Sheikh wa Wilaya Bagamoyo amkana Lowassa

Sheikh wa Wilaya Bagamoyo amkana Lowassa

Ndio mkuu, kumbe alivaa bulletproof tatu bwana Dah!

Khakha,
Umenipa raha sana maana nacheka peke yangu.
Kwa hiyo ile "ambush," si lolote mbabe kapona.

Sasa senema itamalizika vipi?
Unampa kazi mpya "Director."
 
Hayahayahayaaaaaaaaa namuona sasa komando anaamka tena baada ya kumminiwa risasi kama sabini hivi,

Huyo ndiyo lowasa bwana najiuliza wanafunzi walijuaje kuwa leo atakuwa idodomia hivyo wakajiandaa kumtokezea?

Na je kesho atakuwa wapi ili mapadri na wachungaji wamtokezee, labda itakuwa mbeya,ngoja tuone

Alafu walipofika pale kwake walikuta tayari kuna maturubai yameandaliwa kwa ajili yao,wasiungue tena na jua.
 
Wote ni njaa Zao zinawasumbua. Wanatumika. Hata Huyo anayekanusha.....ni dhahiri katumwa na wale..wa upande wa pili....it's politics.
 
Alafu walipofika pale kwake walikuta tayari kuna maturubai yameandaliwa kwa ajili yao,wasiungue tena na jua.

Kwani wewe ukienda kumtembelea nduguyo si unatoa taarifa na maandilizi kufanywa? Sasa hapa EL kakosea wapi kuwawekea turubai wageni wake ?
 
Kwani aliyesema ulikuwa na baraka za Kikwete ninani?. Kikwete na familia yake wanamtaka Membe. Hata Lowasa hajasema wametumwa na Kikwete. Hivi nyinyi mnadhani Rizone amefurahi kuona mashekhe wamejaa Dodoma?. Lazma atahangangaika tu.
Kasema Lowasa, ...“Nyie ni special (maalum), mnatoka Bagamoyo na inajulikana kwa historia na ni nyumbani kwa Rais (Jakaya Kikwete). Namimi nimepata baraka zake na nyie mmemuwakilisha,” alisema Lowassa.
 
Kwani wewe ukienda kumtembelea nduguyo si unatoa taarifa na maandilizi kufanywa? Sasa hapa EL kakosea wapi kuwawekea turubai wageni wake ?

Nyie endeleeni na sinema zenu tu,lakini steringi wenu lazima atafia kwenye maua ya kizota.
 
Hali ni tete soma hapa
 

Attachments

  • 1427087124446.jpg
    1427087124446.jpg
    51.7 KB · Views: 983
Kwa kasi hii ya Mh. LOWASA sipati picha kama jina lake halitapitishwa nini kitatokea.
 
Jamani isikute hao masheikh wanatokea kijiji cha bagamoyo mkoani Tanga.
 
Hiki anachofanya Lowassa JK alifanya 2005 nashangaa kwanini inakuwa nongwa sasa!?
 
Kweli senema tamu,hii ni series kali kabisa.
Tusubirie epsode inayofuata,
 
Back
Top Bottom