Shemeji kaniomba aje kulala nyumbani kwangu

Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana
Wew muhuni tu huna lolote .. umesha jitengenezea mazingira.. yakuchepuka af unajifanya unaomba ushauri Kwanza ef 50k ya matumizi kwasiku mtakuw nyie mnakula mboga mboga za sayari ya Mars ... Hongereni kwa mipango yenu
 
Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu, 20k kwa maisha haya kwa siku inatosha vipi?
Wacha kamba hizo dogo.
 
Kiukwel jamaa ni mshkaj wangu lakini sijapenda hiyo tabia yake ya unyanyasaji kwamke wake.

Sasa juzi shemeji alivyokuja nyumbani kunilalamikia malalamiko ya huyo ndugu yangu alishangaa sana maisha ninayoishi pale kwangu, akadai mimi naishi maisha mazur sana kuliko ya kwake na mme wake mpaka akafikia hatua ya kusema eti anatamani bora tungekua tunakaa nae.

Jana shemeji kanitext tena anadai anataka aje home tupige story apumzishe kichwa kwa stress za jamaa yangu, nikamkubalia akaja tukashida mpaka sa6 hivi mchana nikapata simu ya kuhitajika kazin, kwakua yeye hakutaka kurud kwake mda ule akaniambia yeye atabaki kuna series anamalzia kuangalia nitamkuta, basi nikaona hain la shida nikamuachia 50,000 pesa itakayomsaidia kwa matumizi mpaka jioni nitakaporudi, niliporudi mida ya sa10 jioni tulikaa kidogo akaaga akaondoka.

Sasa leo tena kanitext anasema anataka kuja kulala huku atamuaga mmewake anaenda kwa mama yake mdogo anaumwa, kiukwel nmeshindwa kumuelewa nimemwambia ikiffika sa12 nitamjulisha.

Lakini sio mbaya akija huku anafurahi anatoa stress, nimwambie aje?
Hivi mimi ndio sijaelewa au 20 per day ni ndogo? kwani ananunua nini?
 
Wew ni mpumbavu Sana,kwanini usimwambie rafiki yako kuwa aongeze pesa,wew hua unamwachia mkeo au Dem wako sh ngapi kila siku,20 per month ni laki 6 sawa na mshahara wa mtu mwenye mke na watoto watatu.acha kuendekeza ngono.jiheshimu Sana hasa kwa wake za marafiki zako,assume rafiki yako amejua kwamba mke wake anakuja kwako unampa pesa za matumizi na kulala.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom