Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Hiyo ndio kawaida ya mafisadi. Fisadi yeyote huwa hampendi mpigania haki. unataka ujue shughuli zake ivi wewe unafanya kazi gani

HAKI unaipigania kwa kuchoma kanisa?kuna mkristo yeyote alishawah kuja kwako akakudhuru?mimi nachukulia hayo maneno yako km wivu wa kike tu,ukimuona mwanamke mwenzio ana kazi,nzuri,anapendeza unammaind bila kisa..Jipangeni,adui wa umaskini wenu au ugumu wa maisha umeletwa na serikali na wala c wakristo coz ugumu wa maisha tunaupata wote wala haubagui.au masoko mnayoenda nyie wakristo hawaendi?
 
Nawapongeza sana jeshi la polisi kwa kuthubutu, nadhani watasonga mbele. Nchi hii ni yetu sote pamoja na sisi vitoto vikojozi!!! Ponda afunguliwe mashitaka ya ugaidi na asipewe dhamana. Wahariri wa ile radio Iman na hilo gazeti ni zaidi ya Mhariri wa gazeti la Mwanahalisi wachukuliwe hatua sitahiki. Wale 120 wa Mbagala wanaweza kuachiwa wakikubali kuwa shahidi wa upande wa serikali ktk kesi hiyo ya Ponda. Wasimsahau Mufti Simba kama shahidi muhimu kwenye kesi hiyo. Kutakuwa na mtikisiko wa muda lakini mwisho nchi itatulia milele. Amina!
 
Pengine wewe sii Muislaam lakini pamoja na hayo nitakufahamisha. Vita ya Bakwata imeanza siku nyingi sana na ndio sababu walimuua Sheikh Kassim Bin Jumaa enzi ya Mwinyi baada ya kuanzisha chombo cha kiislaam kisichokuwa na ushirika na serikali kikiitwa BALUKTA. Chombo hicho kilipigwa vita na viongozi wake wakakamatwa kutokana na kwamba walitaka kujua undani wa mabadiliko ya mfomo wa ELIMU na AFYA. Wakahoji kwa nini waislaam hawakuhusishwa ktk maamuzi ya mfumo mpya ikiwa chombo cha dini kimepewa jukumu la kuendesha elimu na Afya nchini..

Kwa hiyo, vita hii imeendelea hadi leo na kina Ponda ambao wanaamini kabisa kuna mfumo kristu ambao kazi yake ni kuhakikisha waislaam hawafanikiwi ktk elimu na Afya. Mimi binafsi najiuliza kama hakuna usir wowote kwa nini serikali inakataa kuwashirikisha. Kwa nini tunakuwa hatuna majibu wala kutazama malalamiko ya hawa watu na kuyatafutia Ufumbuzi kama navyojiuliza ktk maswali mengi ya Ufisadi..Itakuwaje watanzania waganyike ikiwa hakuna Usiri fulani maana tutaogopa hivyo tu ikiwa kuna siri fulani zitajitokeza. Kama hakuna siri wahusishwe pia kuunda hilo shirikisho la Elimu na Afya nchini chini ya CSSC ambako kuna wachungaji tu ndio viongozi na waingizwe NECTA kwani kuhna tatizo gani?..

Sasa tunapoendelea kuficha, kukataa na kupinga kuwashirikisha ndio maana tunajenga UDINI zaidi na kuwaaminisha Waislaam kuwa kuna siri kubwa inafanyika kama madai ya kina Jumbe na Malima maana hadi leo hii hatujapewa undani wa chombo hiki.. Ni hayo tu.


Asante Mkuu, Kweli mimi sio Muislam ,na bahati mbaya enzi za mwinyi nilikuwa busy kucheza mpira mchangani 🙂....ila umenigusa tena katika hoja ya Afya na Elimu.
Unahisi kutoshirikishwa kwao(sina proof/data) kunahusika na mass failure ya wanafunzi wengi wa kiislam?...
Mimi nimeishi Kijitonyama karibu na shule inaitwa Masjid Qubah....kusema kweli by then wanafunzi wa pale kwa mtizamo wangu hawakuwaga serious na shule kiviiiile...nakumbuka katika miaka ya 2000 au 1999 shule hii imewahi kuwa ya mwisho kitaifa.

