Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Yaani mwanaume afadhiliwi hata Mara moja. Hata kwenye kitabu kitakatifu kinasema mwanaumme atakula jasho lake mwenyewe. Kumfadhili
Mwanaume ni sawa na kutenda dhambi kubwa sana.
 
sorry sijakuelewa vyema. Sasa mmemkatili na mtoto haki ya kuwa na uhusiano na baba yake? au huyu shemeji ndo hataki kumjua mwanaye..maana kama kamkataa mwanaye ni sawa mlivyofanya, la sivyo, sio vizuri kabisa!
Ninaloona hapa pia huyo shemeji amepitia mengi kwa kuwa alikuwa fukara mpaka mtoto kanyanganywa
 
Mkuu wewe sio wakumhukumu ati hatoona mtt wake wala Mke wake
Tena uthithubutu kusema hayo
Ndoa ya mtu usiingilie
Kama mlimkataa akiwa kama msukule mbona alioa?
Hapo ndo ujue mapenzi ni kitu gani
Unaeza chimba hako kamkwala mbuzi siku ya siku ukamuona dadako katoka mwenyewe kumfata baba wtt wake cjui utaweka wapi uso wako
 
Yote uliyoandika ni sawa. Ila mambo ya kurudiana au kutorudiana usiingilie kabisa.

Never say never.
haitaka itokeee yaan kwetu sisi tunajuaa ha exist thats why mwanae anatumiaa jina la baba which means baba ake hayupo na hatakiwi
 
sorry sijakuelewa vyema. Sasa mmemkatili na mtoto haki ya kuwa na uhusiano na baba yake? au huyu shemeji ndo hataki kumjua mwanaye..maana kama kamkataa mwanaye ni sawa mlivyofanya, la sivyo, sio vizuri kabisa!
najuaa huwez kunielewaa ila kwa aliyoyafanyaa hadeserve hata kumjuaa mtoto na kitu kizur mtoto anaendelea vizur na babu yake ndo baba ake ful stop mama ake ana maishaa mengine na hata mtoto hakai naye anakaa home
 
Ninaloona hapa pia huyo shemeji amepitia mengi kwa kuwa alikuwa fukara mpaka mtoto kanyanganywa
mkuu nataman ujue historiaa ilivyokuwa yaan alivyokuwa anapendwaaa mpaka vochaa alikuwa ananunuliwa yy anasomeshwa masterz mi nipo undegraduate yaan mm saa nyingine situmii helaa yy anatumiwa kama mtoto kila kitu alipewaa historiaa ni ndefu yaan hamnaa anayetaman kumuonaaa hata kidogo
 
Mkuu wewe sio wakumhukumu ati hatoona mtt wake wala Mke wake
Tena uthithubutu kusema hayo
Ndoa ya mtu usiingilie
Kama mlimkataa akiwa kama msukule mbona alioa?
Hapo ndo ujue mapenzi ni kitu gani
Unaeza chimba hako kamkwala mbuzi siku ya siku ukamuona dadako katoka mwenyewe kumfata baba wtt wake cjui utaweka wapi uso wako
neveeeeeeer aiseeeeee haitakaa itokeee..... najuaa anasomaa na ananijuaa coz yupo jf...
 
Ndo matokeo ya kwenda kinyume na maumbile. Mlimuoa huyo mkurya sasa kakua naye kaoa kama wanaume wengine. Yaani mwanaume anahangaikiwa na familia nzima ya mke, wakwe wamemlipia ada? Naamini nia yao ilikuwa nzuri - mkwe aendane na hadhi yao, binti yao afurahi. Sisi ni waafrika jamani, na ni binadamu. Dume la binadamu lililokamilika huwa na kiherehere cha asili kabisa cha kuhudumia jike lake hata kama ni kwa pakiti ya chumvi na bamia. Mwanamke usioe, na ukiamua kuoa do it at your own risk. Sisi tukiolewa tukanyanyasika tuna uchaguzi wa kurudi makwetu au kwenda kupanga. Haya sasa umejipinda umejenga ukaoa dume la kikurya (nacheka). Linakupiga na kukuletea mke mwenza na mpango wa kutoka hapo halina. Ukae humo kwa kuwa ni nyumba yako, au ukapange upigane ukiwa nje! Sasa ya nini yote hayo?

Ni mapema kumsemea dada yako maana mpaka kukubali kumuoa huyo mtu alikuwa teja tayari. Uteja ukimuisha ndo atatoka. Ya Ngoswe mwachieni Ngoswe. Na mkurya huyo anatoa wapi ujasiri wa kuolea mke mwingine kwenye nyumba ya mkewe na kutukana wakwe waliomkaribisha na kumlea? Au na nyie kwa kuwa tu mlimlea ndo mnataka kumwendesha kaa gari bovu mkurya wa watu kiasi cha kujikuta anafanya hayo ili kuthibitisha kuwa yeye ni mwanaume na binadamu mwenye uwezo wa kufanya maamuzi bila kuingiliwa na kiumbe chochote?

Na hizi ndoa za kuendeshwa kwa simu jamani si ndoa bali mtihani, mume pwani mke bara! Neema ya Mungu iwatoshe tu ila si mpango mzuri wa ndoa. Hizi wanaziweza wenye nguvu.
 
Mlilazimishwa mumsaidie? Acha masimango ukitoa msaada sahau bila kujali ulitoa vingapi na uliyempa kukufanyia nini....!!.. Ukitoa kwa kutegemea fadhila irudi utalia kila siku.... bora usitoe...!!
 
wapenzi wakigombana shika jembe ukalime,sembuse hao wazazi,soon aibu itakushika kijana,acha mambo ya umbea umbea kwenye mapenzi ya dada yako...
 
