Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Mkandara una nilet down mkuu!...jitahidi kucontrol hasira zako. Pia kukaa kimya nako ni dhahabu
 
Anyongwe asibaki kabisa, na kama akibaki tutamuundia kamtandao kama kayule wa zanzibar wengoja tu.
 
kweli kwa ishu hii huyu jamaa ni catalist mkubwa sana.,maana ukifuatilia kauli zake ni za kichochezi mpaka nilifikiri kwamba labda kuna watu wanaompa kiburi ambao wako selikalini
 
Unaweza kutupa ushahidi wa madai haya? maana kama wewe umesikia lazima ipo copy ya hotuba hiyo na haiwezekani watu wote hapa JF wasiwe nayo. Please iwekeni hapa tumchambue huyu Sheikh Ponda. napenda sana kuwajua viongozi hawa wa dini hasa wanapozungumza maneno kama haya..

Samahani natoka kidogo lakini nitarudi kukusoma tafadhali niwekee ile kitu muhimu sana kwangu. Ni tag please.

hivi wewe husikilizagi Radio imaan?
 
hawa wahalifu wamekamatwa kwa makosa ya kuchochea kiwanja alichouziwa manji na bakwata kirudishwe
 
Nipeni plaizi ning'oe meno ya sheikh ponda, nyundo niponde kengere zake, halafu tuone kama ataongea tena.
 
Mie naona dawa ni ku Ulimboka hawa masheikh wachochezi wote na itakuwa ndio mwisho wa vurugu.
KAMATA
TESA AU IKIWEZEKANA UA KABISA
HALAFU KAA KIMYA
IKIWEZEKANA TUMIA PESA KWA KUTUMA PROFESSIONAL KILLERS
 
Tunapoelekea Tz ni pabaya... Udini na ukabila ambavyo mwl alipingana navyo ndio vinataka kuanza... Tutakukumbuka mwl...
 
Waswahili tabu sana mi sijui hawa watu wakoje hawataki kufanya kazi, wanakalia mambo ya kijinga jinga tuuu...udini unamsaidia nani kuishi ovyoo
 
ni habari njema sana. Hakuna aliye juu ya sheria. Tanzania ni Taifa lisilo na dini.
 
Hivi Mkandara unataka uambiweje? Hivi humu JF hakuna hiyo thread inayohusiana na Shehe Ponda? Mbona watu huwa wanachangia wakati radio hiyo iko hewani. Kwa sababu watu hawajaweka sauti yake ndiyo huamini? Tafuta hiyo thread tena utakuta hata baadhi ya waislam wenzako wana support hiyo kauli ya Ponda.
Haya ndio mambo sinisiyataka miye. Mimi nimekuomba uniwekee hotuba yake ambayo wewe umeisikia ili nami pamoja na watu nwengine wachangi juu ya hotuba hiyo...

Tumesikia amekamatwa, nauliza kwa kosa gani? tayari watu wananishambulia kuuliza hivyo yaani watu tunamini tu mnayotaka sisi tuamini japokuwa hamjui hata nyie kimetokea nini sipokuwa mnataka kueneza Udini wnu hapa JF.. Narudia tena kusema sijawahi kumsikia Sheikh Ponda akiukashifu Ukristu, ila amekuwa akitumia sana neno mfumo kristu kuishinikiza serikali kujenga mfumo bora utakao wafaidisha Watanzania wote kama Dr.Slaa anavyodiriki kuwaita viongozi wa CCM ni MAFISADI na kuwataja majina yao jambo ambalo nakubaliana naye wala sii kuleta vurugu nchini lakini pia sikubaliani na kina Jussa wanaotaka kuleta vurugu kwa kutumia jina la Uislaam au Uzanzibar wakashindwa kutueleza wapi wanapo kandamizwa Wazanzibar kikatiba ama kisheria.

Ni hayo tu niweke hotuba nami nipate kumwelewa Sheikh Ponda ni mtu wa aina gani..na nimekuomba Uni tag, muda huu ungeutumia kuzitafuta mada hizo nimsikie na mimi..
 
