Shemeji huyu anataka nini?

mkolaj

JF-Expert Member
Mar 24, 2014
3,020
1,087
Ndugu Wanajamvi,
Leo asubuhi wakati nakatiza kwenye mtaa anaoishi rafiki yangu, niliona ni bora niende kumtakia hali rafiki yangu pamoja na familia yake, ila kwa bahati mbaya nilipofika nyumbani kwa rafiki yangu huyo sikumkukuta huyo rafiki yangu ila nilimkuta mke wake ambae ni Shemeji yangu.

Baada ya kubishi hodi alitoka shemeji ndani halafu akakaa chini huku akiwa amevaa kanga tu! Ila wakati amekaa huku tukiwa tunasalimia ndipo nilipomtazama yule shemu pale alipokaa nikamuona ametanua miguu halafu Papuchi lake likionekana wazi wazi.

Nilishikwa na butwaa hadi pale shem akaniuliza mbona unashangaa hivo!!! Nikamuonyesha kwa macho kuwa papuchi lake liko nje nje.

Ila cha ajabu tangu nilione hilo papuchi lake huyo shem kila nikikutana nae lazima aliulize nilionaje lile papuchi!!!!!!!!?
Nashindwa nimjibu nini!!!! na kwann ananiuliza hivo!!!!!!!!!
 
Mkuu kwani huyo ni rafiki yako wa amini??

Kama ni wa kukutania ukubwani hainaga shida.

Mambo ya kikubwa husoviwa kikubwa, tena gizani kwa siri
Ni rafiki yangu ambae tumekutana tu, wote tunafanya kazi ila idara tofauti.
 
Ndugu Wanajamvi,
Leo asubuhi wakati nakatiza kwenye mtaa anaoishi rafiki yangu, niliona ni bora niende kumtakia hali rafiki yangu pamoja na familia yake, ila kwa bahati mbaya nilipofika nyumbani kwa rafiki yangu huyo sikumkukuta huyo rafiki yangu ila nilimkuta mke wake ambae ni Shemeji yangu. Baada ya kubishi hodi alitoka shemeji ndani halafu akakaa chini huku akiwa amevaa kanga tu! Ila wakati amekaa huku tukiwa tunasalimia ndipo nilipomtazama yule shemu pale alipokaa nikamuona ametunua miguu halafu Papuchi lake likionekana wazi wazi.

Nilishikwa na butwaa hadi pale shem akaniuliza mbona unashangaa hivo!!! Nikamuonyesha kwa macho kuwa papuchi lake liko nje nje. Ila cha ajabu tangu nilione hilo papuchi lake huyo shem kila nikikutana nea lazima aliulize nilionaje lile papuchi!!!!!!!!? Nashindwa nimjibu nini!!!! na kwann ananiuliza hivo!!!!!!!!!
Salamu gani za asubuhi asubuhi mkuu?
Na baada ya hapo mmekutana wapi na shemeji yako Leo leo au ulirudi tena kuangalia hilo papuchi?
 
kwa akili kama hizi, na mawazo kama haya, na kama ndiyo mijadala kwenye vijiwe na makundi ya watu mbalimbali,

je Tanzania itapiga hatua ya maendeleo?
kweli jpm kazi anayo. kubadilisha hii
mitazamo.

Dunia ndivyo ilivyo kaka! Ina watu wenye akili kubwa wanaojadili Ideas; inao pia watu wa kawaida wanaojadili matukio (events), na masalia yanayojadili upuuzi na mambo yasiyokuwa na tija; ila tumuache Mungu abaki kuitwa Mungu; ana sababu zake za kutuumba na tofauti kama hizo; moja ya sababu hizo ni kwamba maisha yangekuwa yanaboa sana kama watu wote tungezaliwa na akili na haiba kama za Isaac Newton au Archimedes au Pythagorass!
 
Back
Top Bottom