Mlilazimishwa mumsaidie? Acha masimango ukitoa msaada sahau bila kujali ulitoa vingapi na uliyempa kukufanyia nini....!!.. Ukitoa kwa kutegemea fadhila irudi utalia kila siku.... bora usitoe...!!
ukielewaaa njoo u comment manake umekurupukaa
 
ukielewaaa njoo u comment manake umekurupukaa


Unamsimanga kwa mlivyompa nisome kitu gani tena wewe boya? .. Mngefunika kombe mwanaharamu apite


Alafu ungekua na akili usingeingilia mapenzi ya dadako wew.....mwanaume ukifanya hivyo ushkua wifi tayari
 
Habari wanaJF,

Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.

Kwako shemeji Mkurya,

Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu yupo kwa ulichomfanyia dada angu. Nataka nikupe taarifa tu kuwa alopewa kapewa na kama kikitoka kimoja huwa vinarudi zaidi ya kumi.

Baada ya kumuoaa dada angu ukakaribishwa home ukawa unalelewa zaidi ya mimi mdogo wa mtu. Familia yetu ilikutunza kama mtoto mchanga mpaka vocha ukawa unanunuliwa ila shemeji shukrani huna, ulijivika ngozi ya kondoo dada angu kakuogesha ukatakata na sasa una shine mjini umejisahau.

Wewe wa kumletea dada angu mke mwingine ndani wakati nyumba ni ya dada angu na kila kitu ni cha kwake? Yaani aiseee ulichokifanya kimeumiza saana familiaaa yetu.

Umesahau baba na mama ndo walokulipia ada yako ya masters baada ya kujifanya wewe ni mtu wa shida sana? Umesahau mama alikununuliaa kila kitu ili uonekane na wewe mwanaume wa mjini? Daah shemeji hakika umefika mjini nakuaandikia kwa kuwa najuaa ujumbe utakufikiaa.

Kupata kazi usidhani ndo umeyapatiaa maisha na kuleta jeuri. Kumbuka ulikuwa unanunuliwaa mpka boxer manake ulikuwa hujui boxer ni nini zaidi ya kuvaaa machupi mtu mzima? Majibu yako na matusi yameisikitisha familiaa na tulichoamua ni kuwa dada angu hatorudi tena kwako na sisi hatutaki kukuona tena na mwanao hutakaa umuone tena wala mkeo hutakaa umsikie tena. Jiandae kwa talaka ya kanisani.

Mwanaume gani wewe ndoa haina miaka 3 ushaingiza mke mwingine ndani? Kwanza tulikukataaa familiaa nzimaa ulivyokuja kama msukule ila dada angu na kiherehere chake akakung'ang'aniaaa na kujifanya kakupenda wewe tu.

Sasa hatma yako imefika, hatukutaki home wala hatutaki kukusikiaa from now onwards, usije niuliaa dada angu akati tupo wawili tu kama macho, ila kumbuka shida hazina mwisho kila kitu chetu twaja chukuaaa shemeji usiyejielewaaa.

From your brother inlaw,

Jerome j.k
Humtaki wewe ila dada yako bado anampenda.
Sasa wewe ndo unataka kusema utamtimizia kila kitu dada yako?
Wewe hujawahi kuchepuka? Au roho inakuuma kuona jamaa anamla dada yako?
Ukiona dada yako kamganda jamaa ujue anapiga kazi kunako 6*6 na huko ndiko akili za mwanamke zimejificha we endelea kupiga makelele tu, jamaa atahama na dada yako atampangisha town ili awe anaenda kuliwa mzigo.

Am sorry kwa maandishi yangu ila mwanaume hupaswi kua mmbea na kusema humtaki shemeji yako ilihali anayegegedwa sio wewe.
 
Mambo haya yanauma mno ila cha kufanya hapo ni wewe kutokuingilia hili kwa kiwango hicho maana utajabaki na aibu pale watakaporudi pamoja .

Kumbuka hawajagombana Bali no kuhamishwa sasa wewe ukikomaa unashangaa wameelewana na wanaendelea na maisha itakula kwako.


Sent from my Infinix-X600 using JamiiForums mobile app
 
sorry sijakuelewa vyema. Sasa mmemkatili na mtoto haki ya kuwa na uhusiano na baba yake? au huyu shemeji ndo hataki kumjua mwanaye..maana kama kamkataa mwanaye ni sawa mlivyofanya, la sivyo, sio vizuri kabisa!

Kama hujaoa omba upate mke mwenye akili inayojitegemea na anayetoka kwenye familia inayojielewa. Haya anayosema huyu Jerry yanaonyesha mkurya amepitia mengi. Hata kama kakosa baba mkwe anaanzaje kujimilikisha mtoto na kumpa jina lake wakati baba yake yuko hai na kuna ndoa halali ambayo haijatangazwa vinginevyo? Kama mtoto ana mwaka tu inakuwaje hakai na mama yake? Ok, labda mama yake kwa sasa ana msongo hana uwezo wa kuangalia mtoto ila mzee ameenda mbali. Hakuna kitu kinachohalalisha hili.
 
Mimi nakushauri achana na mambo ya dada na shemeji yako, wanawake ni viumbe wasiotabirika,ipo siku utasikia kuwa dada yako ana mimba ya huyo shemeji yako huyohuyo.
Sasa ww fanya mambo yako tu hayo waachie wenyewe.

Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom