Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Shemeji ulichofanya ipo siku tu

Shem haya mambo si tungemaliza tu home???

Ni kweli boxer nimekuja kuzivalia mjini basi dada ako sio msiri kabisa.
 
dah! dunia kwa vituko hii!?,jamaa anapigania haki ya kukojozwa dada yake!!
 
kwa sasa ni goodbye forever hawez na haitatokea imagine mtu kisa dadaa ngu kahamishwa kikazi yy kawekewa mpaka wadada wawili wa kazi akaamua kuleta na mwanamke ndani mwingine
Huyo jamaa ni baradhuliii.....tupa kuleee, akafie mbali coz hajui nini kibaya!!
 
kwa hili ni la familiaaa sio lake na mkewe yaan alikuwa kama mtoto home na sio shemeji ilaamkapata kazi kaitukana saan familiaa while kosa lake mwanaume unashindwa kujizuiaa ndio basi kcheat ndo mpaka mimba jaman??
Mi nakuunga mkono Jerry I can feel the pain the family is going through! Poleni, dada akaze moyo alishinde jaribu kwa njia sahihi na kwa amani
 
ha


hapana aisee kwa hili haitawezekana trust me yan mwaka mmoja kashakaa na mwanamke mwingine na ana mimba tayari while wa dada angu ana mwaka alafu bado tumsamehe?alikuja akasema hanaga wazazi alilelewaa kama mtoto dada angu hawezi tena kapata kai nzuri but hajatupunguzia kitu zaidi ni kuwa kampiga teke chura my sisy bado mzuri aiseeeee
Acha uzuzu wewe!!
 
sababu iliyofanya achukue mke mwingine unaifahamu. unajua kwenye ndoa wanawake weng hawajitumi kitandani wao kuzaa tu na michepuko wako vizuri kwa bed?
 
kama wewe ndo wa kiume kwenu na unachamba hvyo,vipi kuhusu dadako???ndo maana hata shemeji kakisanua maana familia kama ndo iko hivi hata mi siwezi,aisee
 
Habari wanaJF,

Naanza week kwa machungu makubwa na kwa hasira isiyokuwa na wa kunituliza.

Kwako shemeji Mkurya,

Naandika kwakuwa najua unaingiaga JF 24/7. Nachotaka kukuambia ni kuwa Mungu yupo kwa ulichomfanyia dada angu. Nataka nikupe taarifa tu kuwa alopewa kapewa na kama kikitoka kimoja huwa vinarudi zaidi ya kumi.

Baada ya kumuoaa dada angu ukakaribishwa home ukawa unalelewa zaidi ya mimi mdogo wa mtu. Familia yetu ilikutunza kama mtoto mchanga mpaka vocha ukawa unanunuliwa ila shemeji shukrani huna, ulijivika ngozi ya kondoo dada angu kakuogesha ukatakata na sasa una shine mjini umejisahau.

Wewe wa kumletea dada angu mke mwingine ndani wakati nyumba ni ya dada angu na kila kitu ni cha kwake? Yaani aiseee ulichokifanya kimeumiza saana familiaaa yetu.

Umesahau baba na mama ndo walokulipia ada yako ya masters baada ya kujifanya wewe ni mtu wa shida sana? Umesahau mama alikununuliaa kila kitu ili uonekane na wewe mwanaume wa mjini? Daah shemeji hakika umefika mjini nakuaandikia kwa kuwa najuaa ujumbe utakufikiaa.

Kupata kazi usidhani ndo umeyapatiaa maisha na kuleta jeuri. Kumbuka ulikuwa unanunuliwaa mpka boxer manake ulikuwa hujui boxer ni nini zaidi ya kuvaaa machupi mtu mzima? Majibu yako na matusi yameisikitisha familiaa na tulichoamua ni kuwa dada angu hatorudi tena kwako na sisi hatutaki kukuona tena na mwanao hutakaa umuone tena wala mkeo hutakaa umsikie tena. Jiandae kwa talaka ya kanisani.

Mwanaume gani wewe ndoa haina miaka 3 ushaingiza mke mwingine ndani? Kwanza tulikukataaa familiaa nzimaa ulivyokuja kama msukule ila dada angu na kiherehere chake akakung'ang'aniaaa na kujifanya kakupenda wewe tu.

Sasa hatma yako imefika, hatukutaki home wala hatutaki kukusikiaa from now onwards, usije niuliaa dada angu akati tupo wawili tu kama macho, ila kumbuka shida hazina mwisho kila kitu chetu twaja chukuaaa shemeji usiyejielewaaa.

From your brother inlaw,

Jerome j.k
Shemeji anatoa talaka kwa Shemeji yake, dunia hii!
Kwa hiyo sijaelewa kidogo, nyie familia nzima mmlimuoa Huyo jamaa au wewe ndio msemaji wa Dada yako, ila itakuwa kaka binamu sio bure
 
Hu
Shemeji anatoa talaka kwa Shemeji yake, dunia hii!
Kwa hiyo sijaelewa kidogo, nyie familia nzima mmlimuoa Huyo jamaa au wewe ndio msemaji wa Dada yako, ila itakuwa kaka binamu sio bure
wez kuelewaa kwa kuwa sio ww....ingekuwa ww ungeelewa
 
ha


hapana aisee kwa hili haitawezekana trust me yan mwaka mmoja kashakaa na mwanamke mwingine na ana mimba tayari while wa dada angu ana mwaka alafu bado tumsamehe?alikuja akasema hanaga wazazi alilelewaa kama mtoto dada angu hawezi tena kapata kai nzuri but hajatupunguzia kitu zaidi ni kuwa kampiga teke chura my sisy bado mzuri aiseeeee
Dah na ww unafanya shughuli gani....mbona ka hauko ok? Dada yako atarudi tu sa akirudi cjui pia utakuja apa?
 
Ya wanandoa myaachage wamalizane wenyewe,

Mtakuja ishia kupata aibu ya maisha.
 
Changamoto za ndoa wanazijua walio ndani ya ndoa. Hapa naona kuna siri nzito imejificha. Tujiulize mume huoa mke ili iweje? Kadhalika mke huolewa ili iweje? Yawezekana shem amekosa anachokitaka kutoka kwa sista.
 
Hii ndio shida ya kuingiza the whole family katika nyumba. Yani familia za kiafrika tuna shida sana wakati mwingine. Familia nzima itakaa kuijadili nyumba ya mtu, wtf hakuna mengine ya kufanya??
 
I've always said, huu upumbavu wa kuingilia nyumba na Familia za watu waafrika sijui tutauacha lini. Utakuta ukoo mzima umekaa kumjadili mtu na familia yake, hajawaita, hajasema ana shida yoyote lakini wao ndio wa kwanza kuona kuwa kuna shida na wanastahili kutoa msaada. WTF!!
 
Hu

wez kuelewaa kwa kuwa sio ww....ingekuwa ww ungeelewa

Jerry,nilikuuliza hukutaka kunijibu.Nimefatilia maandiko yako nimejiridhisha ni wewe ninayekufahamu.Nakushauri uwe na akiba ya maneno utapata shida sana ukiolewa kama utaendelea hivo.
 
Back
Top Bottom