Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,672
- 18,552
Sema Kanisa KatorikiNdiyo mafundisho ya kanisa lako??
Sema Kanisa KatorikiNdiyo mafundisho ya kanisa lako??
Lazima ukubali kwamba muamsho walikuwa ni watu wa fujo hata kama ni waislamu wenzetu.Tatizo lenu makaririshwa kama kasuku jinsi mlivyokua vichwa tupu toa mfano wa machafuko walofanya
B kama unajua wamefanya machafuko kwa nini HUPELEKI USHAHIDI MAHAKAMANI WAKANYONGWA??
Unabaki kupayuka JF tuu???
Unamuachaje KarumeKwani kanisa lako limepatiwa na mtumishi wao Laanatullahi Nyerere??
Kweli suo haki kutenda lolote ovu, kama uliyoyataja. Kazi ya polisi wamshikapo muovu ni kufanya uchunguzi na kumpeleka mahakamani akahukumiwe.
Hii ya kuwaweka watu miaka 6 , unaiona ni sawa?
Hata kama wakatoliki nao wakifanya ugaidi,wakamatwe au kunyongwa kabisa..Hiyo ndio dhamira ya kanisa Katoliki
Tena hao ndiyo wanaipa CCM kichwa.Hawa ma sheikh wanaonewa sana, kama wana makosa si mahakama ipo?
Cha ajabu kuna waislam wanaona bado CCM inafaa na kuwapigia kura.
Damn
Karume kwani ni Mkatoliki?Unamuachaje Karume
Hata kama wakatoliki nao wakifanya ugaidi,wakamatwe au kunyongwa kabisa..
Acha kuingiza udini mkuu
| Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, akionyesha bunduki aina ya AK47 kati ya silaha zilizokamatwa katika msako maalum wa ujangili. |
Alishirikiana na Wakatoliki kuiunganisha Tanganyika na Zanzibar kwa kusani mkataba usiokuwa na kipegele cha kuuvunja.Karume kwani ni Mkatoliki?
Kwani ccm.ndio iliowakamata hao masheikh?? Au kua sheikh au Padre ndio huwezi kushtakiwa?? Tuache mihemko twende taratibu na serikali itaelewa tu hoja zetu lakini tusihusishe dini na yanawahusu viongozi hao wa dini na pia mm kama muislam siwezi kuchaguliwa chama cha kukipigia ili mradi naona hiki kitanifaa na si kuleta uchonganishi hapa wa dini na siasaNitashangaa sana kama kuna muislam anayeelewa dini yake vizuri akaipigia kura ccm mwaka 2020.Masheikh zaidi ya 2000 wapo magereza mbalimbali kama arusha kwa kesi za kubambika ugaidi
Nyie jamaa mnachuki sana na wakristo,ila sisi pamoja na yote tunawapenda sana..Thubutu, kwanza niambie mwisho wa huyu Padri aliyekamatwa na bunduki 48 , Eti ni za ujangili
PADRI AKAMATWA KWA UJANGILI HUKU BUNDUKI 48, RISASI 764 ZIKIKAMATWA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, akionyesha bunduki aina ya AK47 kati ya silaha zilizokamatwa katika msako maalum wa ujangili.
😳😳
Alafu kumbe huyo ni jangili,sio muuaji wa binadamu wenzake,..Thubutu, kwanza niambie mwisho wa huyu Padri aliyekamatwa na bunduki 48 , Eti ni za ujangili
PADRI AKAMATWA KWA UJANGILI HUKU BUNDUKI 48, RISASI 764 ZIKIKAMATWA
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, akionyesha bunduki aina ya AK47 kati ya silaha zilizokamatwa katika msako maalum wa ujangili.
😳😳
Hao masheikh wamekamatwa kipindi hiki.Hili swala lilitakiwa limalizwe na Mzee Kikwete wakati bado yuko madarakani.
Kuliacha suala hili mikononi mwa wakatoliki lilikuwa kosa kubwa sana alilolifanya Mzee Kikwete!
Hao masheikh wamekamatwa kipindi hiki.
Raisi -Muislamu
M/Raisi - Muislamu
IGP-Muislamu
Jaji Mkuu- Muislamu
DG-TISS-Muislamu
Leo mnamlaumu mkatolili kwa suala hili. Angalia kipindi wanakamatwa,kiongozi alikuwa nani.
Soma kitabu cha Padri Sivallon Kanisa Katoliki na siasa za Tanzania bara utajua nini kanisa limefanya Tanganyika na linafanya nini Zanzibar
Tena hao ndiyo wanaipa CCM kichwa.
Lazima ukubali kwamba muamsho walikuwa ni watu wa fujo hata kama ni waislamu wenzetu.
Walikuwa wanautia picha mbaya uislamu uonekane dini ya fujo fujo.
Wale uamsho walikuwa wana madhara makubwa sana kwa sababu walikuwa wanatumia silaha ya mdomo kuwashawishi watu mambo ambayo kimsingi hayana maana kwao.
Mimi binafsi naona muamsho walikuwa watu wa fujo,wachafua amani ya zanzibar.
Kuhusu hukumu yao mimi sijui katiba inasema,ila naunga mkono wanaosema Kwamba walikuwa wavunja amani.
Bakwata wazee wa Ubwechee...[emoji23][emoji23][emoji23]waislamu mambo leo. hawana chembe ya uislamu isipokuwa unafiki. Nawaombea hao wote uliowataja Allah awatie motoni, tena ule first class burning fire. awachanganye na BAKWATA lanatullah
Mapumbu inayoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]waislamu husuan wa tanganyika amkeni . CCM siyo chama cha kukipa kura yako. wape kura ACT wazalendo, chadema na vyama vyengine lakn sio CCM. hawa ndio waliowakamata na kuwawaeka jela masheikh wa uamsho kwa mika 7 sasa bila ya kuanza kwa kesi isiyo na miguu wala mapumbu. Huu ni uonevu tu. wakti ukikaribia wa uchaguzi wa 2020 tutafanya kampeni misikitini ya kutoipa kura CCM.