini.
Sas unakuja mbio mbio jf unamponda mwanaume mwenzako we hujawahi kuchepuka?
Acha mambo ya kike mkuu
neverrr nataman nikurekodie mtoto akiulizwa baba ake yupo wap anavyojibu anasemaa jina la baba mkuu wanaohangaishwa na mapennzi ni watu wachache sana wasiokuwaa na msimamo wa maisha once ukishakubaliana na kila hali na jinsi ya kukabiliana nayo hakika kurudi nyuma ni mwiko yaan baada ya kuachana dada kuna nchi alienda kuondoa stress for one month alivyorudi ni kusaka tu elaa i wish niwatajie mumjue manake she is more than strong woman ....now tuna count maelaa yanayoingia bank tu...wanaume akitaka hata foleni wanawezaa pangaa manake haendeshwi tena na mapenzi ila marioo ndo alikuwaa anasumbuaa sumbua now kablockiwa kilaa konaa...naye sijui alitoka wap na wakuryaaaa khaaaa
 
Mkuu we unaishi Dar bila shaka
 
Achana na mambo ya dada yako kama kweli wewe ni mwanaume.
Ndio maana wanaume tunazidi kudharaulika siku hizi kwa mambo kama haya, we mwanaume unaanza kukomaa na mambo ya dada yako ooh sijui mume wake kachepuka wewe inakuhusu nini?
Vp dada yako angechepuka na shemeji yako akwambie ungefanya nini?
Kua mwanaume usiwe mtoto wa kiume
 
Mimi nashwishika kusema kwamba wewe una matatizo. Na inaonekana hata shemeji yako amefikia maamuzi ya kuoa mke wa pili maybe kwa sababu ya masimango ya familia yenu.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
It takes a nyoka to be with a nyoka!

Jitafakari pia wewe kabla hujamtukana mtu. My point is, punguza kutumia hayo majina kwa binadamu wenzako.

Sent from my MediaPad 7 Youth 2 using JamiiForums mobile app

kama umenielewa sio mie niliyemwita huyo binadamu nyoka bali muhusika ndio alivyomsema aliyekuwa mumewe mie siwezi kumwita hivyo maana kwangu mie hakunifanya lolote ni story niliisikia. naomba unielewe hivyo
 
Back
Top Bottom