Shemeji kaniomba aje kulala nyumbani kwangu

Nmesoma nmeishia hapo kwenye kuachiwa 20000!

1 either kuna namna unataka iwe
2 either kutuonesh kua unazo
3 mwanangu hiyo 20 analipia na kod ya chumba kila siku pia? Kwasababu kama kila kitu kipo ndani 20 ya kazi gani?
Mzee alikua anaacha 5000 tu na tunaishi fresh kabisa na home tupo 4+
 
Huyo jamaa ameamua kuchangamsha kijiji dar hii 60% ya nyumba mwanamke anaachiwa 10K-15 kama kila kitu kipo ndani

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu, 20k kwa maisha haya kwa siku inatosha vipi?
Acha bongo movie mkuu njoo kwenye uhalisia
 
Na wewe umemuamini?
20,000 *30 = 600,000 kwa mwezi. Hao watu wanakula dhahabu? Pesa kubwa sana hiyo kwa maisha ya kawaida, biashara unafungua na kikoba kila wiki unalipa.
Chai..
Tena kyai kya moto
 
Kiufupi ninamshkaji wangu, kiukweli jamaa ana mwanamke wake lakini jamaa hajatulia kabisa, hamuachii mwanamke wake pesa ya matumizi na pesa anayo, nnje anahonga sana, shemeji juzi ananiambia eti Rafiki yangu amefikia hatua anamuachia 20,000 kwa siku, kiukwel nilimuonea huruma sana shemeji yangu, 20k kwa maisha haya kwa siku inatosha vipi?
Mwache aje, pikeni na mle...mkishamalaiza na yeye akitaka kulala mwambie aje kwangu. sitofunga mlango, nitakaa namsubira tu.
 
Back
Top Bottom