dnjoki
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 425
- 425
.....hivi nyinyi mnaoungana na bi'Lukindo ambae ni Mh Mbunge mna maana kweli au?kweli mbele ya umati wa watanzania zaidi ya 40 million mnaeza sema hakuna mtanzania anaeweza ongoza hili jahazi mbali nahao tunaoendelea kuwasikia miaka nenda bila kurudi tangu wengine tunazaliwa hadi sasa tunakuza!huu ni utovu wa ki'fikra na mawazo......kuweni na utu na punguzeni matusi ya halaiki,kuendelea kuwa tegemezi na hawa ni matusi yasiyovumilika kana kwamba sie tulobaki sio wazalendo walio watanzania.Tupo jamani,tumeshajipendekeza na sasa ni wakati wa kupendekezwa.....wasioweza kujipendekeza na......basi watupendekeze!Mbona nchi za wenzetu sura mpya kwa nyadhifa mpya ni kama kawa!