Shelukindo: Namuunga mkono Lowassa kumrithi Kikwete

Shelukindo: Namuunga mkono Lowassa kumrithi Kikwete

Mh. Lowasa kweli anaweza kumrithi Jakaya tena mie binafsi ntampigia kura inshaallah maana najua ndio mwisho wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar tutaendeleza umoja kupitia muungano wa mkatabaaa!
niliwahi kumuona kwenye picha ya pamoja yakumpongeza mtoa hoja binafsi bungeni 1993 kuanzishwa kwa Serikali ya Tanganyika wakati ule alikua waziri kwenye wizara ya muungano.
 
Hawana jeur, chezea Lowasa na wafuas wake wewe? Secretarit yenyewe ya ccm imejaa njaa tupu ukianzia na NCHEMBA!
 
Semeni yote mliyonayo mimi namkubali sana Mh Lowasa,ni sawa ana mambo yake lkn hakuna mtu msafi hapa chini ya mbingu,
 
Mh Mbunge Shelukindo jaribu kufuata misingi ya chama na sio kumfuata mtu na kusema wewe ni muumini wa Lowasa maana hata LOwasa akihamia chama kingine unahama naye

Hizi ahsante ndiyo sinatuteza kwa sasa kama akila Mulugo na wengine then ww unataka tena turudi nyuma badala ya kwenda mbele

hatutakubali tena kuwa na serikali ya kubebana kabisa
 
katika kila moyo wa Mtanzania mwenye uwezo wa kupiga kura na asiyena uwezo wa kupiga kura, tayari tunamachaguo yetu moyoni la nani?kila mmoja naona anafaa kuwa rais wake. ukimuuliza kwanini? anaweza kukupa vigezo vyake au asikupe akakwambia sina vigezo vyovyote ila chaguo langu ndo hilo , mwingine ni kinyonga leo huku kesho huku ilimradi mwisho wake kwenye box la kura anabaki yy na Mungu wake anapata jibu na kutoa uamuzi wake wa mwisho. hivi sasa tunaungana mkono, tunapuuziana kwa maamuzi kutofautiana kwa sababu mbalimbali za kisiasa hivyo kwangu mimi mtu yeyote ana haki ya kumpenda anayeona anafaa kuwa rais wa nchi hii hata mimi ninao wakwangu ninaowakubali kwa sababu na kwa kutokuwa na sababu ZZK na LOWASSA .
 
kama mpaka leo huyu ufisadi wa huyu mtu basi una matatizo ya ubongo maana hata JF Imeshaanika madudu ya huyu fisadi..

kwani jf wakimuanika basi ulibebe kama lilivyo? changanya na zako kaka usitegemee ya kupewa tu.... nani alikuambia tunataka raisi askofu? nani aliye msafi na sifa za uongozi pia? unauhakika ataendelea kuwa msafi (kama yupo)? zimwi likujualo halikuli likakwisha....
 
hahahaha, acha kukurupuka kama unajua mambo sahihi ya huyo fisadi wako tuwekee hapa Arusha amefisadi general tyre na NMC...

Wewe umefisadi vingapi mkuu? tatizo ni level tu ndio tunatofautiana! kunawatu mnadhani mko safi sana ndio maana mnajiita wasafi simply mmefisadi visenti.... hamjui mmesababisha madhara kiasi gani kwa wengine... kama EL kafisadi mpelekeni Kisutu basi
 
dah mamvi anajua kuwakamata watu jameni...mapochopocho ya kumwaga, afu ukute aliwalipia na ticket za ndege hao waheshimiwa na kupewa posho ya kuhudhuria mnuso wa nyu yia....chezeya ubwabwa wewe...lazima uropoke lol, so simshangai shelukindo kutoa yake ya moyoni baada ya dompo kupanda kichwani....
 
Mh Beatrice Shelukindo ameamua kuvunja ukimya baada ya kutangaza kumuunga mkono Edward Lowassa kumrithi Mh. Rais Kikwete.

