Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

Mimi na wewe tunaing'ng'aniaje zanzibar ?
Mfano wewe hapo unaing'ang'ania vipi zanzibar?
Au wewe serikali ni serikali ?
Mimi naing'ang'ania Zanzibar sababu niko chini ya utawala wa serikali.Na serikali ni kundi la watu ni Mimi na wewe.Lazima pawe na kiongozi na muongozwaji.
 
waliitwa FBI kutoka MAREKANI KUCHUNGUZA PADRI KUMWAGIWA ACID NA KUULIWA WALICHUNGUZA WAKAKUTA PADRI ALIWAZULUMU WAUZA UNGA COCAIN MGAO MAANA NA YEYE ALIKUWA MUUZAJI WALIOZULUMIWA MZIGO WAKAMFANYIA
Na makanisa yaliyochomwa waumini walimdhulumu nani? Au padri alikula sadaka za waumini wakaamua kuchoma makanisa?
 
Unaushahidi gani yaliyokuwa yanatolea kibiti kuna mkono wa watu wa usalama?
Kama hawakurupuki na yaliyofanywa Kibiti ni sahihi kwanini hakuna mwandishi alieruhusiwa kwenda!? Na aliekwenda yuko wapi hadi leo!?
 
kina sheikh kipozeo alibaki kusifia juhudi na kumwambia mkulu "i lavi yuuu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wakila ubwabwa wakishiba wanasahau kabisaa yanii.. Tz inawapend sana hasa Dar...
 
Mhh.. hv uamsho walipaswa kuamsha dini au siasa? Ok wanasema dini zinahubiri upendo, mbona wao walikuwa wanahubiri chuki na kujitenga badala ya kuunganisha na kuhamasisha upendo?
Nionavyo mini huwezi kuhubiri UPENDO kama hamna HAKI, naamini wewe ni mkristo Yesu alifikia kupiga mateke meza za masanduku ya Pesa alipoona Wayahudi wanafanya biashara sehemu za Ibada bila kutenda haki. Matayo 21:12-14

Wazanzibari wanataka haki kwenye Muungano, au wajitoe kwenye Mungano wajiongoze wenyewe wanavyotaka kutoka na itikadi na mila zao, binafsi sioni ubaya wowote kwa hilo..

Wazanzibari wanaamini dini ni siasa na siasa ni dini kwani Uislamu ni mfumo wa maisha
 
Nitashangaa sana kama kuna muislam anayeelewa dini yake vizuri akaipigia kura ccm mwaka 2020.Masheikh zaidi ya 2000 wapo magereza mbalimbali kama arusha kwa kesi za kubambika ugaidi

Mkuu wapo tele watakaoipigia kura. Nchi imejaa wajinga hii
 
Si umeona akili zako zilivyo...

Ngoja waje watakao weza na majibu kama yako ya kipuuzi
Ndiyo umejibu swali uliloulizwa??
Sasa jibu swali

Niambie mwisho wa huyu Padri aliyekamatwa na bunduki 48 , Eti ni za ujangili



PADRI AKAMATWA KWA UJANGILI HUKU BUNDUKI 48, RISASI 764 ZIKIKAMATWA


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, akionyesha bunduki aina ya AK47 kati ya silaha zilizokamatwa katika msako maalum wa ujangili.
 
Mashekhee wanaliwaa tigo tu hukoo Rumandee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kumbe mnaliwa tigo Kanisani na Mapadri wa kizungu na mumekaa kimya


Tanzania

St Michael's Catholic Boarding School, Soni, Tanzania

A prominent United Kingdom member of the order, Fr Kit Cunningham, together with three other priests, were exposed after Cunningham's death as paedophiles.

While at Soni, Cunningham perpetrated sexual abuse that made the school, according to one pupil, "a loveless, violent and sad hellhole".

Other pupils recall being photographed naked, hauled out of bed at night to have their genitals fondled, and other sexual abuse.

Although known about by the Rosminians before Cunningham's death in 2010, the abuse was not reported by the media until 2011.

Formal action was launched by a group of former pupils who filed a civil suit at the civil court in Leicester, UK on 20 March 2013.
 
