Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Sheikh Yahya Hussein afariki Dunia

Mm It is the year of Jubilee and nothing is going to remain the same! mm waliokuwa wakipata ulinzi itakuwaje? Aliowatabiria kufa bado wanadunda! ama kweli KIFO ni SIRI!:A S 103:
 
Nipeta Radio One breaking news...amefariki.

RIP Sheikh Yahaya Hussein.

Poleni Ikulu ya JK kwa kupotelewa na jemedari wenu mahususi.
Poleni CCM kwa kuondokkewa na mtabiri wenu, nanyi mwaka huu mwaenda huko

Tanzania bila utabiri itakuwa salama!
 
Maskini ameondoka kabla hajatutabiria nani anakufa hivi karibuni, au alijitabiria yeye mwenyewe akaona si vema kutangaza. Anyway RIP mtabiri wa vifo vya chadema.
 
Pole JK, ndio kusema ulinzi wa rais wetu umefika mwisho? au yale majin hayajaondoka nae?
 
hakuwa na lolote kuhusu ushindi wa CCM. ccm inapendwa na wananzengo (wananchi) na wala si viNGinevyo..!!! CCM Oyeee..!!
 
Hakika kila nafsi itaonja mauti. Mola ampe pumziko la amani.[/QUOTE]

Huyu aliyetaka kutuletea balaa Tanzania yetu apumzike kwa amani? Aende jehanum tu, kwamfaa sana huko, akakutane na Shehe Osama Bin Laden!
 
MODS unganisha hizi juu ya Tetesi za kifo hiki threads zipo kama 7 hivi
 
Amefariki ijumaa??? Sunnat wajehannumut.
yahya-11.jpg
Anafurahia kupewa bikira wake
 
True he is no more. Yeye kahamua kuwahi kabla ya huo utabiri wa kesho wa mnajimu mwingine Mzungu anaesema kesho ni kesho ama mbinguni ama jehanam
 
Mtu akishafariki mabaya huwa hayasemwi ndugu imagining it was your daddy, that was his life and his way of earning a living.....una umri gani?
usimhukumu. sio kazi yako. mwachie mwenye kazi ya kutoa hukumu kwa wanadamu. ameshafariki ziara yake ya duniani imefikia kikomo. yamfuatayo yako nje ya mikono yetu. nadhani huitaji kuwa Mtanzania kulijua hili. mweshimu marehemu..at least kwa masaa machache ambapo mwili wake tutaendelea kuwa nao hapa duniani. sijaipenda hii comment yako asilani. Hata kama sikuwa nakubaliana na mambo yake. please!
Nyie mnaonekana ni true watz....kuficha ficha mambo ndio maana miwshowe mnaumbuka kwa matatizo.....nakumbuka Uganda miaka ya 80 ilikupambana na AIDS ukifa na ngoma siku ya msiba unatangazwa kabisa.....manumbu kafariki kwa HIV!!!!....

NYIE tz kila mtu anakufa kwa kisukari.....ndio maana mnazidi kuwa maskini wakubwa kwa kuona aibu kuambiana ukweli......

Nani asiejua yahaya alikuwa mchawi,mwongo na mchonganishi kwa watanzania??......vitabu vinatuambia watu wa namna hiyo hawawezi kufika mbinguni.......suala la marehemu hasemwi imeandikiwa wapi? nipe aya
 
hapana ndugu mtu amefariki lakini bado wanaendeleza siasa badala ya kumuombea hebu tuache ujinga ndugu zanguni tunapoelekea sio kuzuri

kuwa mpole kaka, madhehebu mengine hayaamini katika kumuombea mtu aliyefariki, kama wewe inawezekana just muombee ila usilazimishe wenzako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom