Wazanzibari sio watu wajinga, Wazanzibari wameishi na ndugu zao Wakristo wazawa wa Wazanzibar miaka nenda miaka rudi..
Zanzibar hususan Mji mkongwe kumeenea CCTV kila Kona, kitendo cha askofu kuchomwa visu kiliwasikitisha Wazanzibari wengi, kile kitendo kilifanyika karibu na Kanisa la minara mwili ambalo liko Mji mkongwe,
Serikali ilipoambiwa itowe video za ccctv walikataa, walipoambiwa wawaite wachunguzi kutoka nje kama vile FBI, SKOTLAND YARD walikataa..
Tafadhali usiandike vitu usivyovijua, tafadhali weka hisia zako pembeni, angalia uhalisia wa jambo hili
Vile vitendo vilivyotokea Zanzibar vilidhaminiwa na WASIOJULIKANA, kwa madhumuni ya kuleta Taharuki Zanzibar..
Kosa la UAMSHO ni kuwazindua Wazanzibari kuhusu Muungano, kupigania Zanzibar huru yenye mamlaka kamili..
Kama UAMSHO wana kesi ya kigaidi mbona hawashtakiwi..!??