acha kutukana wengine maana huenda hapo ulipo ni fisadi hata kuliko lowasa.Tena unaweza kuwa hata jambazi
watu wengine mko nyuma kihabari sana aisee yani unalishangaa hili limama leo!mbona lilishanyea kambi muda mrefu sana baada tu ya uchaguzi mkuu uliopita kisa lowassa alifadhili chakula cha hisani kwa ajili ya kumpigia debe apate kacheo gani sijui mjengoni,mama akamsaliti hadi mumewe mzee shelukindo,sasa hivi ni yeye na bashe ndio pekee waliobaki kumpigania mzee,maana hamis mgeja nasikia uzalendo umemshinda,kaachana nae,mi nilidhani labda ana kilango ndio ingekua news sio beatrice anaeamini lowassa ni mwanamme wa shokaMh Betrice Shelukindo ameamua kuvunja ukimya baada ya kutangaza kumuunga mkono Edward Lowassa kumrithi Mh. Rais Kikwete.Kazi kwako Nape na Mangula, je bado siku 90 hazijafika?
chanzo: mwananchi
Hata mimi nitamuunga mkono lowasa. anayo kura yangu tayari. Tunahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, hata akiwa dictator kama kagame lakini analeta maendeleo hamna shida. hata akila kidogo lakini analeta maendeleo hamna shida, kuliko kutokula kabisa halafu hata maendeleo haleti.
Hakuna mtakatifu duniani, kila mmoja alishawahi kutenda kosa mara moja au zaidi, sema tu wengine hata wale wanaowanyoshea wenzao vidole hawajawekwa peupe tu, cha muhimu ni kwamba, mtu akifanya kosa huwa kuna mazingira ya kujirekebisha. kosa si kosa bali kurudia kosa.
Hata hivyo, suala la lowasa na kashfa yake, inasemekana anazo njia za kujieleza ambazo ameweka fumbo, kuna siku wakati wa kampeni atakuja kujieleza na watu watashangaa kwamba walikuwa wanapiga mayowe ya bure kwa mtu asiyehusika.
Yapo mengi yamejificha mle kwenye ile kashfa, na inawezekana lowasa akawa kafara tu. na wapo wengi waliokuwa juu ya lowasa wamefichwa, lowasa kachukua msalama wa wengi pale.
Mh!hii kali inachochea mgawanyiko ndani ya CCM!Secretariat ya CCM fanyeni kazi yenu!
Mh Betrice Shelukindo ameamua kuvunja ukimya baada ya kutangaza kumuunga mkono Edward Lowassa kumrithi Mh. Rais Kikwete.Kazi kwako Nape na Mangula, je bado siku 90 hazijafika?
chanzo: mwananchi
kama Mungu akitoa kibali kura nitampigia dr. w. slaa asipogombea nitampa EL.
Watu wenye akili vizuri kama bado wapo ccm hawawezi kubali huo upuzi. Huyu bwana hana jipya tena alikuwa kwenye mfumo muda mrefu lakini hana alichofanya.
Bungeni ndio usiseme kule kawa bubu sasa tumpe urais mtu kama huyu ili tulie tena miaka 10? Apewe cheo cha MZEE WA MICHANGO HIYO ATAWEZA.
Hii ndio tofauti ya CCM na CHADEMA, atleast ndani ya CCM mwanachama ana uhuru wa mawazo,hakuna kikao chochote kitakachopoteza muda kujadili kwanini mwanachama anaamini fulani ndio anafaa kuwa Rais na sio fulani.
Yaan ameshavuliwa lile gamba kwa hiyo tunafukiza marashi ili lile la richmond lisahaulikekweli shelukindo umebugi, kama ndivyo hata Rostam anafaa kuwa rais!Tunaitaji raisi mwenye maamuzi magumu kama lowasa.raisi ambae anamsimamo kwa sasa ssm ni lowasa tu.
Mh Betrice Shelukindo ameamua kuvunja ukimya baada ya kutangaza kumuunga mkono Edward Lowassa kumrithi Mh. Rais Kikwete.Kazi kwako Nape na Mangula, je bado siku 90 hazijafika?
chanzo: mwananchi