Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,445
- 2,507
http://hot255.com/cloudsfm/wp-content/uploads/2011/05/Sheikh Yahya Hussein61.jpgMtabiri maarufu wa mambo ya Nyoto afrika mashariki Sheikhe Yahya Hussein Amefariki dunia Leo baada ya kuugua kwa muda mrefu. mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospital ya Lugalo.
alitabiria wengine watakufa lini sijui kwa nn nae kashindwa kutuambia angekufa lini.
RIP.