Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Sheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..

Siku zote nitalaani unafiki.

Mkuu Mkandara, sisi wote ni Watanzania, lkn sasa imefikia sehemu tutambuane kwa hulka zetu. Nyinyi wenzetu mmekuwa MIZIGO. Mmekuwa mizigo kwa namna mnavyojiweka na kwa kudhania mnatetea kile mnachokiamini ilhali hamjui u wapi msingi wa imani yenu.

Hili swali lako kwa kifupi ni la kipumbavu.

Upumbavu wa swali lako unaambatana na unafiki wa wengi wenu. Naomba unisome kwa makini kabla hujakurupuka kusema umetukanwa au umeonewa. Mmekuwa na tabia ya kudumu ya unafiki ambao sielewi mmepofuka kiasi hamuoni au mnafanya makusudi mkidhania watu wengine ni wajinga.

Imekuwa kawaida yenu sasa kutokuwa na msimamo imani yenu inapoingia majaribuni kiasi mnakuwa na matamko mawili yanayopingana. Tukio la Mbagala mmelilaani na wengi wenu mkasema kuwa UISLAMU HAUFUNDISHI VILE. Haikuishia hapo, mkadai vile vile kuwa, tukio lile haliwezi kamwe kufanywa na Muislamu kwa kuwa ni kinyume cha mafundisho ya Marehemu Mohammad. Mkasema kuwa mambo yale machafu yamefanywa na watu wenye nia ya kuuchafua Uislamu. Mimi naamini hayo yote yamesemwa ili tu kutuaminisha kuwa Uislamu hauungi mkono vurugu.

Cha kushangaza (unafiki mbaya), unapofikia wakati wa sheria kuchukua mkondo wake dhidi ya watu ambao mwanzo mmewakana kuwa si Waislamu ila wana nia tu ya kuuchafua Uislamu, basi mnageuka. Hapo kauli yenu ni UISLAMU UNAANDAMWA.

Ina maana wahalifu wana uhusiano na Uislamu kiasi wakikamatwa mseme uislamu unahujumiwa?


Jana Channel Ten imemnukuu Sheikh Ponda akisema amesikitishwa na tukio lile na analilaani. Lakini alichotaka yeye ni kusikia serikali ikilaani kitendo cha mtoto kukojolea quran. Serikali haijalaani, bali imechukua hatua za kisheria kumfikisha mtoto yule mahakamani, vivyo hivyo kwa wezi wale na wavunjifu wa amani. Lakini Ponda anahoji kwa nini wamekamatwa.

Ujinga na unafiki wa Ponda, wewe unaurudia hapa. Hii tabia yenu si nzuri kwa kweli. Ikiwa tunataka tuonekane wengi, JUMA ni MUISLAMU, lakini JUMA akiiba KANISANI, JUMA sio Muislamu.

Kwa kweli mnachosha, tukiacha masihara, mmekuwa mzigo. Ndio hizi tabia zinafanya tunarudi nyuma hata katika mambo ya msingi. Wakati watu wanakazana kuibana serikali kudai mambo ya msingi kwenye katiba mpya, wenzetu mnadai haki ya kufuga ndevu na polisi kuvaa hijabu. Hii maana yake ni kwamba, mambo ya elimu, afya na ulinzi wa nchi yetu nyie kama kundi hamna maoni, mnaji- isolate na kuwa na maoni yenu kwa faida yenu na hayo mengine mnawaachia waliopewa jukumu la kuibeba nchi, au nisemeje?

Laana huonekana kwa matendo ya mwanadamu, na unafiki ni sehemu ya laana hiyo.
 
Hapo sijakupata mwanakijiji. Kwa hiyo kama kwa muda mrefu ulikuwa unaacha mlango wa zizi wazi kwa kuamini kwamba chui hataingia, lakini ikatokea siku moja akaingia hutachukua hatua? Kinachoonekana ni kwamba serikali ilikuwa inampuuza kwa muda mrefu. Sasa imeanza kuona matunda ya kauli za huyu mhuni, na imechukua hatua.

Kama ni kwa mfano wako basi, serikali inachukua hatu za kufunga zizi ili huyu chui asirudi tena. Ninaungana na wale wanaosema polisi wasiishia kwa Ponda tu, bali waende mbali zaidi kwa kuifuta kabisa Radio Iman na gazeti la Al-nuur. Hivi ni virusi vibaya sana kwa mstakabali wa amani yetu. Sioni kibaya kwa serikali kuchukua hatua hiyo.

Unaemtukana Kiongozi wa Waislamu tena mwenya heshima ktk jamii yake!!! nani amekupa ruhusa ya kumtukana mtuhumiwa ambae hata mahakama haijamhukumu kwa kosa hilo lako la uhuni? jiheshimu ili na wewe uheshimiwe!!!

Yule mbunge wenu aliyefukuzwa na mahakama huko Arusha tukimuita mhuni kwa kukamatwa na Polisi ktk vurugu za Arusha 2011 tutakuwa tuna fanya kosa?
 
Najaribu kufikiria amekamatwa kwa kosa gani? Au anahusishwa na uchomaji wa makanisa huko Mbagala.

Kama watafuata Rules of Law na kumfikisha mahakamani NI LAZIMA ATASHINDA kwani siku zote mahakama zinasimamia FACTS na sio Rais au Mkuu wa mkoa kasemaje.

Hii nainasibisha na kesi ya Almarhum Sheikh Kassim Bin Jumaa wa msikiti wa Mtoro kariakoo na sakata la Uvunjaji wa mabucha ya Nguruwe. Nakumbuka wakili Mussa Kwikima na Hussein Mucaddam waliigaragaza Serikali.

Ok tuwe na subra. Cha msingi ni haki yake ya kuwekewa dhamana
.

na wala hakimu hatafuata kina fulani kule jf wanasema nini.sheria ndio itaamua hapo.lakini watu humu wanaripuka kama ndo kishahukumiwa.
Halafu wanajidai,SISI WASOMI BANA,My feet.
 
Katika kumbukumbu zangu, mauwaji ya kimbali nchini rwanda na burundi yalihamasishwa zaid na radio. mi binafsi sijawahi kuisikia hiyo radio make nipo kandaya ziwa, ila kutokana na laana nyingi za wana JF nahisi ni tatizo kubwa. Nacho omba wale wenye umbwa wanaoshika dhamana walifanyie kazi jambo hili la hii radio imaan 😛oa
 
Kwani kwa wachambuzi wa mambo na matukio tunaona wazi NJE YA MUUNGANO WENU mtaingia kwa kasi sana katika VITA VYA KIDINI. Kwani waislam wa huko tanganyika ambao mliaminishwa kuwa hawajasoma, mbumbumbu, wajinga sasa wamesoma, wajanja na wanataka haki zao sawa sawa katika nchi yenu.
Siamini mtu aliyesoma anaweza kuharibu na kuiba mali za kanisa. Huo ni ukosefu mkubwa wa elimu si ya dunia tu, bali hata ya ahera!!
 
Sasa isiwe akamatwe kwa sababu wameamua kumtoa kafara; Ponda hajaanza leo kusema anayoyasema. Kama muda wote (miaka yote) wameweza kumvumilia imekuwaje leo waamke na kusema wanamkamata?

Kama kosa ni yale ya Mbagala au anayoyasema ukweli ni kuwa itakuwa ni kumuonea! Kosa ni la serikali inayotawala. Ukiacha mlango wazi kwenye zizi kila sikuw watu wanakuambia chui ataingia na kula mbuzi nawe ukapuuzia siku chui akiingia na kula utalaumu zizi kwanini halikufungwa?
chui alishaingia siku nyingi sana zizini, na amakula mbuzi wengi sana, sema uvumilivu wa wanaoliwa umekwisha ndo maana unaona chui anaanza kupata majeraha. kwani zamani alikuwa akila kimya kimya.
 
Sheikh Ponda mtetezi wa waislamu wanyonge kukamatwa kwake hakuna mantiki na ataachiwa kama ambavyo kila mara akikamatwa anaachiwa kwa sababu yakutokuwa na kosa lolote!Tuko pamoja na wewe shekh Ponda!
 
Najaribu kufikiria amekamatwa kwa kosa gani? Au anahusishwa na uchomaji wa makanisa huko Mbagala.

Kama watafuata Rules of Law na kumfikisha mahakamani NI LAZIMA ATASHINDA kwani siku zote mahakama zinasimamia FACTS na sio Rais au Mkuu wa mkoa kasemaje.

Hii nainasibisha na kesi ya Almarhum Sheikh Kassim Bin Jumaa wa msikiti wa Mtoro kariakoo na sakata la Uvunjaji wa mabucha ya Nguruwe. Nakumbuka wakili Mussa Kwikima na Hussein Mucaddam waliigaragaza Serikali.

Ok tuwe na subra. Cha msingi ni haki yake ya kuwekewa dhamana
.

na wala hakimu hatafuata kina fulani kule jf wanasema nini.sheria ndio itaamua hapo.lakini watu humu wanaripuka kama ndo kishahukumiwa.
Halafu wanajidai,SISI WASOMI BANA,My feet.
 
Hapo sijakupata mwanakijiji. Kwa hiyo kama kwa muda mrefu ulikuwa unaacha mlango wa zizi wazi kwa kuamini kwamba chui hataingia, lakini ikatokea siku moja akaingia hutachukua hatua? Kinachoonekana ni kwamba serikali ilikuwa inampuuza kwa muda mrefu. Sasa imeanza kuona matunda ya kauli za huyu mhuni, na imechukua hatua.

Kama ni kwa mfano wako basi, serikali inachukua hatu za kufunga zizi ili huyu chui asirudi tena. Ninaungana na wale wanaosema polisi wasiishia kwa Ponda tu, bali waende mbali zaidi kwa kuifuta kabisa Radio Iman na gazeti la Al-nuur. Hivi ni virusi vibaya sana kwa mstakabali wa amani yetu. Sioni kibaya kwa serikali kuchukua hatua hiyo.
Wanaoleta uchochezi hawaonwi(kwenye red) ila MwanaHALISI msema kweli anapigwa ban isiyo na ukomo...Shame on you Sirikali....
 
Hiyo radio imani na ponda ni msaada wa serikali ya Iran. Ponda pale mwembachi pamoja na shehe kasim walikuwa wanalipwa $200.00 kila week ili kumkashifu yesu hadharani.

Iran walifungua radio propaganda pale mtaa wa mchikichini karribu na kumekucha mart. Humo kulikuwa kunatengenezwa kanda nyingi sana na mrekodiaji walikuwa marehemu mwaipopo abubakri. Serikali iliyajua haya yote ya Iran na kutugawa sisi wakristo na waislamu lakini haikufanya lolote kumkataza Iran na mizimu yake.

Ponda mambo yake haya yote hafanyi bila kulipwa. Na hulipwa na serikali ya Iran. Sasa hawa polisi lazima wambane ponda mpaka amtaje mfadhili wake . ndipo serikali iichukulie hatua serikali ya Iran, Lakini kumkamata ponda bila kmbana mfadhili wake ni kama mimina bia katika glasi lenye tundu.

Bila serikali ya Iran mambo haya yasingetokea Tanzania. naomba serikali imbane sana ponda kuhusu mfadhili wake naye lazima atataja tuu na hapo ndipo utagundua kuwa Iran siyo nchi ya kuwa nayo ubalozi kimahusiano.
Kama kweli Iran ndiyo inafadhili uovu huu hapa nchini, basi Kikwete yupo nyuma ya jambo hili. Nafikiri ni harakati zile zile za kuislamisha nchi za Africa ndiyo zinaendelea hivi sasa. Nilikuwa siku moja namtania mkenya mmoja kwamba wao hawapo stable kutokana na ukabila. Akanicheka sana akasema duniani hakujawahi kutokea vita mbaya kama ya udini. Na Tanzania ipo mbioni kupigana vita ya udini verry soon. Kwa dalili zilizopo naona kabisa siku si nyingi tutakuwa tunachapana. Maana najaribu kuimagine kama waislamu walipokuwa wanavamia makanisa wangewakuta waumini wakikristo makanisani kwao ingekuwaje? Definitely wangetaka kuwaua, hatujui revenge ingekuwaje, na ingetawanyika hadi wapi? Si ajabu siku ile Dar nzima ingekuwa kwenye vita ya kidini. Cha ajabu Kikwete na viongozi wa Bakwata wanalichukulia simple tu. Hapo ndo ninapoona shida ya nchi kuongozwa na hawa jamaa. Yaani wakishachukua madaraka tu, hali ya nchi inayumba na migogoro inaongezeka.
 
