Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

lol hiki kigagula kaaga?? hakutabiri?

Mtu akishafariki mabaya huwa hayasemwi ndugu imagining it was your daddy, that was his life and his way of earning a living.....una umri gani?
 
Poleni wafiwa

kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke lazima atayaonja mauti.
 
Kama ni kweli poleni sana wafiwa na CCM kwa ujumla.
 
R.I.P sheikh Yahaya, nasikitika J.K atakosa ulinzi wa majini ya sheikh huyu alimwahidi kumpatia baada ya kuanguka jukwaani pale Jangwani.
 
Poleni wafiwa

kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke lazima atayaonja mauti.
 
Ningefurahi azikwe leo kama dini yetu ya Kiislam inavyotaka.
 
usimhukumu. sio kazi yako. mwachie mwenye kazi ya kutoa hukumu kwa wanadamu. ameshafariki ziara yake ya duniani imefikia kikomo. yamfuatayo yako nje ya mikono yetu. nadhani huitaji kuwa Mtanzania kulijua hili. mweshimu marehemu..at least kwa masaa machache ambapo mwili wake tutaendelea kuwa nao hapa duniani. sijaipenda hii comment yako asilani. Hata kama sikuwa nakubaliana na mambo yake. please!

Kaka manumbu nafikiri siku hizi jf imevamiwa na watu wenye "akili mgando" hivyo tuna kazi ya kuwaelimisha.

Ina lillah wa innaillah rajuun....mwenyezimungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi....amin.
 
Breaking news redio one wanasema jamaa kweli kaishia! RIP
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom