lol! Mbali na ufisadi kumbe pia Lowassa ni muongo! Dah! Kazi kweli kweli! tabia zake zimefanana sana na DHAIFU, "Pesa za Escrow si pesa za Serikali."
Basi lowasa mjinga sana kwanini anafanya mambo ya hovyo kiasi hiki,
Anataka kuipeleka wapi nchi akipata huo urais,
Hajatosheka na ufisadi anafanya uminga mwingine mpuuzi sana.
hela za lowasa zinaliwa kirahisi sana ! kumbe hata wewe ni mshauri wake ?Kuna vitu vingine ni kutoelewa tu, huyo Shehe anaekanusha anasema kuwa huo sio msimamo wa waislamu wa Bagamoyo, kwani ni wapi imesemwa kuwa huo ni msimamo wa waislamu?
Kuna watu ambao inatajwa kuwa ni mashehe kutoka Bagamoyo wameenda kumuomba Sokoine Junior agombee urais, what is wrong there mpaka watu waanze kuhangaika kukanusha?