yule mwanaharakati maarufu wa dini ya kiislamu sheikh ponda issa ponda amekamatwa na polisi usiku huu akiwa katika msikiti wa temeke tungi

aisee kama ni kweli itakuwa taarifa njema

yes kama ni kwel itakuwa kheri kwani jaman ni bonge la kirusi.kwani ukiacha usheke anafanya shughuli gani zingine?

kuwashawishi watu kwenda kuchanachana biblia, kuiba sadaka na kuharibu makanisa. Inawezekana hata zile sadaka walizoziiba zilipelekwa kwake( rumours)

ni taarifa za kweli na aliwindwa kwa siku tatu ili akamatwe katika mazingira salama yasiyoweza kuibua mtafaruku na huu ni mwanzo, huenda hatua kubwa zaidi zitachukuliwa kwa redio imani.

bado na huyu kirusi radio imaan anazidi kueneza chuki baina ya watz na kutugawa kwa misingi ya udini wake.

sasa isiwe akamatwe kwa sababu wameamua kumtoa kafara; ponda hajaanza leo kusema anayoyasema. Kama muda wote (miaka yote) wameweza kumvumilia imekuwaje leo waamke na kusema wanamkamata?

Kama kosa ni yale ya mbagala au anayoyasema ukweli ni kuwa itakuwa ni kumuonea! Kosa ni la serikali inayotawala. Ukiacha mlango wazi kwenye zizi kila sikuw watu wanakuambia chui ataingia na kula mbuzi nawe ukapuuzia siku chui akiingia na kula utalaumu zizi kwanini halikufungwa?

naona wale 120 walioko selo wamemtaja yule jamaa mchochezi sana yule bora akanyee debe

nini kiliizuia serikali kuchukua hatua kubwa kwa radio imani siku za nyuma? Bado naamni serikali adilifu ingekwisha shughulikia tatizo na chuki za kidini muda mrefu nyuma.

yote 9 hii habari iwe ni kweli na kama ni kweli wasitufanye watoto wadogo kwa kumwachia bila vigezo vya kueleweka! Anastahili kujibu tuhuma nyingi sana na awajibishwe! Tumechoka na maneno na vitendo vyake vilivyojaa chorus!

mzee mwanakijiji

labda ya mbagala ndio yame waamsha huu sio utani tena, na ni watu gani anaowaamsha kwa fikra zake ambazo hazifai.

Let it be true na anyongwe

kachukuliwa kama mtuhumiwa tu. Harakati za upelelezi zinaendelea

mi nimeipenda hii ya kukamatwa kwake kama ni kweli.

Angestahili awe mshtakiwa wa kwanza kt ya wale wote waliokamatwa!

believe me, atawekwa kizuizini kwa muda tu halafu ataachiwa huru, radio imani haitafanywa kitu, lakini kama ingekuwa ni radio ya kikristo inakashfu uislamu ingefungwa mara moja. Sababu ni kuwa waislamu wakikashfiwa wanahamaki na kufura haraka sana na kufanya vurugu, lakini wakristo wakikashfiwa huwa wanakuwa watulivu na wakimya.

Kinachosemwa na radio imani ni imani ya waislamu na ndio kinachosemwa misikitini kila siku, kwa hiyo kama mtu akitaka radio imani ifingwe basi misikiti yote ifungwe.

