Huyo mama alipewa hela za kampeni zikamsaidia kurudi bungeni! Hizo ni fadhila analipa!
hivi kula mavi uliyoyanya mwenye ni haki ya mtanzania...mama ana haki ya kutoa maoni yake binafsi kikatiba
mkuu njaa ni mbaya sana,nakumbuka huyu mama alivyotokwa na mapovu mdomoni wakati wa sakata la Richmond mpaka kufikia hatua ya kusema Maisha yao yapo hatarini lakini wanamwachia Mungu,siamini kama leo hii angechomoa maisha yake kwa Mungu na kuyarudisha tena kwa israel wake,FREEMASON AT WORK.
Lowasa noma yaani aliwalipa kama nauli wenyeviti wa mikoa yote 27 nauli ya kwenda na kurudi Monduli..
Raha ya siri ni kutoisema.
Huyu mama ana mambo kama ni siri yake si angekaa nayo na kuiwakilisha kwenye vikao halali vya chama?????
mama ana haki ya kutoa maoni yake binafsi kikatiba
Huyo mama anastahili kuchekiwa afya yake kuanzia miguuni mpaka kichwani,she is a disaster kwa wanaomjua..
Lowasa yupi,yule mwizi ambae alitaka kufukuzwa bungeni mwenyewe akajisalimisha kwa kuachia ngazi urais au Lowasa gani jamani...nielezeni wakuu.Tunahitaji rais mwenye maamuzi magumu kama Lowasa, rais ambae anamsimamo kwa sasa CCM ni Lowasa tu.
Hata ningekuwa mimi kama Lowasa angekuwa anawaibia nje ya nchi halafu anazileta hapa Tanzania zinatumiaka kujenga hospitali mashule na kununua madawa ningempigania mpaka tone la mwisho lakini siyo huyu fisadi wenu ana waibia watanzania ambao hata bei ya mkate masikini wamesha sahau halafu anapeleka nje...mlaaaaaniwe wote mnaotetea mafisadi...pumbavu zenu kabisaKila mtu akipewa kitengo lazima aibe issue ni msimamo wa mtu,mbona kagame ni mafia na dictator la kutupwa lakin kwa kuwa anamsimamo na nchi yake imeendelea,mpen nafas hakuna msafi ata CDM,mwenyekit wa CDM,mpaka Leo kawadhulumu Shirika fulan uwo si wiz????
Nawe toa ushetani wako hapa kwa hiyo kila aliye upande wa lowassa ni mgonjwa? ugomvi wako binafsi na Edward usiulete hapa peleka huko huko[/QUOTE kipuyo siku wanafanya mkutano pale Sheikh Amri Abeid nilisailimia na jambazi Lowasa alikuwa anatetemeka sana mkono, amepoa? ni kuhakikishie tu kuwa huyu anapaswa kuwa raisi wa gereza kubwa hapa nchi naambiwa liko Dodoma...