Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.

Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa sheikh aboud rogo, na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazuia watoto wao.

Yaani kama kuna maadui wa kiislamu wanaojidai kupambana na uislamu, basi jueni vijana wa kiislamu wao wamepinda zaidi. Endeleeni kuwachokoza. Kama uliangalia vizuri, zile vurugu za mbagala ziliongozwa na watoto wa madrasa tu.

Sasa mkamateni sheikh ponda, ndio mtawajua kaka zao wale watoto wa madrasa.

Ponda hayuko juu ya sheria. Anaweza kuitwa kuhojiwa wakati wowote ili kuweka jambo bayana. Hivyo mnavyo shangilia kua kakamatwa huo upotofu wa taarifa.

Ponda haongei uchochezi. Anaongea kwa hoja na ndio maana sheria haiwezi kumtia hatiani. Kuweni waelewa.

Kama ponda angekamatwa kwa staili hiyo, saa hizi tungekua tunaongea habari nyingine. Waislamu wote tunajua wajibu wetu katika kuwalinda viongozi wetu.
Wako tunao tumia busara katika hili, lakini wapo vijana wao ni kazi pale wanapo amrishwa.

Hii nchi tusipo kua na adabu na nidhamu, juu ya imani na tofauti zetu, basi msishangae tukigawana milango na madirisha.

Hatupendi tufike huko, lakini hatuko tayari kua second citizen katika nchi tulio ipagania. Mlicho tufanyia ni sawa sawa na kumtu kukuomba lifti, na wewe unampa kwa roho mmoja kama binadamu mwenzako, kumbe ni jambazi. Bahati nzuri tumeshtuka, before it is too late.

Sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.

Huyu anashi nchi gani? Iran!
With this kind of brain, what can you do with it?
Safari hii jiandaeni kushikilia kanzu zenu, tumechoka!
 
kwanini hawa jamaa wasimwache mungu atoe adhabu mbona wana ghadhabu kwani mungu wao hana nguvu mpaka wanaamua kutumia nguvu zao
 
1. Kuhamasisha maandamano kwenda Wizara ya Mambo ya Ndani. Wakati wa mahojiano walitaka kujua yafuatayo:-

2. Kuvamia kiwanja cha chang'ombe


3. Kuhamasisha maandamano kidongo chekundu

4. Vurugu Mbagala.

Sioni kabisa kama kuna lolote hapo zaidi ya kutaka kuzua tu. hakuna kosa hapo wanataka tu kumbambikizia kosa hilo la armed robbery ili akose dhamana na kuozea ndani.

lakin sifikirii kama kuna kosa hapo la kumtia hatiani.

Ok tuwe na subra tuone hiyo kesho insh'Allah
 
sijui kwanini serikali ilifungia mwanahalisi badala yakufungia redio imani

waarabu tunamini kuwa MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAORUSHIWA MAWE.

Hongera sana radio Iman, gazeti la An Nur na Ismael Jussa. hakika mpo juu na wengi mnawanyima usingizi.

keep it up na Mola yu nanyi daima.
 
Ndio maana nasema, ndugu zetu waislam linapofikia jambo la Muislam na dini nyingine hata akili sijui huwa zinaenda wapi. Huyu Mkandara ambaye anaheshimika kwa kutoa hoja nzito na leo sijui imekuwaje. Kwake yeye, kuongoza watu kugomea sensa ni sawa, kuhamasisha watu kuvunja amani ni sawa.....

Ukitaka kupima akili na busara ya mtu msikilize pindi maslahi yake yanapoguswa. Kwa kigezo hiki, waislam wa imani kali hawafai kuwa wanasheria. Hebu fikiria watu walioelimika mfano wa Mkandara umpelekee kesi ya Ponda ya kuhamasisha kugomea sensa, unategemea nini hapo? Kila anachofanya muislam ni haki!