Kumbuka kuwa kuna misikiti watu walikuwa wanachapana bakora, kuna msikiti mmoja (kwa mtoro??) ulisimamishwa kutokana na watu kukutwa na lethal material, kwa hiyo sio kitu kipya na kitanedelea kuwepo.

kwa hiyo alikuwa amejificha msikitini??.....ponda nae ni wa kuwinda kwa siku 3?

wampeleke somalia akajiunge na alshababu na kumalizwa na majeshi ya kenya.

arejeshwe kwao burundi haraka sana au abanwe aseme anayemtuma kuhubiri maangamizi wakati hapa si kwao.

wataandamana mpaka ofisi ya wizara ya mamabo yandani na washinikiza atolewe kama walivyofanya kwa wale waliogomea sensa

kweli kabisa kama hii taarifa ni ya ukweli safi sana..

kwa nini hakuwahamasisha wakasome albadil (sijui ndo inavyoandikwa) kimya kimya kuliko vurugu?

wewe ndio maana watu wanakuita mnafiki umu ndani,leo ndio nimeprove unafiki wako...yani uhoni kosa la ponda!!?...ooh mungu tunusuru!!

bora amekamatwa sio cku ya ijumaa....

kama ni kweli safi sana,huyu mburula ni mdini,mchochezi.safi sana kova.

angekamatwa hata mwaka jana au juzi. Ni ingekuwa bora sana kama angekuwa hayati

plizi kama humjui huyo mwendawazimu nenda google au search humu jf thread zinazomhusu usome usichoshe watu hapa bure,kuhusu juha ponda

utawewaza wanafiki wa humu.hata hawanaga aibu asee.

inasemekana kazi yake nyingine ni kutuma vijana wabomoe makanisa waibe vitu vilivyomo na kuviuza ili apate pesa ya kula

naikubali sana serikali ya kenya wapuuzi wapuuzi kama hawa ni kuwalenga tu risasi za usoni

nilisikia mlimani tv jana upuuzi aliokua anaongea na kama kweli wangeendelea kukaaa kumya basi ningefikiria vinginevyo. Kaongea ujinga mwingi sana jana kwene vyombo vya habari

kwa kweli shehe ponda mie binafsi ninampenda sana ila tabia zake za chuki ndiyo ninazichukia.
Unajua watu wengine sijui ni uhuru umewazidi maaana wao siku zote utakuta kazi zao ni kueneza chuki na uchochezi,watu hawa wachukuliwe hatua kali za kisheria.

Nawakumbusha kuwa kuna sheria ya chuki na uchochezi na ni hai ila basi tu.hata hii redio imani itambue kuwa imeanzishwa kisheria na ni lazima iiheshimu sheria na taratibu za nchi hii kuliko kufyatuka kwa kupandikiza chuki na uchochezi.

Wakina ponda kazi yao ni kutaka kuona nchi hii haitawaliki, ila wajue kuwa wanaachwa tu kwa sababu tz tumezidisha siasa lakini tungekuwa kama urussi,usa na nhi nyingine za jumuia ya kiarabu ambazo hazitaki ujinga ujinga wa akina ponda.

shekh ponda is suffering from personality disorder, behaving antisocial and violent without remorse. He is dangerous by himself and unfit to live in a civilized society.

thank you jesus... Huyu mtu anatakiwa apewe kifungo cha pepo..

ssshhhhhhh! Jameni taratibu...wasije wakawasikia......kama mikojo ya kitoto imeleta makanisa kuchomwa na vurugu full.... Je haya wengine mnayoyasema hapa ya wakubwa? Nuklia italipuka...mimi huyooooo....simo...

serikali hii siyo sikivu hata kidogo. Inawavumilia sana watu wanaoeneza chuki baina yetu. Ilichelewa sana kumkamata shekh feki huyo. Shekhe ponda ni shehke feki.

better late than never. Kama ndo serikali inaamka ni bora kuliko kuendelea kufuga kidonda ndugu

kova ijumaa twataka segerea,ukonga nakeko waandae mazingira vzr ya kuwaweka selo. Huyu ponda anapenda shortcut sasa wapuuzi wamuunge mkono ijumaa wakanyee ndoo.

safi sana na ikiwezekana wamrudishe kwao burundi kwani inaonekana kazoea vita sana na anataka tanzania iwe kama burundi. Ninaomba aondolewe tz yatu ibaki salama.

