Shemeji kaniomba aje kulala nyumbani kwangu

Applicant

JF-Expert Member
Feb 12, 2020
1,962
1,746
Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu, 20k kwa maisha haya kwa siku inatosha vipi?

Kiukwel jamaa ni mshkaj wangu lakini sijapenda hiyo tabia yake ya unyanyasaji kwamke wake.

Sasa juzi shemeji alivyokuja nyumbani kunilalamikia malalamiko ya huyo ndugu yangu alishangaa sana maisha ninayoishi pale kwangu, akadai mimi naishi maisha mazur sana kuliko ya kwake na mme wake mpaka akafikia hatua ya kusema eti anatamani bora tungekua tunakaa nae.

Jana shemeji kanitext tena anadai anataka aje home tupige story apumzishe kichwa kwa stress za jamaa yangu, nikamkubalia akaja tukashida mpaka sa6 hivi mchana nikapata simu ya kuhitajika kazin, kwakua yeye hakutaka kurud kwake mda ule akaniambia yeye atabaki kuna series anamalzia kuangalia nitamkuta, basi nikaona hain la shida nikamuachia 50,000 pesa itakayomsaidia kwa matumizi mpaka jioni nitakaporudi, niliporudi mida ya sa10 jioni tulikaa kidogo akaaga akaondoka.

Sasa leo tena kanitext anasema anataka kuja kulala huku atamuaga mmewake anaenda kwa mama yake mdogo anaumwa, kiukwel nmeshindwa kumuelewa nimemwambia ikiffika sa12 nitamjulisha.

Lakini sio mbaya akija huku anafurahi anatoa stress, nimwambie aje?
 
Ukiendelea hvyo jiandae na kugombana na rafiki yako pia, maana akijua atakuona huna maana kabisa

Ila 20k per day ni 600k kwa mwezi na kama ni anagawana pasu kwa pasu na wife ni pesa sawa na 1.2M kwa mwezi ni mshahara mnono tu mtumishi wa umma sasa sijui huyo mwanamke anataka nini zaidi

Ama kama sivyo hii ni stori changamsha genge tu

Ila leo ukifanikiwa usisahau kutubariki kastori haka Kwenye uzi wetu wa kimasihara mkuu

Ushauri: Nunua kakopo kamafuta uwe unatembea nayo unapokulaga mke wa mtu maana lolote linaweza kutokea
 
Jamaa umekulia uhayani huko anatuletea swaga za matoke,iv 20k ni hela ndogo kwa siku?
Mm mwenyewe nimeshindwa kumuelewa aisee ila aliposema alimpa 50k nikaamini umemaanisha kweli 20k aisee

Hii kitu kwa matumizi ya diko tu mbona ni slope nzuri tu mayb kama analipia na kila kitu na kuhudumia watoto unless otherwise inatosha kabisa kwa matumizi ya mezani
 
Namahauri kama anaishi hotelin akachukue chumba uswahilin maana hyo hela n watu waoish hoteln ka kila kitu ni kulipia
 
Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu, 20k kwa maisha haya kwa siku inatosha vipi?
Elfu20! labda ungetuambia elf2 anamwachia
 
Back
Top Bottom