Wengi wanatoa mfano wa Rwanda na Burundi, ilifika wakati watu wakataka kupendekeza kabila moja Wahutu/Watutsi waende Burundi wengine Rwanda. Nashukuru Mungu busara zilitumika sasa nchi hizi watu wake wanaishi kwa amani. Jinsi wakristu tunavyowapenda ndugu zetu waislam, shukrani kwao ni kuchoma makanisa. Kama isingekuwa upendo wa wakristu, hali ya waislam nchi hii ingekuwa mbaya sana. Fikiria hapo awali, wakristu ndio walikuwa wa kwanza kumiliki taasisi nyingi hususani mashule, kwa upendo wao na uongozi bora wa Baba wa taifa, Nyerere (apumzike kwa amani) watoto wote wakasoma.

Najua haya yote waislam wanayafahau lakini bado watabisha.

Anyways, Ukristo ni upendo. Mbali na mambo yanayotendeka, viongozi wa kikristo wakitoa matamko bado ni matamko ya upendo, redio zao zinatangaza upendo. Wenzetu wanatangaza ushindi, wanawapongeza vijana waliochoma makanisa na kuiba sadaka. Huu ndio msingi wa uislam, na hapa hakuna kosa!

Jioni njema wapendwa, ni muda wa kuongeza sala kwa ajili ya amani ya nchi.
Asante.

Hata mie nashangaa juu ya Mkandara.

Nadhani IGP au Chief Justice au hata Kova kama wangekuwa wa imani tofauti na yao basi nadhani ingekuwa balaa zaidi. Nashindwa kujizuia kufikiri how insensible creature we human beings can be. Presdaa na vice ni wa imani moja nao lakini niliwahi kusoma humu wakilalamika kuwa serikali na "mfumo kristu" (sijui ni nini hiyo) vinawakandamiza nk nk

Ni wakti muafaka sasa kwa ndugu zetu Waislam kuwa more responsible. Ni vema mkaona na kubali kasoro na mapungufu yenu, badala ya kuwa na visingizio au kutoa majina yasiyokubali tatizo ambalo tulioko nje tunaliona kwa sehemu ndogo.

"We need to call things by their names b4 we try to work-out a solution for the same". I quote.
 
waarabu tunamini kuwa MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAORUSHIWA MAWE.

Hongera sana radio Iman, gazeti la An Nur na Ismael Jussa. hakika mpo juu na wengi mnawanyima usingizi.

keep it up na Mola yu nanyi daima.

Waarabu tena? Siyo waislam? Giza nene limetanda bado! isn't this insane?
 
Sioni kabisa kama kuna lolote hapo zaidi ya kutaka kuzua tu. hakuna kosa hapo wanataka tu kumbambikizia kosa hilo la armed robbery ili akose dhamana na kuozea ndani.

lakin sifikirii kama kuna kosa hapo la kumtia hatiani.

Ok tuwe na subra tuone hiyo kesho insh'Allah

Hiyo "Armed robbery" ndiyo haki yake haswaa!
 
Wachangiaji wa Jamii kuweni makini JF itachomwa moto pia

Tuibiwe na laptop zetu eeh??!!

Eniwei, bora amekamatwa huyo ponda na isiwe danganya toto. Next, redio yao iliyojaa uchochezi.. Mpaka aondoke JK mbona kazi ipo..
 
Sheria ichukue mkondo.

Tumechoka kuonewa na kunyanyaswa, ndugu zetu wanaona ukimya wa wakristo, kutojibu mapigo ni ushindi kwao, yote yaliyotokea Zanzibar wakaona si kitu na haitoshi.

Hekima ya Mungu iwapi? unaingia msikitini kutafuta hukumu?
yanayotokea yanatia uchungu yana huzunisha, yanatia aibu nchi yetu. yote hayo yamelelewa na serekali. matunda ya kazi ya kupalilia Udini.
 
