1) Si lazima , kwa anaekufa shahid hana haja ya kuoshwa ikibidi. Kwa kuwa somo la kuosha maiti kwa waislaam ni refu na ili nisiwaudhi wengine, nakuwekea hapa kink itakupa maelezo kamili, naomba tembelea hapo kama kweli wataka ilm: Authentic Step by Step Illustrated Janazah Guide
kwa maswali yako 2), 3), 4), 5) 6), yote yemejibiwa kwenye link niliyokuwekea hapo namba moja. Pitia huko,halafu kama hujapata jibu rudi.
haaa akioza bila mavi ndio anakuwaje kwani???hamna logic ya kumkamua mtu mavi!
sijawahi kukutana na thread chafu na ya hovyo kama hii
Uchafu wake uko wapi ndugu yangu.Unaweza ukaona uchafu lakini kwa wenzio burudani.
hana umaarufu wa kumfanya atupwe baharinihivi kwa nini wasingemtosa baharini?
yeye ni binadamu sio malaika so suala la kufa kwake is not an issue. Alazwe mahali pema penye mapepo
Uislaam umekuja kwa walimwengu wote. Maana ya uislaam ni kujisalimisha kwa muumba mmoja. Tuna uhakika na ushahidi kuwa uislaam ni wa kweli na Allah ni mmoja tu hajazaa wala hajazaliwa na ndiye muumba wetu. Hata yesu alimuomba "elai elai lama sabakhtani"!
Wajameni niko maeneo ya kinondoni, karibu na msikiti wa mtabani ambapo mwili wa yule aliyekuwa mnajimu maarufu unatarajiwa kuoshwa ikiwa ni maandalizi ya maziko hapo baadae mchana ktk makaburi ya tambaza. Fununu nilizozipata ni kuwa kuna idadi kubwa ya waosha imejitokeza kuuosha mwili huo. Nje ya msikiti watu wanadhani kuwa kujitokeza kwa idadi hii ni kutaka kuondoka japo napete moja kati ya yale mapete yavaliwayo ns sheikh. Wana jf, hizi fununu zaweza kuwa na ukweli?.
[/COLOR][/B][/SIZE]
Tangu lini mmeanza kukiri kuwa Yesu alisulubishwa?
Naomba kuelezwa haya bila jazba:-
1) Ivi mavi pekee ndio uchafu?
2) Wanakua na uhakika gani mavi yote yameisha?
3)Yale mavi yanafanyiwa nini?
4) Akiwa na govi anatairiwa na kuondoa utoko wote?
5) Akiwa na ukurutu, nywele chafu nk nazo hukwanguliwa?
6) Vp kuhusu wanawake? nani huwaosha? kuhusu hedhi? inatolewa yote?
7) Makamasi, je nao sio uchafu?
8) Kama mtu alikua mshirikina na anamachale mwili mzima,,usafi wa kumtoa mavi unasaidia nini?
9) Ivi mavi mbele ya Mungu ni machukizo?
10)Wale wanaokufa na kuungua moto na mavi yao huenda mbinguni/Peponi?
Nitaendelea.