Lakini Mbona Al-Muntazir matokeo mazuri tu?..Je hatuna shida katika mitaala ya ndani ya shule za kiislam?( najaribu kumaanisha kwa silimia ngapi tunafuata mitaala ya serikali?) isije ikawa muda mwingi ni elimu ya dini halafu unataka mtihani wa Taifa ufaulu?...

...bado nawaza
 
Nini kiliizuia serikali kuchukua hatua kubwa kwa radio Imani siku za nyuma? Bado naamni serikali adilifu ingekwisha shughulikia tatizo na chuki za kidini muda mrefu nyuma.
Tatizo kubwa tulilonalo Tanzania ni kuacha kutenda haki huku tukiacha hiisia zetu ndio zifanye kazi, angalia jinsi ambavyo watu kwa kipindi kirefu wameacha kutimiza wajibu wao ili kuogopa makundi mbalimbali ya kijamii. Kwa mimtirafu hii tumeibomoa nchi yetu kwa kuondoa hali ya kuaminiana miongoni mwa jamii zinazounganisha utanzania yetu. Ndani ya Tanzana kwa sasa sio ajabu watu wakijitambulisha kwa ukabila, udini na ukanda wao. Watanzania waleo si wamoja tena!!
 
Kuhusu swala la kuhamasisha Waislaam wasihesabiwe sijasema sio makosa isipokuwa binafsi yangu namuunga mkono kama navyomuunga mkono DR.Slaa na Mbowe ktk kuhamasisha M4C. Je, ni makosa kisheria? itategemea wewe uko upande gani..

Siwezi kuelewa kwa nini ktk sensa kuna Kipengele cha wanawake na watu msione kama serikali inataka kutuchonganisha wanaume na wanawake lakini kipengele cha Dini kiwe ni uchoanishi mkiuliza ati ili ijewe?. Kwani kile cha wanawake wamekiweka ili iweje? kwa nini tusihesabiwe wote kama mbuzi zizini isipokuwa viwekwe vipengele vyote kasoro cha dini wakati waislaam wanalalamika miaka yote tusiwasikilize. Nitarudia kusema Bakwata ni sawa na Umoja wa wanawake (UWT ya CCM) huwezi kunambia chombo hicho kinasimamia maslahi ya wanawake wote nchini. UWT sio chombo cha wanawake nchini kivunjwe kama ni makosa nifungeni maana huu ni uongo wa mchana kweupe..

Wakati wa Nyerere na Ujmaaa tulijua sababu ya kutoweka kipengele cha Dini kwa sababu ni serikali ilokuwa ikitoa huduma zote kwa wananchi toka Elimu hadi Afya leo hii serikali inashirikiana na taasisi ya Kikristu kutoa huduma hizo. Leo hii Chadema wakizuiwa kuunda Umoja wa wanawake mtakubali? Je, Wanawake wasipokuwa katika serikali yetu ama kupata ushirika watakuwa wanafanya makosa kusema huu ni mfumo dume na kuuliza why?..