eti ponda anapigania haki..!!haki ipi haswa,? Kuchoma makanisa na kuiba sadaka au kuna haki nyingine mkuu mnayotafuta

kweli kabisa tatizo ni serikali imekuwa ikipigiwa kelele hizi habari za uchochezi za dini siyo nzuri muwe nazo makini wao wanachukulia mzaha ndo matokeo yake ndiyo haya, na shauri wamuachie na serikali yenyewe iangalie ni jinsi gani itapambana na kudhibiti hili tatizo lililo simika mizizi mirefu isyo chimbika

huyu jamaa amekuwa janga la kitaifa! Hongera polisi kwa kazi nzuri.

mbona polisi wana makosa mengi tu ya kumpa. Wanaweza kusema uchochezi mpaka hapo????

jana alikuwa anamlaumu kikwete kwanini ameenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na kuacha msikiti uliovamiwa na polis. Amesahau kwamba wale wez walikimbilia msikitin kujificha

unauliza nini sasa na ulishasikia ni sheikh¿? Zaidi ya uchochezi unafikiri ni nini tena.

kwani aliposema kuwa waislamu wa mbagala wamefanya kazi nzuri na kuwahimiza waislamu wote tanzania wafanye hivyo maana kazi ndiyo imeanza , na akaendelea kudai kwamba waislam sasa watadai haki zao bila kufuata sheria za nchi...hapo uchochezi hauuoni ndugu yangu?

leo mnaona polisi wanafanya kazi nzuri mkuki kwa nguruwe sio pro chadema bwana.

suala si kukamatwa kwa sababu ni sheikh,bali mchochezi.sheria si tu ifanye kazi si kwake bali kwa wote wanaotumika kugawa watz kwa misingi ya udini,ukabila,ukanda,umri,ujinsia n.k,lazima tujenge nidhamu.sheikh ponda achukuliwe hatua zinazostahili kwa mujibu wa sheria pasi kumuonea,na vyombo vya habari vinavyotumika kusambaza chuki vichukuliwe hatua zinazofaa.

shekhe ponda anatoa kauli za uchochezi kati ya waislam wakristo na serikali.kwa mfano jana nilikuwa namsikiliza redio ya umoja wa mataifa akihojiwa anasema eti serikali iwaombe radhi waislam kwa mtoto w mbagala kukojolea qur'an.sasa inashangaza kwani mtoto alitumwa na serikali! Na serikali imemkamata mtoto na imempeleka mahakamani yeye alitaka serikali imuue!halafu anaiamuru serikali iwaache watu wote iliowakamata wanaodai kuwa ni waislam japo wameharibu mali za watu!mtu wa ajabu sana huyu.

radio imaan povu limeshaanza kuwatoka nawasikiliza hapa

asante yesu,kwa kuwa umeanza kusikia maombi ya watoto wako,tunaomba amani ya kweli haliyo iacha baba wa taifa,glory to god

kama walivyo mashekhe wote. Yeye anapokea tende, mchele, mafuta, mbuzi, unga wa ngano na vitu vingine toka uarabuni kama msaada wa msikiti wake ila yeye anabinafsisha kuwa mali yake huku akirubuni waumini juu ya unafki wa wakristo na kuanza kufanya vurugu bila sababu.

ponda haitoshi funga radio iman ndio wanaopandikiza mbegu mbaya haina tofauti na ile radio iliyowachochea wanyarwanda kupigana, watawala amkeni!

akitoka utawafanya makristu wakachome misikiti 50... Watu wanasubiri hukumu ya haki au walipize kama wao walivyofanya

kukamatwa kwa ponda ni kazi rahisi.
Swali ni je kwa hali ya mfumo wetu wa utoaji haki ilivyo sasa ponda atawajibika kwa matendo yake ya kuhatarisha amani ya nchi hii iliyodumu kwa takribani miaka 50 tangu taifa hili lipate uhuru wake.