Mkuu wangu sielewi kabisa ila navyosoma hapa JF inaonyesha kwamba kuna tuhuma ama ushahidi kuwa Sheikh Ponda anahusika na mauaji ya Mbagala. Lakini hizi tuhuma ni za hapa JF sielewi ukweli ni upi ktk kukamatwa kwake na kama amehusika kweli ipo kila sababu ya kukamatwa na kupelekwa mbele ya sheria lakini kinyume cha hapo kama ni sababu ya yale maandamano ya kupinga sensa, akasimama kuiomba serikali iwaachie huru waumini wa Kiislaam waliokamatwa - hapo sioni kama lilikuwa kosa la watu kushabikia kiasi hiki maana hata Dr.Slaa, Mbowe Lema, Tundu Lissu wote wameisha kamatwa kwa makosa ya kutetea wafuasi wa Chadema ambao walikisiwa kufanya vurugu.

Wananchi wana kila haki na Uhuru wa kutoa maoni yao (freedom of expression). Ikiwa leo seirkali inapingana na maoni ya wananchi kwa sababu ya dini yao basi hiyo katiba mpya sijui itakuwaje. Na kila siku mnabishana na kina Ritz na Zomba humu mnawaita wao ndio wajinga, washenzi na wapumbavu wa kuitetea serikali. Serikali imekuwa ikitafuta ushahidi wa kumkamata Sheikh Ponda kutokana na mgomo na maandamano ya waislaam yalofanyika kupinga sensa ile hata kufikia kuharibu sensa nzima ya watu nchini...

Ifike mahala wanaChadema myapime maswala kwa kutazama makalio yenu wenyewe. Mnaiona Haki viongozi wenu wanawatetea wanaChadema lakijni hamuioni haki pale kiongozi wa Kiislaam anapopingana na Uongozi wa CCM. Kama Sheikh Ponda amehusika na njama zozote dhidi ya Wakristu na sio mfumo unaowakandamiza Waislaam basi nifahamisheni ili nami nishiriki ktk harakati hizi za kuwachambua viongozi hawa wa dini wanaosababisha UDINI..All I know Sheikh Ponda huikaripia serikali ya CCM kwa kuwakandamiza Waislaam kwa lugha ambayo hutoa hatadhari ya kwamba itafikia wakati Waislaam na wakristu watakuwa maadui..
Mkuu ni nia yangu mtu ashtakiwe kwa mujibu wa sheria kama ulivyosema na si kwa kuisiwa au kwa chuki na kumkomoa kwa kuwa anabishana na serikali katika utaratibu ambao serikali haitaki kuifuata hata kama ni haki yake mtu huyo.
Nisichokielewa ni kwa vipi huelewi sheikh ponda ana makosa hata kwa huko kuhamasisha watu wasihesabiwe kwenye sensa. Huko ni kukiuka sheria. Kama ni sheria kuchukua mkondo wake basi kuna haki kumkamata. Amekamatwa kwa makosa ambayo anatuhumiwa kuyatenda na ni mara nyingi tu watu wamehamaki dhidi ya serikali hata wale wasiopenda haki ya mtu kukiukwa kwamba kwanini serikali haimkamati na kumfungulia sheik Ponda mashtaka kwa sababu anavuruga umoja wa kitaifa na kuleta chuki kati ya jamii ili watu wagawanyike kidini.
Nikuulize tu swali dogo. Hivi hakuna watu ambao watafaidika na mgawanyiko wa kijamii hasa kidini ukitokea? Kama wapo Sheikh Ponda na msimamo wake huawezi kuwa kati ya watu wanaotaka mgawanyiko huo au kuna watu wako nyuma yao ili watimize azma zao za kula hata kama ni kwa gharama ya damu ya watanzania?
 
Mkandara una nilet down mkuu!...jitahidi kucontrol hasira zako. Pia kukaa kimya nako ni dhahabu
Wapi nime onyesha hasira? kusema hawa watu wakizibwa midomo wanaweza ongea kwa makalio?.. hapana mkuu wangu huu ni usemi tu ambao mtu anaulizwa swali hana jibu lakini anapenda tu kuongea ili mradi aonekane kaandika japokuwa pumba. Hii ndio maana yake sawa na kusema masaburi..
Watu wanaitaka Vita kana kwamba ni kitu kidogo sana na wako tayari kupigana vita wakati ya CCM yanawashinda wakitokea FFU tu wote wanaingia mitini..
 
Sasa isiwe akamatwe kwa sababu wameamua kumtoa kafara; Ponda hajaanza leo kusema anayoyasema. Kama muda wote (miaka yote) wameweza kumvumilia imekuwaje leo waamke na kusema wanamkamata?