NAOMBA WAISLAMU WAAMBIWE WAWE NA SUBIRA WAKATI HUU WAIFANYE LOLOTE LITAKALOWAPA NAFASI MAADUI WA UISLAMU MANENO YA KUSEMA
Too late armed robbers. Mngekuwa na busara hii ya subira tangu awali wala mambo yasingefika hapa. Ila sijaelewa maadui wa Uislam ni akina nani...!
 
waarabu tunamini kuwa MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAORUSHIWA MAWE.

Hongera sana radio Iman, gazeti la An Nur na Ismael Jussa. hakika mpo juu na wengi mnawanyima usingizi.

keep it up na Mola yu nanyi daima.
eh! kumbe wewe ni mwaarabu? mimi nilifikiri ni mtu wa wete, Pemba, sasa huko Oman ndio umerudi kwenu au upo katika kufanya matayarisho ya Pemba kurudi kwenye himaya ya Falme?
 
Sioni kabisa kama kuna lolote hapo zaidi ya kutaka kuzua tu. hakuna kosa hapo wanataka tu kumbambikizia kosa hilo la armed robbery ili akose dhamana na kuozea ndani.

lakin sifikirii kama kuna kosa hapo la kumtia hatiani.

Ok tuwe na subra tuone hiyo kesho insh'Allah

Duh..bwanyenye...Time inavyokwenda unazidi jivua gamba.matukio yote hayo bado hata uombi ashikwe na moja?Kweli Mungu wako hawezi kuwa Mungu wa uhai.Taratibu mnakuwa sqeezed huko palipokosa usataarabu.Dunia ya leo watu wanaomba amani,wanwajibika kwa uovu wa jumuia zao, na wanadhamini uhai wa mwenyezi Mungu.Sasa ndio mnalipiza kisasi kwa kutumia mpto unaomchoma mungu wa jehanam?
 
waarabu tunamini kuwa MTI WENYE MATUNDA NDIO UNAORUSHIWA MAWE.

Hongera sana radio Iman, gazeti la An Nur na Ismael Jussa. hakika mpo juu na wengi mnawanyima usingizi.

keep it up na Mola yu nanyi daima.

mimi huwa nakoseshwa usingizi , na kelele za bar, speaker misikiti, wabakaji wanaopita nyuma ya geti langu n kwenda wabaka mabinti wa kirangi walioletwa na jirani yangu kila usiku.Na hii ni miti yenye matunda?Vipi wale wanawake mnaowapiga mawe kwa uzinzi bila kuwapiga walifanyi ahuo uzinzi nao ni miti yenye matunda?

Hujaona kuwa huu msemo umepitwa na wakati na wakishenzi,kama mpanga ngazi hushuka.

Nilishawahi mwandikia mtu anayesoma PHP ulaya article juu ya "Arabism" na "uislam" ambayo ina explain sana psychology ya waarabu within kundi la watu wengine.Naona hukimbii kabisa ktk research yangu.

I like jinsi mnavyooga katik ujinga mkiamini kuwa mpo juu sana kifikra na hakiza binadamu.Kadiri mnavyobobea katika dunia yenu ndivyo mnavyozidi kuwa vituko na hasira kuwapanda mkiona kuwa watu wanwadhalilisha.Sasa unachoongea hapa ni kujidhalilisha.You destroy for funny.
 
nyerere alisema tz ina maadui wa 3, over the years wame ongezeka wawili.
TUPAMBANE NAO
 
Waarabu tena? Siyo waislam? Giza nene limetanda bado! isn't this insane?

Sasa je?hujui kwanini wazanziabr wavivu na wajinga?wanapenda kuwa waarabu kwani hizo ndizo fikra ndugu yangu.Hakuna muislam yoyote duniani ambaye si kibaraka wa waarabu.Na waarabu wanaamini hivyo.kabila teule, wenye lugha teule, wenya ardhi teule .


