Sheikh Yahya Alazwa !!

Msanii na Mfwatiliaji mmenichekesha kweli sina mbavu!! Mungu amponye huwezi kushindana na nguvu ya mungu Shekhe Yahya. Mwache Mungu aitwe Mungu.
 
Khe khe kheeeeee ameamua kuwashitua kidogo khe khe kheeeeeeeee huoni TBC wamemuweka kwenye nyuziii!.
 
Jamani hata kama ni mtu mwenye dhambi msifurahie kuumwa kwake. ni wengi sana tuna dhamb japo mnaziona kama ndogo.
MUNGU atusaidie sote.
 
Jamani hata kama ni mtu mwenye dhambi msifurahie kuumwa kwake. ni wengi sana tuna dhamb japo mnaziona kama ndogo.
MUNGU atusaidie sote.






Join Date Fri Oct 2010 Posts 5 Thanks 0









pole yake, kuweni makini, atahamishia ugonjwa kwenu, ha haha



Join Date Fri Oct 2010 Posts 1 Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Thats the best option .... .... .... kheee klheeee kheeeeeeeeeee
 
Yahaya, kumbuka wewe ni mavumbi, na mavumbini utarudi. Mtubie Mungu wako naye atakurehemu.
 
Msanii na Mfwatiliaji mmenichekesha kweli sina mbavu!! Mungu amponye huwezi kushindana na nguvu ya mungu Shekhe Yahya. Mwache Mungu aitwe Mungu.
ah kwa kweli kuna watu unaweza kusema wana faida kwa taifa hili. lakini huyu mtanzania mwenzetu amekuwa ni hasara kwa kwenda mbele. anawadhalilisha waislam wenzake kwa kuchanganya imani na majini, anajiita sheihk na anahutubia ilihali anapiga bao.
amehadaa wengi na amepata utajiri kwa hila kubwa.
Ofkoz akifa nitalia kuwa ametutoka mtanzania mwenzetu lakini ntamsahau na kusheherekea kutokuwepo kwake.

Hebu fikiri alivyolikoroga taifa lqast week. ni ujinga kumshabikia. anapaswa atubu kwa Mungu kabla hajasafiri salama.
 
Hiyo ni mwanzo tu NENO LA UNABII JUU YA CCM SHEIHK YAHYA NA WENZAKE HILI HAPA!!! ISAYA 47: 1-15
Hapo ndipo mtamshangaa Mungu alivyo bize na nchi hii. CCM wanadhani amelala. Kama CCM wanambishia Mungu wasubirie waone. Ni Mungu ameamua. Full stop.
 
nashangaawameenda akina nyerere ati huyu jamaa anacheza na media

atangulie tu
 
mimi nawasiwasi na mkono wa chadema huenda wamemkolimba kwani mnajimu huyu amekuwa mwiba mchungu kwa chadema!!!
 
Source: TBC1 Habari ya saa 2

Yuko kitandani anaumwa.... TBC wameonyesha kwenye taarifa ya habari ya saa 2 usiku.

ANACHEZA NA MUNGU HUYU!!!!!!!!!

Give me a break!!!!!!!!!!!!!!!!, ina maana huyu jamaa ni that much important kwenye jamii mpaka kulazwa kwake kunatangazwa kwenye TV ya umma?????????
 
Back
Top Bottom