balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 16,513
- 15,154
Kumbe dada yako hafai kuwa mke,alikuwa anakuja kukuhadithia kwamba navaa machupi tuu? Kwa hiyo alikuwa pia anakwambia alivyokuwa anakojozwa?
Ukiwa na bwashe km huyu ni shigidaMkuu unachamba kama mtoto wa kike nilipomaliza kusoma ikanibidi nipande niangalie ID ya kike au ya kiume.
Poleni wanafamilia...
Anasamehewa na dadako siyo nyinyi.ha
hapana aisee kwa hili haitawezekana trust me yan mwaka mmoja kashakaa na mwanamke mwingine na ana mimba tayari while wa dada angu ana mwaka alafu bado tumsamehe?alikuja akasema hanaga wazazi alilelewaa kama mtoto dada angu hawezi tena kapata kai nzuri but hajatupunguzia kitu zaidi ni kuwa kampiga teke chura my sisy bado mzuri aiseeeee
acha mikwaraAiseee mie sijaumbwa na huo uoga kabisa ukinikosea nakwambia live lakini haya mambo yakumuandikia ujumbe ilihali una uwezo wa kumwambia live.Kama mtu mlimsaidia kihivyo hana fadhila na haukupaswa kumficha ficha wewe mwanaume unaongea nae kiume unamwambia ya moyoni ila hizi mambo tuachie watoto wa kike japo mie pia nisingeweza kumuandikia ujumbe ningemwambia live bila chenga
yaani shemeji ndio umeamua kuja kunianika huku?Habari wanaJF,
Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.
Kwako shemeji Mkurya,
Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu yupo kwa ulichomfanyia dada angu. Nataka nikupe taarifa tu kuwa alopewa kapewa na kama kikitoka kimoja huwa vinarudi zaidi ya kumi.
Baada ya kumuoaa dada angu ukakaribishwa home ukawa unalelewa zaidi ya mimi mdogo wa mtu. Familia yetu ilikutunza kama mtoto mchanga mpaka vocha ukawa unanunuliwa ila shemeji shukrani huna, ulijivika ngozi ya kondoo dada angu kakuogesha ukatakata na sasa una shine mjini umejisahau.
Wewe wa kumletea dada angu mke mwingine ndani wakati nyumba ni ya dada angu na kila kitu ni cha kwake? Yaani aiseee ulichokifanya kimeumiza saana familiaaa yetu.
Umesahau baba na mama ndo walokulipia ada yako ya masters baada ya kujifanya wewe ni mtu wa shida sana? Umesahau mama alikununuliaa kila kitu ili uonekane na wewe mwanaume wa mjini? Daah shemeji hakika umefika mjini nakuaandikia kwa kuwa najuaa ujumbe utakufikiaa.
Kupata kazi usidhani ndo umeyapatiaa maisha na kuleta jeuri. Kumbuka ulikuwa unanunuliwaa mpka boxer manake ulikuwa hujui boxer ni nini zaidi ya kuvaaa machupi mtu mzima? Majibu yako na matusi yameisikitisha familiaa na tulichoamua ni kuwa dada angu hatorudi tena kwako na sisi hatutaki kukuona tena na mwanao hutakaa umuone tena wala mkeo hutakaa umsikie tena. Jiandae kwa talaka ya kanisani.
Mwanaume gani wewe ndoa haina miaka 3 ushaingiza mke mwingine ndani? Kwanza tulikukataaa familiaa nzimaa ulivyokuja kama msukule ila dada angu na kiherehere chake akakung'ang'aniaaa na kujifanya kakupenda wewe tu.
Sasa hatma yako imefika, hatukutaki home wala hatutaki kukusikiaa from now onwards, usije niuliaa dada angu akati tupo wawili tu kama macho, ila kumbuka shida hazina mwisho kila kitu chetu twaja chukuaaa shemeji usiyejielewaaa.
From your brother inlaw,
Jerome j.k
Poleni aisee inaudhi sana shukrani ya punda ni matekeaiseee ka aliyoyafanya mpaka kutukana wazazi wangu sio rahisi aiseee na dada angu haitakaa itokee tena ndo tushaamuaa nando anaanza kufuatiliaa talaka kanisani
yaani shemeji ndio umeamua kuja kunianika huku?[/![]()
Kweli inauma lkn wale ni wanandoa usiwaingilie ipo cku utaaibika wakirudiana,dadako ni mtu mzima imagine shemeji yako akakujibu humu akasema dadako hajui mapenzi au haniridhishi utauweka uso wako wapi?kwa sasa ni goodbye forever hawez na haitatokea imagine mtu kisa dadaa ngu kahamishwa kikazi yy kawekewa mpaka wadada wawili wa kazi akaamua kuleta na mwanamke ndani mwingine
Ila mi niliwahi kuwaambia wadogo zangu, yani siku ukiwa na boyfriend sijui akanyanyua mkono kukupiga..walai kama unampenda sanaaaa basi hakikisha sifahamu la sivyo sitojali ni baunsa kiasi gani ila nita deal na yeye sawia!!!
Somehow nakuelewa..ila ndo maisha...think positively, kila jambo lina jema lake! (ingawa ni ngumu kukubali)