Ndiyo umejibu swali uliloulizwa??
Sasa jibu swali

Niambie mwisho wa huyu Padri aliyekamatwa na bunduki 48 , Eti ni za ujangili



PADRI AKAMATWA KWA UJANGILI HUKU BUNDUKI 48, RISASI 764 ZIKIKAMATWA


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, akionyesha bunduki aina ya AK47 kati ya silaha zilizokamatwa katika msako maalum wa ujangili.
AK47 Inatumikaje katika ujangili? Hivi hawa wakristo wa siku hizi wanafunzwa CHUKI MAKANISANI KWAO BADALA YA UTU NA UPENDO?
 
Kwa hiyo unatuaminisha CCM NI CHAMA CHA WAKRISTO AU?

UNATAKA TUAMINI KATIKA UDINI NA UKABILA?

AMA HAKI IKINYIMWA NDIO MNAJISIKIA RAHA? Wakimaliza upande ule watakuja kwenu...
Waanzilishi wa neno "ugaidi na magaidi" sasa wanakula matapishi yao wanaumbuka kila sehemu "WAMEBAKI WASIOJITAMBUA WANAUIMBA HUO WIMBO..."
CUF yenu iliwafikisha wapi?
 
Kilatha wewe ni baradhuli na nge- m- se. Nafikiri hukuwa informed walipojkamatwa Uamsho na akili yako iko zero na inamtindio wa ubongo. hawa masheikh walikamtwa mwaka 2012 kule znz na wakaletwa T/ bara kwa mkoloni kwa ajili ya mateso wakati wa interrogation, walikuwa wakifanya mikutano ya kukosoa muungano huu bandia kitu ambacho inaelekea kimewaudhi watawala. Baada ya hapo wakakamatwa na kuletwa huku bara kwa mkoloni. Ukifuatilia kwa makini masheikh hawa waloteswa sana na kufanyiwa vitendo vya udhalilishaji. Sasa yaelekea wewe unafurahia walivyofanyiwa. Kama wewe ungetiwa jiti la mk-u-ndu na chupa ungefurahi?
wewe ni mtu shetani unafurahia wenzako waaathiriwe kwa mabaya.
We boya/papai ,hebu vaa viatu vya ndugu wa padri aliyeuwawa sababu ya hao mapimbi.!!

Watu waliokosa maji sababu ya kukuta vinyesi visimani.!!!

Watu waliochomewa nyumba zao za kuabudu.!!


Tatizo la waislamu kwenye kila jambo mnatanguliza dini kwanza, yani mtu akikosea akiwa muislamu mwenzenu mnaona hajakosea...hii dini hii..
 
Kwa taaria yako padre alipigwa risasi na waumini wenzake waliodhulumiana mauzo ya pesa za madawa ya kulevya. Jiulize kwanini kesi ile haikuendelea? hata baada ya uchunguzi wa mchoro uliosadiwa na taifa kubwa? uchunguzi ulionesha kuwa ule mchezo ni dili za wao kwa wao. Padre kacheza mchezo mchafu. wakamfanyia kitu kibaya. Hata mimi sikubaliani namna alivyofanyiwa padre. Haikubaliki ktk haki za binadamu kwani padre alikuwa na haki ya kuishi, Znz tumeishi na wakristo tokea enzi na enzi bila ya kudhuriana, ni wamoja kwa kila hali, utamaduni, kuzungumza, kuoleana nk .
Kama huyajui uliza ufahamishwe.
Teh teh teh..

Hizi akili ni madhara ya elimu akhera sheikh..

Hivi ndugu, unadhani usalama wa taifa ni wapumbavu kiasi hicho, yani wakamaate watu wasiohusika kisha vurugu zote ziishe.???

Ni hivi kati ya wale waliokuwa wanaongozana na wale masheikh kwenye ule upuuzi wao ndiyo walikuwa wanatoa information zote kwa serikali..
 
Kwa hiyo unatuaminisha CCM NI CHAMA CHA WAKRISTO AU?

UNATAKA TUAMINI KATIKA UDINI NA UKABILA?

AMA HAKI IKINYIMWA NDIO MNAJISIKIA RAHA? Wakimaliza upande ule watakuja kwenu...
Waanzilishi wa neno "ugaidi na magaidi" sasa wanakula matapishi yao wanaumbuka kila sehemu "WAMEBAKI WASIOJITAMBUA WANAUIMBA HUO WIMBO..."
Ni wapi nimetaja hata neno CCM?

Ni wapi nimesema CCM ni ya wakristo?
 
Back
Top Bottom