Sheikh wa Wilaya Bagamoyo amkana Lowassa

Sheikh wa Wilaya Bagamoyo amkana Lowassa

Kwani aliyesema ulikuwa na baraka za Kikwete ninani?. Kikwete na familia yake wanamtaka Membe. Hata Lowasa hajasema wametumwa na Kikwete. Hivi nyinyi mnadhani Rizone amefurahi kuona mashekhe wamejaa Dodoma?. Lazma atahangangaika tu.
 
Ndiyo anavyozidi kuonyesha uhuni wake wa kutoa kauli ambazo hajui athari zake. Sasa kaumbuka kwa kiwango cha juu kabisa na mapicha kibao hadharani akiwa na "Masheikh wa Bagamoyo" kumbe ni udanganyifu tu.

Kaingizwa chaka..wale ni wanywa kahawa tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Filamu hii naifananisha na filamu ya Kadinal Pengo na baraza la maaskofu katoliki TEC kupingana hadharani juu ya KATIBA,
 
Kuna vitu vingine ni kutoelewa tu, huyo Shehe anaekanusha anasema kuwa huo sio msimamo wa waislamu wa Bagamoyo, kwani ni wapi imesemwa kuwa huo ni msimamo wa waislamu?

Kuna watu ambao inatajwa kuwa ni mashehe kutoka Bagamoyo wameenda kumuomba Sokoine Junior agombee urais, what is wrong there mpaka watu waanze kuhangaika kukanusha?

Hapa kuna kamchezo Bw mamvi kajichezea mwenyewe
 
Mchezo aliocheza ni wa timu za mpira wa viwanja vya mchangani na wachezaji wa miaka minne hadi mitano. He played so low to be my president.
 
Hayahayahayaaaaaaaaa namuona sasa komando anaamka tena baada ya kumminiwa risasi kama sabini hivi,

Huyo ndiyo lowasa bwana najiuliza wanafunzi walijuaje kuwa leo atakuwa idodomia hivyo wakajiandaa kumtokezea?

Na je kesho atakuwa wapi ili mapadri na wachungaji wamtokezee, labda itakuwa mbeya,ngoja tuone

Pisto Lero,
JF ina raha yake.

Nimecheka peke yangu...
Eee bwana Komando kanyanyuka baada ya zile risasi zote!
 
WANGEKUWA NI MASHEIK WA KKOO ungewaona wanafaa
kwa mleta uzi haamini kama kuna watanzania timamu zaidi ya kkoo

Umetuandikia historia ya babu zako wa kko na kutaka zifundishwe shule za msingi kama ndio historia ya nchi.

HAO MASHEIKH wana njaa na wanatafuta kushiba kama woote tulio ccm
 
Nimependa jinsi ulivyofikisha ujumbe

Kadoda 11 na Cargo,
Enzi zetu kujipumzisha na kustarehe mwisho wa juma ilikuwa kusoma.
Nyie ni DVD tena muziki, muziki, muziki...

Ndiyo maana nikiandika mnafurahi...
Ni staili tu za waandishi mbalimbali tuliosoma miaka na miaka iliyopita.
 
WANGEKUWA NI MASHEIK WA KKOO ungewaona wanafaa
kwa mleta uzi haamini kama kuna watanzania timamu zaidi ya kkoo

Umetuandikia historia ya babu zako wa kko na kutaka zifundishwe shule za msingi kama ndio historia ya nchi.

HAO MASHEIKH wana njaa na wanatafuta kushiba kama woote tulio ccm

Marytina,

Sikuandika habari za Karikaoo ili zisomeshwe.
Hata kama nitataka iwe hivyo mimi nina uwezo gani wa kutimiza hilo?

Niliandika kwa kuwa niliamini kuna historia ambayo inafaa watu wakaisoma
na kujua mchango wa wazee wangu katika kuunda TANU na kupigania uhuru.

Niliona ile historia iliyokuwa ikimtaja Nyerere peke yake ilikuwa imepwaya sana.
Hiki ni kitabu cha Abdul Sykes (1998).

Hicho cha shule ya msingi wala sikutaka mimi ni Oxford University Press (Nairobi)
ndiyo waliniomba niandike.

Hii ilikuwa mwaka wa 2007.
Ukipenda kujua zaidi ingia hapa:
''The Torch on Kilimanjaro'' - Mohamed Said
 
Too too low huyu alikuwa hafai kuwa hata mbunge . Halafu kama anataka si aseme tu kuna haja ya kukodisha watu wambembeleze agombee. Binadamu anayehitaji kuwa kiongozi level yoyote anatakiwa ajiamini kabla hajaaminiwa na wengine. Sasa hii michezo ya sitaki, nataka mara nimeshawishika hailipi. Kama anasubiri kushawishiwa hawezi kuiongoza hii nchi kwa dhati. Anaweza akasubiri kushawishiwa kufanya majukumu yake ikishaingia ikulu.

Mchezo aliocheza ni wa timu za mpira wa viwanja vya mchangani na wachezaji wa miaka minne hadi mitano. He played so low to be my president.
 
Bakwata haiwatambui hao masheikh......swali je hao masheikh wanaitambua hiyo Bakwata????Mohammed Saidi umekaa mtaa wa Riyadha moshi ukisikia kitu bakwata imefanya kwenye ule msikiti wa Riyadha na shule ya kiislamu ya kibohehe you wont trust your ears wachilia mbali shule ya muslim ambayo naghani ulisoma.
 
Kwani aliyesema ulikuwa na baraka za Kikwete ninani?. Kikwete na familia yake wanamtaka Membe. Hata Lowasa hajasema wametumwa na Kikwete. Hivi nyinyi mnadhani Rizone amefurahi kuona mashekhe wamejaa Dodoma?. Lazma atahangangaika tu.
nimejikuta nimecheka kwa sauti,lazima Ri1 atahangaika
 
Hakuna sheikh pale. Tazama vizuri kwenye picha yule anayejiita sheikh aliyekuwa mbele kashika chupa ya maji, aweza kumchangia Lowasa pesa yule?!

Unataka kusema nini sasa?funguka mzee
 
Hayahayahayaaaaaaaaa namuona sasa komando anaamka tena baada ya kumminiwa risasi kama sabini hivi,

Huyo ndiyo lowasa bwana najiuliza wanafunzi walijuaje kuwa leo atakuwa idodomia hivyo wakajiandaa kumtokezea?

Na je kesho atakuwa wapi ili mapadri na wachungaji wamtokezee, labda itakuwa mbeya,ngoja tuone

Duuuh umenikumbusha mbaaali enxi za video kwa jirani
 
Namwonea huruma huyu kiongozi wa dini team ya EL itamtafuta, ila nashukuru hana njaa
 
Ni aina fulani ya utapeli which in my opinion is criminal. Kwanini Lowasa akachagua Bagamoyo? Eti anaamini wametumwa na rais!

no anamuiga Mwalimu , masheikh wa Bagamoyo ndio walimuombea dua . sasa na yeye anjifanya Malimu
 
Back
Top Bottom