lol! Mbali na ufisadi kumbe pia Lowassa ni muongo! Dah! Kazi kweli kweli! tabia zake zimefanana sana na DHAIFU, "Pesa za Escrow si pesa za Serikali."
Unajuaje kama hii taarifa haijaandaliwa na Nape!!???
lol! Mbali na ufisadi kumbe pia Lowassa ni muongo! Dah! Kazi kweli kweli! tabia zake zimefanana sana na DHAIFU, "Pesa za Escrow si pesa za Serikali."
ana tatizo kubwa sana la kisaikolojia , anaamini ana akili kuliko watu wote , huu ni ugonjwa mbaya sana !yaan huyu "low hasa" anatumia mbinu za kizamani sana!
Mkuu mimi sio shabiki wa Lowasa na CCM yake kwa ujumla, ukiachilia mbali kuwa mshauri.hela za lowasa zinaliwa kirahisi sana ! kumbe hata wewe ni mshauri wake ?
Hata wewe wamponda Kada wa chama chako? Kwa maana hii pia wakiponda chama chako mwenyewe kilichomkataza kufanya kampeni za chini chini, akapuuza, na kimeshindwa kumuadhibu! Unafikiri mambo haya yanaleta afya kwa chama au magonjwa? Anyway nimejiuliza tu, unaweza nipotezea vilevile.Basi lowasa mjinga sana kwanini anafanya mambo ya hovyo kiasi hiki,
Anataka kuipeleka wapi nchi akipata huo urais,
Hajatosheka na ufisadi anafanya uminga mwingine mpuuzi sana.
Ni aina fulani ya utapeli which in my opinion is criminal. Kwanini Lowasa akachagua Bagamoyo? Eti anaamini wametumwa na rais!
Hakuna sheikh pale. Tazama vizuri kwenye picha yule anayejiita sheikh aliyekuwa mbele kashika chupa ya maji, aweza kumchangia Lowasa pesa yule?!Woooote wale, basi wameasi.
Siamini kwamba msafara ule ulikuwa na baraka za Jakaya....labda kutaka kujionyesha kwamba ana support toka kwa fisadi mwenzie AKA DHAIFU....Urafiki wao si wa kukutana barabarani. Saa hizi watakuwa busy kupanga mikakati ya kupangua hii aibu nyingine kubwa dhidi ya huyu fisadi Lowassa.
Ukoma chamtoto, andika Ebola.Kama Mtu anajiundia "Mashehe" Wake , Then Mashehe hawa wakamuunga Mkono HUYU MTU SI WA KUOGOPA KAMA UKOMA?