HUjaona jinsi walivyo desperate duniani kote kupata kila kitu kupata kila mwanamke mzuri, wakidhalilisha kila tamaduni na kukebehi kila dini, wakitaka kila kitu cha dhamani ila wameshindwa nunua maarifa, wameshindwa nunua furaha.Wanabaki kuwa desperate kuharibu dunia kupitia mamluki wao kidini.Wala hawana abadu wala kificho wakiwa na waislam.huwa wanawaambia kuwa bilal, alipewa kazi bora sana kuazini kipindi cha mtume,kipindi hakuna microphone,kipindi unakata mitaa kuamsha mabwanyenye, na kufagia miskiti hukuw akipewa chakula kama dog ukiwa ndio ujira.Hakuna mwislam aliyewahi hoji kwanini hakuwa sahaba mmojawapo?

mwarabu hata asiye na kazi ya kutosha lisha familia aapenda awe na mtumwa .Si haba kupata mrangi, mdigo,mmatumbi, tabora yote,Kigoma kwa mh ZZK na wengine.wengine kubakwa ni kawaida kabisa.Kazi nyingine ni kukibizana na wanawake wa kizungu ili kuboost esteem yao na tamaduni yao.
 
Asante Mkuu, Kweli mimi sio Muislam ,na bahati mbaya enzi za mwinyi nilikuwa busy kucheza mpira mchangani 🙂....ila umenigusa tena katika hoja ya Afya na Elimu.
Unahisi kutoshirikishwa kwao(sina proof/data) kunahusika na mass failure ya wanafunzi wengi wa kiislam?...
Mimi nimeishi Kijitonyama karibu na shule inaitwa Masjid Qubah....kusema kweli by then wanafunzi wa pale kwa mtizamo wangu hawakuwaga serious na shule kiviiiile...nakumbuka katika miaka ya 2000 au 1999 shule hii imewahi kuwa ya mwisho kitaifa.

Lakini Mbona Al-Muntazir matokeo mazuri tu?..Je hatuna shida katika mitaala ya ndani ya shule za kiislam?( najaribu kumaanisha kwa silimia ngapi tunafuata mitaala ya serikali?) isije ikawa muda mwingi ni elimu ya dini halafu unataka mtihani wa Taifa ufaulu?...

...bado nawaza
Swali lako zuri sana pengine nikuulize hivi Kwa nini Watanzania wengi ni maskini? Unafikri kushindwa kwao kuwa na maisha bora kunatokana na wao wenyewe ikiwa tu kuna baadhi yao wanafanya vizuri kiamaisha?. kwa nini mnapenda sana kuwatazama WATU katika matokeo badala ya kujiuliza sababu ilowafanya wawe duni hata kama wanazungumza kukwazwa mbele yenu.. Dr.Slaa Lipumba na wengine wote wanailalamikia serikali kuhusu Umaskini wetu na mnawaunga mkono lakini kwa Waislaam mnabadilika na kuwa watawala.. Huoni kama Sheikh Ponda ana point nzito hapo?.

It's all about the system na wala hii haitakuwa mara yangu ya kwanza kuandika haya. Shule za kiislaam zinapokea watu walio fail mitihani hivyo wana kazi kubwa kuwafundisha Mazagazaga (kabuntas) tofauti na shule za Kikristu ambazo zinashirikiana na serikali na kuchukua watoto waliofanya vizuri. Na hakika kaa utakuwa unachukua watoto walioshindwa mitihani mnategemea vipi kuona shule hizi zikifanya vizuri kuliko za wakristu?. Tujiulize sisi wenyewe kwa nini shule za watu weusi Marekani hazifanyi vizuri kuliko zile za wazungu..Binafsi yangu ningependa sana kama Chadema wangeshirikiana na Sheikh Ponda na kuyajua matatizo ya Waislaam kisha wakafanya uchunguzi wao wenyewe kujua ukweli ni upi badala ya kulaumu vitu ambavyo hatuvijui undani wake..

