MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
Give me a break!!!!!!!!!!!!!!!!, ina maana huyu jamaa ni that much important kwenye jamii mpaka kulazwa kwake kunatangazwa kwenye TV ya umma?????????
Fundi mkuu wa Ikulu ya Tanzania
Give me a break!!!!!!!!!!!!!!!!, ina maana huyu jamaa ni that much important kwenye jamii mpaka kulazwa kwake kunatangazwa kwenye TV ya umma?????????
Mungu amchukue tu..
correction....shetani hamshindi MUNGU......labda tuiweke hivyo
Sheikh alimwahidi JK ulinzi usio onekana lakini yeye mwenyewe hawezi kujilinda hata na magonjwa na hata anao walinzi wa kawaida tu ikimaanisha ya kuwa haamini hao walinzi wasionekana kumlinda yeye.Soma DEUTORONOMY 18:20 But the prophet who presumes to speak a word in MY NAME, which I have not commanded him to speak, or who speaks in the name of other gods, that prophet shall die."
Give me a break!!!!!!!!!!!!!!!!, ina maana huyu jamaa ni that much important kwenye jamii mpaka kulazwa kwake kunatangazwa kwenye TV ya umma?????????
Ndivyo yatakavyokuwa mambo hayo uliyojitaabisha nayo; wale waliofanya biashara nawe tangu ujana wako watatanga tanga mbali nawe, kila mtu akienda zake; hapatakuwa na mtu wa kukuokoa!!Hiyo ni mwanzo tu NENO LA UNABII JUU YA CCM SHEIHK YAHYA NA WENZAKE HILI HAPA!!! ISAYA 47: 1-15
Hapo ndipo mtamshangaa Mungu alivyo bize na nchi hii. CCM wanadhani amelala. Kama CCM wanambishia Mungu wasubirie waone. Ni Mungu ameamua. Full stop.
:smow::A S 13:Mungu amchukue tu..
saiah 47Source: TBC1 Habari ya saa 2
Yuko kitandani anaumwa.... TBC wameonyesha kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku.
ANACHEZA NA MUNGU HUYU!!!!!!!!!
Sawa lakini unapenda kutangulia?Hakuna atakaebakia.
Bado tunasubiriHajadedi tu?