Ni taarifa za kweli na aliwindwa kwa siku tatu... huenda hatua kubwa zaidi zitachukuliwa kwa Redio Imani.
Kama kweli Iran ndiyo inafadhili uovu huu hapa nchini, basi Kikwete yupo nyuma ya jambo hili. Nafikiri ni harakati zile zile za kuislamisha nchi za Africa ndiyo zinaendelea hivi sasa. Nilikuwa siku moja namtania mkenya mmoja kwamba wao hawapo stable kutokana na ukabila. Akanicheka sana akasema duniani hakujawahi kutokea vita mbaya kama ya udini. Na Tanzania ipo mbioni kupigana vita ya udini verry soon. Kwa dalili zilizopo naona kabisa siku si nyingi tutakuwa tunachapana. Maana najaribu kuimagine kama waislamu walipokuwa wanavamia makanisa wangewakuta waumini wakikristo makanisani kwao ingekuwaje? Definitely wangetaka kuwaua, hatujui revenge ingekuwaje, na ingetawanyika hadi wapi? Si ajabu siku ile Dar nzima ingekuwa kwenye vita ya kidini. Cha ajabu Kikwete na viongozi wa Bakwata wanalichukulia simple tu. Hapo ndo ninapoona shida ya nchi kuongozwa na hawa jamaa. Yaani wakishachukua madaraka tu, hali ya nchi inayumba na migogoro inaongezeka.
katika uislam kufungwa ni sunna ya nabii yusuph a.s, kuuwawa katika kuipiginia dini ya haki ni kuwa unajitengenezea free pass yako ya JANNAH (pepo) so wamkamate wamfunge wamuue wanachofanya ni kumtengenezea pepo yake tu,umma mkubwa upo nyuma yake na harakati zinaendelea kwani hata ponda tunamfata kwa kuwa anafata mafundisho ya quran, so ponda kakamatwa ila quran (mwongozo) umebaki tena sio kwenye makaratasi tu bali vifuani.
Ukitaka kumtawala mtu, basi mtie hofu, hofu ikimtawala mtu, atakuwa mtumwa wa hofu.Ikifungwa radio Iman ujue nchi haitatawalika milele.
So ondoa povu lako.
Ume-argue vyema. Ila bado ninaona kuna point una-miss kuielewa mkuu. Je kufunga kwako mlango kutarudisha wale mbuzi walioliwa na chui? Je mbuzi waliobahatika kubaki, watakuwa na mtazamo gani juu yako wewe? wakati wao wanaona kabisa hakukuwa na sababu ya msingi ya kuacha zizi wazi. Kibaya zaidi zizi la ng'ombe jirani ya hili la mbuzi ulikuwa umelifunga very intact. Nini cha kufanya sasa? Inabidi kushughulika na mzizi wa tatizo. Msimamizi wa zizi awe answerable. Uwajibikaji. Tukienda kuwauwa chui, nakuhakikishia upepo ukipita zizi litaachwa wazi tena. Hebu tuiangalie hii picha.Hapo sijakupata mwanakijiji. Kwa hiyo kama kwa muda mrefu ulikuwa unaacha mlango wa zizi wazi kwa kuamini kwamba chui hataingia, lakini ikatokea siku moja akaingia hutachukua hatua? Kinachoonekana ni kwamba serikali ilikuwa inampuuza kwa muda mrefu. Sasa imeanza kuona matunda ya kauli za huyu mhuni, na imechukua hatua.
Kama ni kwa mfano wako basi, serikali inachukua hatu za kufunga zizi ili huyu chui asirudi tena. Ninaungana na wale wanaosema polisi wasiishia kwa Ponda tu, bali waende mbali zaidi kwa kuifuta kabisa Radio Iman na gazeti la Al-nuur. Hivi ni virusi vibaya sana kwa mstakabali wa amani yetu. Sioni kibaya kwa serikali kuchukua hatua hiyo.
Naungana na wewe Mkuu, Mwanakijiji kwa hoja yake kachemka. Serikali inatakiwa kumchukulia hatua kali za kisheria pale itakapogundulika amefanya uchochezi wowote wa kuchafua amani ya nchi.Hapo sijakupata mwanakijiji. Kwa hiyo kama kwa muda mrefu ulikuwa unaacha mlango wa zizi wazi kwa kuamini kwamba chui hataingia, lakini ikatokea siku moja akaingia hutachukua hatua? Kinachoonekana ni kwamba serikali ilikuwa inampuuza kwa muda mrefu. Sasa imeanza kuona matunda ya kauli za huyu mhuni, na imechukua hatua.
mwenye kutumia ukweli katikati ya wanafiki ni KIRUSI? msiba mkubwa said:tatizo si ponda wala unajisi wa kitabu kitukufu.
tatizo ni maamuzi ya kinafiki baina yetu kwa mustakbali wetu sote.
hali hiyo imezua ukuta baina yetu.
BilA USHABIKI WA IMANI ZETU TUNATAKIWA KUJADILI MAPENZI KWA TAIFA LETU.
PONDA ANAZUNGUMZA KWA MUJIBU WA IMANI YAKE.
ASIKILIZWE NA KUJIBIWA HOJA ZAKE, KUMUITA MHUNI, KIRUSI NK SIYO JAWABU KTK HOJA ZAKE.
THIS IS JF THE HOME OF GREAT THINKERS, TULIPE HADHI JAMVI