cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 86,828
- 139,309
Mwambie aje na mume wake upige 3some.
Mwambie aje na mume wake upige 3some.
Nashangaaa hapa mie lol.Jamaa umekulia uhayani huko anatuletea swaga za matoke,iv 20k ni hela ndogo kwa siku?
ondoa vikwazo kwa Iran kwanza
Zipo familia hata elf 5 inatosha kwa matumiz ya...kama kwel ndo ivo huyo mke hajui kupanga bajet n mfujaji wa mali za mmeweNashangaaa hapa mie lol.
Kidukulilo huyo.Aiseee... Elfu20 ndogo kwa Kodi ya meza?
Huyo jamaa ameamua kuchangamsha kijiji dar hii 60% ya nyumba mwanamke anaachiwa 10K-15 kama kila kitu kipo ndaniNmesoma nmeishia hapo kwenye kuachiwa 20000!
1 either kuna namna unataka iwe
2 either kutuonesh kua unazo
3 mwanangu hiyo 20 analipia na kod ya chumba kila siku pia? Kwasababu kama kila kitu kipo ndani 20 ya kazi gani?
Mzee alikua anaacha 5000 tu na tunaishi fresh kabisa na home tupo 4+
Kaja kivingine..Kidukulilo huyo.
Hakika kabisaaah.Zipo familia hata elf 5 inatosha kwa matumiz ya...kama kwel ndo ivo huyo mke hajui kupanga bajet n mfujaji wa mali za mmewe
Acha bongo movie mkuu njoo kwenye uhalisiaKiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu, 20k kwa maisha haya kwa siku inatosha vipi?
Tena kyai kya motoNa wewe umemuamini?
20,000 *30 = 600,000 kwa mwezi. Hao watu wanakula dhahabu? Pesa kubwa sana hiyo kwa maisha ya kawaida, biashara unafungua na kikoba kila wiki unalipa.
Chai..
Mwache aje, pikeni na mle...mkishamalaiza na yeye akitaka kulala mwambie aje kwangu. sitofunga mlango, nitakaa namsubira tu.Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu, 20k kwa maisha haya kwa siku inatosha vipi?