Chungurumbira
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 2,170
- 571
Hajawahi sema mhusika wa Richmond ni nani na kwa hiyo sio mzalendo ni msaka madaraka kwa hila.
Ya kutuletea Richmond na mvua za kutengeneza. Maamuzi yapi magumu yenye manufaa ya taifa alowahi kuyafanyaTunaitaji raisi mwenye maamuzi magumu kama lowasa.raisi ambae anamsimamo kwa sasa ssm ni lowasa tu.
Tunahitaji rais mwenye maamuzi magumu kama Lowasa, rais ambae anamsimamo kwa sasa CCM ni Lowasa tu.
Mwaliko wa mkwaka mpya kwa Lowassa, na ile pilau waliokula sasa vinaanza kufanya kazi.
Mpaka 2014, kila msaliti na mhaini atajulikana tu!
hii hapa
Watajulikana wengi hadi kufikia mwezi wa Sita ule Mpasuko ndani ya Magamba utakuwa Mkubwa. Subiri kuna Lundenga na Chipungahelo nao watakuja Msimamo wao maana huwa wanampelekea Lowasa Mamiss kila Msimu:target:
Na walitumia magazeti kuwachafua akina Fredrick Sumaye, Ahmed Salim, Mwadosya na wengine na bahati mbaya sana hawakushitukia mapema...Asante kwa Ushahidi Mkuu.Wale wale Mzee wa Rada/Vijisent kweli kikwete mwaka 2005 alikuwa na Mtandao:fencing:
Hata mimi nitamuunga mkono Lowasa, anayo kura yangu tayari. Tunahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, hata akiwa dictator kama Kagame lakini analeta maendeleo hamna shida, hata akila kidogo lakini analeta maendeleo hamna shida, kuliko kutokula kabisa halafu hata maendeleo haleti.
Hakuna mtakatifu duniani, kila mmoja alishawahi kutenda kosa mara moja au zaidi, sema tu wengine hata wale wanaowanyoshea wenzao vidole hawajawekwa peupe tu, cha muhimu ni kwamba, mtu akifanya kosa huwa kuna mazingira ya kujirekebisha. Kosa si kosa bali kurudia kosa.
Hata hivyo, suala la Lowasa na kashfa yake, inasemekana anazo njia za kujieleza ambazo ameweka fumbo, kuna siku wakati wa kampeni atakuja kujieleza na watu watashangaa kwamba walikuwa wanapiga mayowe ya bure kwa mtu asiyehusika.
Yapo mengi yamejificha mle kwenye ile kashfa, na inawezekana Lowasa akawa kafara tu. Na wapo wengi waliokuwa juu ya Lowasa wamefichwa, lowasa kachukua msalama wa wengi pale.

mara ya pili? si tayari mbona.Mh!hii kali inachochea mgawanyiko ndani ya CCM!Secretariat ya CCM fanyeni kazi yenu!