Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,463
- 7,255
Inna Lillah Waina Illahi Rajoon
"Sisi ni wa Allaah nasi Kwake tutarejea, Ee Allaah Walipe wafiwa kwa msiba huu na uwape badili yake bora kuliko huo[/B]"
Mkuu hapo kwenye red maana yake nini!?
Yaani awape msiba mwingine bora kuliko huo ??