Mkuu ni haki yako kumuunga mkono sheikh Ponda katika kuhesabiwa watu kidini. Ni haki yako. Nikuulize tu swali ingeonekana waislamu ni wachache kama takwimu nyingi na jiografia inavyoonyesha na Ponda akakataa matokeo hayo ya sensa kwa kuwa la muhimu kwake lilikuwa kutaka kujua idadi ya waislamu ambao anaamini ni wengi kuliko wakristo hivyo wanahitaji kuwa na sauti ikiwa ni pamoja na kuamua mgawanyo wa madaraka kidini, ungemuunga mkono katika kukataa matokeo ya sensa? Kwa fikra ya haraharaka hata mimi nilifikiria ni muhimu watu wajue idadi ya watu kwa mgawanyo wa kidini. Ingawa haikuwa muhimu kwangu lakini nilitaka tu wanaong'ang'ania kuhesabiwa kidini wajue ukweli kwamba ni wachache tofauti na wanavyoamini. Lakini likaja swali gumu kichwani mwangu. Ikiwa ukweli uliopo wa kijiografia hawaukubali japokuwa uko wazi, ikija matokeo ya kuhesabiwa ikaonyesha kweli ni wachache watakubali matokeo hayo? Hata wangepewa vielelezo vyote hawawezi kujidhalilisha mbele ya wafuasi wao wanaomani kuwa ni wengi kwa kukubaliana na matokeo ya sensa. Mwishoni nikaona huu ni uchokonozi ambao hauwezi kuishia kwenye sensa tu. Na kwa wanayohubiri kama sababu za kukataa sensa ilikuwa si kwa mema ya nchi au waislamu ili kwa uchochezi wa waislamu dhidi ya wananchi wengine na serikali. Mimi nimekueleza tu kwanini nilifikia uamuzi wa kutomuunga mkono Sheikh Ponda na waislamu aliowachochea pamoja na wasiokuwa waislamu waliotaka watu wahesabiwe kwa vigezo vya kidini.

Mkandara Serikali imetoa msamaha wa kodi kwa huduma zinazotolewa na taasisi za kidini na hazibagui. Wakuu wa serikali wengi ni waislamu ambao hawawezi kuwabagua watu wa dini yao na kupendelea dini nyingine. Kinachotokea ni kwamba fursa hizo hazitumiwi na waislamu kujenga taasisi za huduma za kijamii.
Mimi najua dhehebu moja ambalo pamoja na udogo wake wanachangishana fedha kujenga mashule, hospitali na hata wana chuo kikuu kabla ya dini kubwa kabisa ya kiislamu kuwa na chuo kikuu. Je, hilo kanisa dogo wakitumia fursa zilizotolewa na serikali kupata unafuu na kutoa huduma kwa jamii uje useme eti wanapendelewa kuliko dhehebu lingine liloshindwa kufanya hivyo ila kazi ni kupigia watu kelele tu kwenye maspika makubwa na kuimba pambio asubuhi mpaka usiku watu wamelala?
Mkandara ukiwa kama great thinker simama useme makosa ya waislamu ili uwasaidie kujijenga badala ya kuwaunga mkono kwenye lalama ambazo wamejiletea wenyewe kwa kutowajibika kwa shughuli za maendeleo.

Ukijiuliza kwanini waislamu wanabishana na kila mtu asiyekuwa kwenye dini au imani yao au serikali inayofuata sheria na haki za binadamu utapata jibu. Ina maana watu wanauonea wivu uislamu? hawaupendi? Ina maana waislamu ni watakatifu sana hivyo misimamo yao inatofautiana na taratibu za mtu yeyote asiyekuwa muislamu? Ina maana wengine wote ni waovu hivyo hawawezi kukubaliana na watukufu waislamu? Au Ina maana kuna tatizo katika uislamu? Kuna dirisha ambalo limezibwa ambalo halikutakiwa kuzibwa katika taratibu za uislamu, au limefunguliwa badala ya kufungwa? Chukua kichwa chako uuvue uislamu. Halafu uanze kujiuliza maswali hayo utajua kwanini uislamu ni kituko, hatari, muujiza (mystery) na kichekesho kwa wasiokuwa waislamu bila kujali wanatoka pande gani ya dunia, jamii gani, wana rangi gani, wasiosoma au wasomi, werevu, wapagani au wana Mungu wao kama Mungu wa waislamu.
 
