Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Huyo bi mdogo aliolewa akiwa na miaka 11.
Akawa analala na wake wakubwa wa huyu JINI
Alipotimiza 15 akaanza kumegwa kama kawa babu
una uhakika mtu wangu?
Huyo bi mdogo aliolewa akiwa na miaka 11.
Akawa analala na wake wakubwa wa huyu JINI
Alipotimiza 15 akaanza kumegwa kama kawa babu
Orodha ya wachawi inazidi kupunguwa, mungu amuweke sehemu yoyote anayoona inastahili pepo mchafu huyu.
Huyu hadi azikwe ndio tutaamini habari hii, aliwahi kum-bipu Mungu mwaka jana baadae tukaambiwa yu hai!
R.I.P. Sheikh Yahya.
Kifo chake kimeacha pengo kubwa sana katika medani ya siasa za Tanzania hasa hasa kipindi hiki ambacho Nchi yetu inapita katika mitihani migumu sana kisiasa.
Mungu ailaze mahala pema peponi roho ya marehemu Sheikh yahya Hussein, kazi aliyotumwa imekwisha
He died this morning at his Magomeni home.
Kwa mujibu wa mwanawe aitwaye Hassan, Sheikh yahya amefariki kutokana na heart failure. Aliamka asubuhi ya leo akiwa buheri wa afya, akaanza kazi yake ya kuona wenye matatizo wanaokuja kwake.
Kama kwenye saa tatu hivi, akaanza kujisikia vibaya, akapewa glasi ya juisi lakini hali haikutulia. wakaamua kumkimbiza katika hospitali moja maeneo ya Morocco na alipofikishwa hapo madaktari wakasema tayari ameshafariki dunia.
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwake na atazikwa kesho jijini Dar.
Ameimaliza safari yake. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina
Kwa mujibu wa mwanawe aitwaye Hassan, Sheikh yahya amefariki kutokana na heart failure. Aliamka asubuhi ya leo akiwa buheri wa afya, akaanza kazi yake ya kuona wenye matatizo wanaokuja kwake.
Ameimaliza safari yake. Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi, Amina
Orodha ya wachawi inazidi kupunguwa, mungu amuweke sehemu yoyote anayoona inastahili pepo mchafu huyu.
Katika utabiri wake wakati wa uchaguzi alisema mgombea mmoja wa urais atakufa na iwapo hatokufa basi atakufa yeye binafsi..kwa hili alipatia kujitabiria kifo. Hoja hapa ni nani atakuwa akiwapa amri walinzi wasioonekana aliompatia mkuu wa nchi ?
Inalillahi Waiyna Illayhi Rajuuna