Kama kosa ni yale ya Mbagala au anayoyasema ukweli ni kuwa itakuwa ni kumuonea! Kosa ni la serikali inayotawala. Ukiacha mlango wazi kwenye zizi kila sikuw watu wanakuambia chui ataingia na kula mbuzi nawe ukapuuzia siku chui akiingia na kula utalaumu zizi kwanini halikufungwa?

CCM waliwekeza ktk strategy hatari sana.Yaani kuwa radicalize watu ili watumike ku mange waislam.hawajui hata mbwa wa kunusa dawa ni mateja.Na somwhere wawaweza wasijali sana shika vifurushi vya unga wataachokipata wanatulia hapohapo.
 
Mkuu ni nia yangu mtu ashtakiwe kwa mujibu wa sheria kama ulivyosema na si kwa kuisiwa au kwa chuki na kumkomoa kwa kuwa anabishana na serikali katika utaratibu ambao serikali haitaki kuifuata hata kama ni haki yake mtu huyo.
Nisichokielewa ni kwa vipi huelewi sheikh ponda ana makosa hata kwa huko kuhamasisha watu wasihesabiwe kwenye sensa. Huko ni kukiuka sheria. Kama ni sheria kuchukua mkondo wake basi kuna haki kumkamata. Amekamatwa kwa makosa ambayo anatuhumiwa kuyatenda na ni mara nyingi tu watu wamehamaki dhidi ya serikali hata wale wasiopenda haki ya mtu kukiukwa kwamba kwanini serikali haimkamati na kumfungulia sheik Ponda mashtaka kwa sababu anavuruga umoja wa kitaifa na kuleta chuki kati ya jamii ili watu wagawanyike kidini.
Nikuulize tu swali dogo. Hivi hakuna watu ambao watafaidika na mgawanyiko wa kijamii hasa kidini ukitokea? Kama wapo Sheikh Ponda na msimamo wake huawezi kuwa kati ya watu wanaotaka mgawanyiko huo au kuna watu wako nyuma yao ili watimize azma zao za kula hata kama ni kwa gharama ya damu ya watanzania?
Kuhusu swala la kuhamasisha Waislaam wasihesabiwe sijasema sio makosa isipokuwa binafsi yangu namuunga mkono kama navyomuunga mkono DR.Slaa na Mbowe ktk kuhamasisha M4C. Je, ni makosa kisheria? itategemea wewe uko upande gani..

Siwezi kuelewa kwa nini ktk sensa kuna Kipengele cha wanawake na watu msione kama serikali inataka kutuchonganisha wanaume na wanawake lakini kipengele cha Dini kiwe ni uchonganishi mkiuliza ati ili ijewe?. Kwani kile cha wanawake wamekiweka ili iweje? kwa nini tusihesabiwe wote kama mbuzi zizini isipokuwa viwekwe vipengele vyote kasoro cha dini wakati waislaam wanalalamika miaka yote tusiwasikilize. Nitarudia kusema Bakwata ni sawa na Umoja wa wanawake (UWT ya CCM) huwezi kunambia chombo hicho kinasimamia maslahi ya wanawake wote nchini. UWT sio chombo cha wanawake nchini kivunjwe kama ni makosa nifungeni maana huu ni uongo wa mchana kweupe..

Wakati wa Nyerere na Ujmaaa tulijua sababu ya kutoweka kipengele cha Dini kwa sababu ni serikali ilokuwa ikitoa huduma zote kwa wananchi toka Elimu hadi Afya leo hii serikali inashirikiana na taasisi ya Kikristu kutoa huduma hizo. Leo hii Chadema wakizuiwa kuunda Umoja wa wanawake mtakubali? Je, Wanawake wasipokuwa katika serikali yetu ama kupata ushirika watakuwa wanafanya makosa kusema huu ni mfumo dume na kuuliza why?..
 
Hizo ni technics za JK kuona kasema vibaya Mbagala sasa kuneutralize his bad speech iliyoelekea kukubali kitendo cha kuchoma makanisa DAWA NI KUMKAMATA PONDA KUONYESHA JK HAKUBALIANI NA KITENDO CHA KUCHOMA MOTO MAKANISA...

Mkuu kwani alisemaje?...share kidogo nami(in summary)
 
Back
Top Bottom