Siamini kama watoto wa miaka 14 leo wanafanya watu wazima, wenye elimu, wenye familia na majukumu mengi tu ya kijamii wanabishana na kutukanana kwa kosa ambalo tayari vyombo vya dola vinalifanyia kazi, Mungu ibariki Tanzania, Mungu tuepushie hili balaa.
 
huyu bwana anaweza kuipeleka Tanzania kuwa kama Ruanda asipothibitiwa mapema
nashauri apewe karipio kali na na sio kumkamata kwa sasa mda wote walikuwa wapi

SHEKHE PONDA ISSA PONDA - KWA MANENO YAKE MWENYEWE NA WAANDISHI WA HABARI ANASEMAAAAA>
POLISI NDIYO WALIOSABABISHA MAKANISA KUVAMIWA MBAGALA KWANI WALIINGIA MAKANISANI NA KUANZA KURUSHA MABOMU MISIKITINI.
RAIS KIKWETE ALIPENDELEA KUANGALIA MAKANISA MBAGALA WAKATI IPO NA MISIKITI ILIFANYIWA HUJUMA.
ANASEMA UONGOZI WA NCHI HII UMEEGEMEA UPANDE MMOJA WA IMANI.

[FONT=lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]hivi kuna msikiti uliohujumiwa? na nani?lini? na wapi?
shekhe ponda ni janga la kitaifa
[/FONT]

Ponda is a "deadly disease"
 
Huo ni uzushi !!!! Kama nchi akitawala Muislamu inakuwa haina amani , mimi sikubaliani na wewe, kikubwa ni kujua hawa Waislamu wanataka nini? Kuna mambo kama ya :-
1.Baraza la Mitihani (NECTA) pamekutwa madudu mengi yamefanywa(Sipendi kuyarudia)
2. Waislamu kutaka wao wajiunge na OIC (Wakristo mpaka leo hamtaki, ila Vatcan ina Ubalozi hapa na misaada mingi inapata toka huko kwa maendeleo ya kanisa)
3. Suala la kadhi mnapinga
4. kuna fungu kubwa la fedha linakwenda kusaidia makanisa na Taasisi zake, waislamu hata sh. 1,000/=
hawapewi
.Hivi kama wewe ungekuwa ni muislamu unaweza kustahamili hali hii? Hatupendi amani ivurugike ila sio kubeza unahitaji mjadala wa kitaifa , HAWA WAISLAMU WANATAKA NINI WAFANYIWE? HAUTASIKIA TENA MALALAMIKO

 
MMM amesema kitu chema kiasi..ila kimsingi kukamatwa kwa Ponda ni kutokana na shinikizo la BAKWATA ambao kwa kweli wanatumika na Chama Tawala zaidi ya Waislamu ndio wanaoleta mtafaruku na mpasuko miongoni mwa waislamu Tanzania..hivyo kuhusu sijui maandamano sio kweli hajmuhamasiha mtu yeyote na kesi hii hata Junior lawyer anaweza kuishinda ukichukulia Polisi uwezo wao kisheria kuandaa upelelezi ni mdogo saana. Hata hivyo Ponda is Innocent until...proven guilty
 
walianziha udini sasa wawala wao tena kwa kishindo sana ccm kwa herini
 
Nahisi Mkandara anamaslai na shekhe Ponda...:ranger:
teh teh..huyu alishaumbuka long time.Sasa hivi haoni tena haja ya kuficha malengo yake.Siku hiz haoni ten ahaja ya kuishauri CDM na ukristu.Kaamua fuguka tuu.
 
Huo ni uzushi !!!! Kama nchi akitawala Muislamu inakuwa haina amani , mimi sikubaliani na wewe, kikubwa ni kujua hawa Waislamu wanataka nini? Kuna mambo kama ya :-
1.Baraza la Mitihani (NECTA) pamekutwa madudu mengi yamefanywa(Sipendi kuyarudia)
2. Waislamu kutaka wao wajiunge na OIC (Wakristo mpaka leo hamtaki, ila Vatcan ina Ubalozi hapa na misaada mingi inapata toka huko kwa maendeleo ya kanisa)
3. Suala la kadhi mnapinga
4. kuna fungu kubwa la fedha linakwenda kusaidia makanisa na Taasisi zake, waislamu hata sh. 1,000/=
hawapewi
.Hivi kama wewe ungekuwa ni muislamu unaweza kustahamili hali hii? Hatupendi amani ivurugike ila sio kubeza unahitaji mjadala wa kitaifa , HAWA WAISLAMU WANATAKA NINI WAFANYIWE? HAUTASIKIA TENA MALALAMIKO


subirini kaka mkubwa akija aka jk atawasaidieni maana mlikuwa mnamchangu mkitegemea atawasaidia na hili liko nyuma ya jk ndio maana akaondoka kwenda Oman ili huku akute upepo umeshapita
 
