Sheikh Yahya Alazwa !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sheikh Yahya Alazwa !!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngaramu, Oct 8, 2010.

 1. Ngaramu

  Ngaramu JF-Expert Member

  #1
  Oct 8, 2010
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Source: TBC1 Habari ya saa 2

  Yuko kitandani anaumwa.... TBC wameonyesha kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku.

  ANACHEZA NA MUNGU HUYU!!!!!!!!!
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Namwombea apone haraka na kurejea katika afya yake
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Get well soon Shk. Yahya Hussein
   
 4. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #4
  Oct 8, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135


  REDET
  wapo, wameshachukua nafasi yao ya ulinzi.
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Oct 8, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Anaumwa nini?
   
 6. Ngaramu

  Ngaramu JF-Expert Member

  #6
  Oct 8, 2010
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ETI YALEYALE YA iNDIA ENZI ZILEE!!!!!
   
 7. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  leo kumekuwepo na uvumi kuwa amefariki! niliona sms huku moshi. pengine atatabiri ni lini atapona kwa kuwa huyu ndo nabii isaya wa kikwete
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Pamoja na kutokubaliana na mitazamo yake ya kimaisha, kwenye hili la ugonjwa namuombea apone haraka. Kama binadamu lazima tupitie hizi test za hapa na pale na hakuna tunguri linaloweza kutuepusha na haya mambo ya waja wa dunia
   
 9. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Ndiyo atambue mlinzi mkuu ni mwenyezi Mungu pekee amuombe yeye na siyo majini amsaidie apone haraka aje kushuhudia Slaa akiapishwa.
   
 10. l

  lwangwa Member

  #10
  Oct 8, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Atabiri yeye atajkufa lini maana yeye anashindana na mungu mungu hamshindi shetani
   
 11. M

  Masauni JF-Expert Member

  #11
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unachopanda ndo unachovuna. Amemdharau Mungu kwa kusema yeye ndo mwenye kutoa ulinzi kwa wanadamu awapendao. Sasa Mungu anamuonyesha kwamba yeye(Mungu ) is above all, na hakuna mwanadamu atakaye uchukua utukufu wa Mungu.
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,859
  Likes Received: 11,978
  Trophy Points: 280
  Ameanza mlinzi wake who is next..............
   
 13. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #13
  Oct 8, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,745
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  tetemekeni kwa hofu, kwani yaja siku, ni siku yenye kutisha tena sana sanax2, usituhukumu Bwana kwa hasira yako, utupone ee Bwana............., waovu nao matapeli, watatoswaaa sana, tetemekeni kwa hofu yaja siku ile
   
 14. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Namwombea kwa Mungu amponye haraka. Kwani itakuwa furaha sana Sheikh kushughudia ushindi wa Slaa.
   
 15. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #15
  Oct 8, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Duh, pole sana Sheik Yahya!! Yaani umetoa ulinzi wa majini kwa Kikwete halafu wewe mwenyewe umeshindwa kujilinda? Ni wakati mzuri wa kutambua kwamba ulinzi wa kweli na mipango ya maisha anapanga Mungu na si mwanadamu. Muombe Mungu atakurehemu na kukuponya.
   
 16. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #16
  Oct 8, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,390
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  Jamani tuangalie na umri wa huyu babu!!

   
 17. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #17
  Oct 8, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mungu amchukue tu..
   
 18. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #18
  Oct 8, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  aliyoyafanya dhidi ya watanzania yatosha sasa. alale kwa amani
   
 19. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #19
  Oct 8, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  correction....shetani hamshindi MUNGU......labda tuiweke hivyo
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Oct 8, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  hivi ilikuwa ni nini tena?.....nimesahau
   
Loading...