Shelukindo alitoa kauli hiyo Jumapili wakati akiwasalimia wakazi wa Monduli baada ya kukaribishwa kuchangia ujenzi wa Hosteli ya KKKT katika sherehe za kukaribisha Mwaka Mpya zilizofanyika nyumbani kwa Lowassa ambazo pia zilihudhuriwa na makada kadhaa wa CCM.


Kazi kwako Nape na Mangula, je bado siku 90 hazijafika?


=================
Beatrice Shelukindo mnuso huu ulikulevya...

Huyu Mama ni OPPORTUNIST; daima anafuata slesi ilyokuwa na SIAGI....Japo siHASA zetu huwa najitahidi kuziangalia kwa mbali bila kujihusisha nazo walau najua (kwa akili ya kawaida) WACHEZA KARATA TATU...HUYU MAMA NI MMOJA WAO
 
basi mtu kama ritz na njaa zake akiona ubwabwa kama huo masaburi yote yanatingishika na mate kumdondoka,,
hakosi kukimbilia maeneo kama hayo na ndizi zake mfukoni,akiambiwa itukane chadema tukupe ubwabwa huu,atamaliza matusi yote hapo,,
ccm njaa zinawadhalilisha sana kwa kweli,,sasa kanga,vitenge na ubwabwa vinawasaidia nini
 
mh beatrice shelukindo ameamua kuvunja ukimya baada ya kutangaza kumuunga mkono edward lowassa kumrithi mh. Rais kikwete.

Shelukindo alitoa kauli hiyo jumapili wakati akiwasalimia wakazi wa monduli baada ya kukaribishwa kuchangia ujenzi wa hosteli ya kkkt katika sherehe za kukaribisha mwaka mpya zilizofanyika nyumbani kwa lowassa ambazo pia zilihudhuriwa na makada kadhaa wa ccm.


Kazi kwako nape na mangula, je bado siku 90 hazijafika?


=================
beatrice shelukindo mnuso huu ulikulevya...


ritz hajaalikwa
hapo anafanya nini na ndizi zake mfukoni??
 
Haya haya wanazi wa CCM mnaomshauri vibaya hadi leo CC haijaundwa mtajibebaje?
 
Wewe umefisadi vingapi mkuu? tatizo ni level tu ndio tunatofautiana! kunawatu mnadhani mko safi sana ndio maana mnajiita wasafi simply mmefisadi visenti.... hamjui mmesababisha madhara kiasi gani kwa wengine... kama EL kafisadi mpelekeni Kisutu basi
Wewe bwabwaja lakini Lowasa ni fisadi mbaya kabisa na hafai kuwa rais wa Tanzania labda awe rais wa TFF...
 
kiukweli mpaka sasa bado sijapata akili juu ya uhusika wa E LOWASA KWENYE SAKATA YA RICHMO0ND
na swali dogo tu..JE LOWASA ALIPATA SHILING NGAPI KATIKA KASHIFA ANAYOTUHUMIWA?
 
NINAJUA WATU WENGI HAWAMPENDI HUYU MZEE LOWASSA, LAKINI NAWAAMBIA LOWASSA NDIYE CHANGUO LA WATANZANIA KWA 90% , TULIWAAMINI CHADEMA ILA SASA HAWANA TENA MUELEKEO HIVYO HAWATAWEZA KUKIONGOZA TAIFA HILI KAMA WAMESHINDWA KUKISIMAMIA CHAMA BASI HATUNA IMANI NAYO TENA. LOWASSA KAZA BUTI WATANZANI TUKO NYUMA YAKO MZEE WETU WA MAAMUZI, VIVA LAWASSA VIVA TANZANIA +LOWASSA 2015, :A S thumbs_up:
 
Alafu Nape simwoni kwenye pilau hapo alivimbiwa nn?
 
Back
Top Bottom