Yaani kama kuna maadui wa kiislamu wanaojidai kupambana na uislamu, basi jueni vijana wa kiislamu wao wamepinda zaidi. Endeleeni kuwachokoza. Kama uliangalia vizuri, zile vurugu za mbagala ziliongozwa na watoto wa madrasa tu.


wewe MGANGA WA KIENYEJI ndo mnavyo fundishwa huko madrasa. saa nyingine uwe unakaa kimya kuficha UJINGA wako.
 
Ndio maana nasema, ndugu zetu waislam linapofikia jambo la Muislam na dini nyingine hata akili sijui huwa zinaenda wapi. Huyu Mkandara ambaye anaheshimika kwa kutoa hoja nzito na leo sijui imekuwaje. Kwake yeye, kuongoza watu kugomea sensa ni sawa, kuhamasisha watu kuvunja amani ni sawa.....

Ukitaka kupima akili na busara ya mtu msikilize pindi maslahi yake yanapoguswa. Kwa kigezo hiki, waislam wa imani kali hawafai kuwa wanasheria. Hebu fikiria watu walioelimika mfano wa Mkandara umpelekee kesi ya Ponda ya kuhamasisha kugomea sensa, unategemea nini hapo? Kila anachofanya muislam ni haki!

Wengi wanatoa mfano wa Rwanda na Burundi, ilifika wakati watu wakataka kupendekeza kabila moja Wahutu/Watutsi waende Burundi wengine Rwanda. Nashukuru Mungu busara zilitumika sasa nchi hizi watu wake wanaishi kwa amani. Jinsi wakristu tunavyowapenda ndugu zetu waislam, shukrani kwao ni kuchoma makanisa. Kama isingekuwa upendo wa wakristu, hali ya waislam nchi hii ingekuwa mbaya sana. Fikiria hapo awali, wakristu ndio walikuwa wa kwanza kumiliki taasisi nyingi hususani mashule, kwa upendo wao na uongozi bora wa Baba wa taifa, Nyerere (apumzike kwa amani) watoto wote wakasoma.

Najua haya yote waislam wanayafahau lakini bado watabisha.

Anyways, Ukristo ni upendo. Mbali na mambo yanayotendeka, viongozi wa kikristo wakitoa matamko bado ni matamko ya upendo, redio zao zinatangaza upendo. Wenzetu wanatangaza ushindi, wanawapongeza vijana waliochoma makanisa na kuiba sadaka. Huu ndio msingi wa uislam, na hapa hakuna kosa!

Jioni njema wapendwa, ni muda wa kuongeza sala kwa ajili ya amani ya nchi.
Mkandara tulimbana na Jmushi1 hadi akakosa pumzi kabisa na kuamua liwalo na liwe abandua cover.Siku hizi si mahuri tena wa CDM wala Ukristu.Ni uzao wa watu wanaookoteza thoeries fulani fulani na vyeti vya kishule kwa kiasi cha kuwajengea jina katika jamii, halafu wanajiachia tetea upotofu na kuhubiria watu huo uoptoshaji.

Sijui ponda kasahau toa sababu zile za long time kuwa US waondoke Iraq na Afghanistani, au Israel iondoke kuikalia Palestina. Lazima tulaaniwe kwa jinsi tulivyowapa wapalestina mahali pa kuuenzi ugaidi.
 
Mkuu kama bakwata hamuitaki hakuna wa kuwazuia. Kwanza nashangaa kama hamuitaki kwanini mpaka leo bado ipo. Kuna kitu hakijakaa sawa kabisa kwenye umoja wenu ama sivyo BAKWATA ingekuwa ni history tu kwa sasa.

Kumbe Mwana Mtoka Pabaya alikuwa sahihi kuhusu wewe mahali fulani humu.

Any way sometimes we can be blinded, even the physical one
 
Back
Top Bottom