ila kuachia kirusi ka sheik ponda na radio imaam ni kujimaliza wenyewe! Mwalimu katika hotuba zake aliwai kusema kiongozi hatakiwi tu kusema anapinga ukabila au udini "ni lazima aonyeshe kwa ukweli kabisa kua anapinga" kwa maana kuna watu hata ukiwakata leo wana chuki za ukabila au udini kwa hiyo watu kama hao hutakiwi kuwapa muda wa kupumua ni kira mara lazima ukeeemee sasa viongozi wetu ndio hivyo wameishia kukemea majukwaani na humu mbegu yaudini ikizidi kukua

siyo dini iliyowatuma hawa. Ni wehu ndio uliowatuna hawa kule mbagala. Muislam safi hayupo ivyo, tuseme mara ngap?.

na hao wachochezi wengine wanaosababisha hadi watu wanapoteza maisha inatakiwa wanyee mtondoo bila kujali kuwa yeye aliwahi kuwa kiongozi wa dini ama nini.
Hapo ndo tutajua haki inatendeka vinginevyo ni kiinimacho.

hivi ni kwanini kikwete ameiachia muda wote huu??? I hate it!

jana startv alisema serikali ndio chanzo cha machafuko mbagala.huenda ndio ikawa chanzo cha kukamatwa kwa alionesha dhahiri kumtuhumu jk

wakristu wote, kuanzia saa tatu jumapili kufanya maandamano ya amani kuelekea jangwani. Taifa na serikali lazima lifahamu kuna watu wanaumia kwa upuuzi unaoendelea. Redio, magazeti na watu wanaoeneza chuki hawana budi kuchukuliwa hatua.

let him rest in peace

bora achomwe sindano ajifie taratibu kwani ni atari sana kwa mustakabadhi wa taifa!! Unachochea watu kwenda kuiba sadaka!! Ila na huyu kova nae sijui upolisi kajifunzia wapi!! Anatamka taarifa za kumkamata ponda kwenye magazeti!! Sijui intelijensia ipo wapi??

Acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.

Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa sheikh aboud rogo, na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazuia watoto wao.

Yaani kama kuna maadui wa kiislamu wanaojidai kupambana na uislamu, basi jueni vijana wa kiislamu wao wamepinda zaidi. Endeleeni kuwachokoza. Kama uliangalia vizuri, zile vurugu za mbagala ziliongozwa na watoto wa madrasa tu.

Sasa mkamateni sheikh ponda, ndio mtawajua kaka zao wale watoto wa madrasa.

Ponda hayuko juu ya sheria. Anaweza kuitwa kuhojiwa wakati wowote ili kuweka jambo bayana. Hivyo mnavyo shangilia kua kakamatwa huo upotofu wa taarifa.

Ponda haongei uchochezi. Anaongea kwa hoja na ndio maana sheria haiwezi kumtia hatiani. Kuweni waelewa.

Kama ponda angekamatwa kwa staili hiyo, saa hizi tungekua tunaongea habari nyingine. Waislamu wote tunajua wajibu wetu katika kuwalinda viongozi wetu.
Wako tunao tumia busara katika hili, lakini wapo vijana wao ni kazi pale wanapo amrishwa.

Hii nchi tusipo kua na adabu na nidhamu, juu ya imani na tofauti zetu, basi msishangae tukigawana milango na madirisha.

Hatupendi tufike huko, lakini hatuko tayari kua second citizen katika nchi tulio ipagania. Mlicho tufanyia ni sawa sawa na kumtu kukuomba lifti, na wewe unampa kwa roho mmoja kama binadamu mwenzako, kumbe ni jambazi. Bahati nzuri tumeshtuka, before it is too late.

Sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.
 
Kwa aina hii ya mijadala ni wazi tunazidi kupalilia ubaguzi wa kidini hapa nchini. Manake kuna comments nyingine hapa mtu unashindwa kuamini kama zinatoka kwa maGT au ni wanaharakati wa kidini, tena wale wa imani kali.