Swala jingine ukisha sema hii ni shule ya Kiislaam na ile ni shule ya Kikristu tayari umeisha wagawa wananchi kabla hata ya matokeo yoyote. Mkristu hatakuwa huru na confortable akiwa amezungukwa na waislaam ktk shule yao vile vile Muislaam atajisikia hayuko nyumbani maana shule ni ya Kikristu..Mfumo uliopo tayari umetugawa halafu ni rahisi sana kuchambua matokeo ikiwa unaziona shule za waislaam na wakristu.. Na maadam tupo ktk Ubepari basi iwe ni kazi ya mwanafunzi wmwenyewe kuchagua shule anayotaka kwenda badala ya serikali kuwapangia watoto shule za kujiendeleza. Sisi binadamu na nimeona mitihani kiuzwa mijini wakubwa wengine wakitoa rushwa ili mtoto wao achaguliwe kwenda shule nzuri.. Haya yote yanaweza kuepukwa ikiwa tutaweza kutazama undani wake... loophole ni nyingi sana ktk mfumo uliopo na ndio sababu ya UDINI nchini..

Nimekwisha sema sintokubaliana na mfumo uliopo hata kama wamepewa Bakwata au chombo chochote cha dini kusimamia mambo haya. Ni jukumu la seriikali kutoa ELIMU na AFYA bora maana hii ni HAKI ya kila mwananchi na sio privilege hata kidogo ikiwa tumeapa kupambana na maadui Ujinga na Umaskini..Ikiwa leo wakristu na waislaam kama wana shule zao basi ziwe private na ziwe za kiimani zaidi hivyo wanasaidiwa nafuu ya kodi kwa sababu ni ujenzi wa jamii hizo, laa sivyo kama watafundisha elimu dunia basi zijiendeshe zenyewe pasipo ruzuku wala msaada wa serikali. Watu wana uwezo wa kulipia wataingia shule hizi na tumeona na hao makabuntas basi wawe sehemu zote na hapo utaweka ushindani mkubwa ktk shule za Private..

Maadam serikali bado inaendelea kujenga shule zake na Hospital zake sioni sababu kabisa ya serikali kuliweka swala hili mikononi mwa taasisi yoyote ya Dini ati kwa madai ya baadhi ya watu kuwa Serikali walishindwa kuziendesha!..wakati leo hii serikali inaendelea kujenga nyingine mpya na inamiliki nusu ya shule zote nchini. Hivi Wanajenga nyingine za nini kama kweli walishindwa kukarabati na kuendesha zile chache tu zilizokuwepo..Hapa utagundua kuna mchezo ulichezwa..

Swala la Ruzuku na msamaha wa kkodi hili lina iangusha serikali ktk mapato na kuweka miaya mikubwa ya wizi na kukwepa Kodi. Watu mijini wanayatumia makanisa na Bakwata kupitisha mali zao bandarini wakikwepa kodi, nalijua hili kw au hakika. Hivi vyombo lazima zitazamwe kwa makini zaidi ili kuhakikisha kweli wanawahudumia waumini wao na sio kufanya biashara nchini. Hizi Jumuiya zimesajiliwa kama NGOs inakuwaje wanalipisha watoto ada kubwa kama private school za watu binafsi, wanalipisha wagonjwa bill kubwa kaa vile sio NGOs.. Ifahamike wazi kama ni biashara basi wasajili kama Private business na walipe kodi hakuna cha Bakwata wala kanisa.. Mtanisamehe haya ndio mawazo na mtazamo wangu..
- Guess I need a drink damn!
 
.. safi sana sasa wasimcheleweshe kwa kuwa hakuna cha upelelezi kukamilika wala dhamana yeye moja kwa moja mahakamani na ushahidi upo ... maana ana makosa mengi sana .........hukumu isicheleweshwe labda tutapumzika..........

da! We kweli pilau,halali kuliwa...!
 
Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..

Ulikuwa wapi ..... ana dalili zote za boko haram.... kiherehere cha Al shabbabu na mitizamo ya telebani!
 
Back
Top Bottom