Hayahayahayaaaaaaaaa namuona sasa komando anaamka tena baada ya kumminiwa risasi kama sabini hivi,
Huyo ndiyo lowasa bwana najiuliza wanafunzi walijuaje kuwa leo atakuwa idodomia hivyo wakajiandaa kumtokezea?
Na je kesho atakuwa wapi ili mapadri na wachungaji wamtokezee, labda itakuwa mbeya,ngoja tuone
Soma hapa tamko la viongozi wa dini jinsi walivyopinga juu ya upotoshwaji wa vyombo vya habari.
View attachment 236919
Mohamed Said,
..vipi leo uko upande mmoja na Shekhe wa Bakwata?
..kwani Mashekhe waliokwenda kwa Lowassa walisema wao ni Mashekhe wa Bakwata?
..pia sidhani kama hili ni suala la Ushekhe, kinachoendelea hapo ni SIASA na harakati za uchaguzi mkuu.
Wewe unayejiita Gamba la Nyoka ndio wakuogopwa zaidiKama Mtu anajiundia "Mashehe" Wake , Then Mashehe hawa wakamuunga Mkono HUYU MTU SI WA KUOGOPA KAMA UKOMA?
Pisto Lero,
JF ina raha yake.
Nimecheka peke yangu...
Eee bwana Komando kanyanyuka baada ya zile risasi zote!
Pamoja na hizi sinema za EL zinazoendelea kushika kasi lakini bado tunapaswa kujiuliza hao Bakwata ni nani hadi wahitajike kuwatambua masheikh?