Hivi watu mmechoka sana kiasi cha kutamani minyukano?
 
huyu bwana anaweza kuipeleka Tanzania kuwa kama Ruanda asipothibitiwa mapema
nashauri apewe karipio kali na na sio kumkamata kwa sasa mda wote walikuwa wapi

SHEKHE PONDA ISSA PONDA - KWA MANENO YAKE MWENYEWE NA WAANDISHI WA HABARI ANASEMAAAAA>
POLISI NDIYO WALIOSABABISHA MAKANISA KUVAMIWA MBAGALA KWANI WALIINGIA MAKANISANI NA KUANZA KURUSHA MABOMU MISIKITINI.
RAIS KIKWETE ALIPENDELEA KUANGALIA MAKANISA MBAGALA WAKATI IPO NA MISIKITI ILIFANYIWA HUJUMA.
ANASEMA UONGOZI WA NCHI HII UMEEGEMEA UPANDE MMOJA WA IMANI.

[FONT=lucida grande, tahoma, verdana, arial, sans-serif]hivi kuna msikiti uliohujumiwa? na nani?lini? na wapi?
shekhe ponda ni janga la kitaifa
[/FONT]
 
Unaemtukana Kiongozi wa Waislamu tena mwenya heshima ktk jamii yake!!! nani amekupa ruhusa ya kumtukana mtuhumiwa ambae hata mahakama haijamhukumu kwa kosa hilo lako la uhuni? jiheshimu ili na wewe uheshimiwe!!!

Yule mbunge wenu aliyefukuzwa na mahakama huko Arusha tukimuita mhuni kwa kukamatwa na Polisi ktk vurugu za Arusha 2011 tutakuwa tuna fanya kosa?
Uhuni wake hautokani na kukamatwa na polisi bali matendo yake. Nakushangaa sana kama wewe ni muislamu mwenye akili timamu halafu unamwona Ponda ni kiongozi mwenye heshima! Hizi kauli zenu ndo zinaudhalilisha sana uislam na kuufanya uonekane ni dini ya wakorofi na wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo. Hivi haya anayofanya Ponda bado yanamqualify kuwa sheik mwenye heshima kweli? Achani kuudhalilisha uislam nyie!
 
leo mwema anasifiwa,,,,sio mwema yule anawaambia polisi waue,,,,si yule mnayesema apelekwe ICC???,
MSANGI UNAYEMZUNGUMZIA HAPA SI YULE ULOMZUNGUMZIA WAKAT WA DR ULI,,,,,,
WAZEE WA NDIMI 2 BHANA

Wakifanya kazi nzuri lazima tuwasifie! wakifanya vibaya lazima tuwaambie ukweli.Teh teh teh
 
NOT GOOD ENOUgH.
Usalama wa nchi yetu ni kufunja kabisa uhusiano wa kibalozi ya Serikali ya Iran.
Kushughulikia kina Ponda ni kutreat symptoms wakati tatizo lipo pale pale.

na ule wa roma pia ufungwe
 
Kama unakubali kile kitendo cha kuharibu na kuiba mali walichofanya waislam kule mbagala ni uhalifu, basi ni lazima ukubali kwamba shehe ponda kafanya kosa kubwa kuwapongeza wale waislam na kuwahimiza waislam tanzania nzima wafanye kile kitendo. Kama serikali iko serious , shehe ponda ni lazima anyee debe kwa kosa la uchochezi!

Kwani Kuidhalilisha Qur'an ni kosa dogo?

Tatizo ni huko Tanganyika waandishi wa habari wamejawa ushabiki wa kidini kiasi cha KUSAHAU CHANZO na kushabikia MATOKEO. Ni mara ngapi tumeshuhudia vyombo va habari vya huko vikiandika watu wenye hasira wamemchoma moto na kumuua kibaka. Lakin haviandiki hata siku moja watu wenye hasira wamemuua Mtu.

Kumbuka kuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican huko Tanzania Dr Mokiwa amewaomba radhi waislam kwa kitendo alichofanya muumini wake. Lakin utashangaa suala hili huko Tanzania halijaonyeshwa wala kuandikwa ila tumemuona na kumsikia katika Aljazeera News. Je hao waandishi wenu wa habari wnawapeleka wapi?

Poleni sana. Tuombe Mola mengi tutayasikia.

 
Napendekeza huyo Sheikh kilaza Ponda anyongwe hadharani ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Back
Top Bottom