Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Serikali hii siyo sikivu hata kidogo. Inawavumilia sana watu wanaoeneza chuki baina yetu. Ilichelewa sana kumkamata shekh feki huyo. Shekhe ponda ni shehke feki.
 
yes kama ni kwel itakuwa kheri kwani jaman ni bonge la kirusi.kwani ukiacha usheke anafanya shughuli gani zingine?

Hiyo ndio kawaida ya mafisadi. Fisadi yeyote huwa hampendi mpigania haki. unataka ujue shughuli zake ivi wewe unafanya kazi gani
 
Ni jambo la kujivunia kwa sisi wana CCM hatuna haja ya kufanya kampeni watu kama hawa ndiyo wanatusaidia kuichafua CDM na watu kuja CCM.
Aisee, kwa hiyo kimsingi ccm haina sera bali wao wanasubiri tu mapungufu ya wapinzani!!! Nchi hii bwana ndiyo maana siku zote tunarudi nyuma.
 
Sio swala la Udiaspora linalojadiliwa hapa. Huyo Sheikh Ponda ndiye ana own hiyo redio au ni member wa Islamic Foundation Tanzania Broadcasting (IFTB)?

ponda mmiliki wa iman redio?...comon men.
Tuseme yeye mmiliki so what?
 
Kuwashawishi watu kwenda kuchanachana biblia, kuiba sadaka na kuharibu makanisa. Inawezekana hata zile sadaka walizoziiba zilipelekwa kwake( rumours)
msg kama hizi ndio huwa zinaamsha hisia mbaya. Usiandike ilimradi uonekane umeandika angalia na unachokiandika kina maanisha nini
 
Sasa isiwe akamatwe kwa sababu wameamua kumtoa kafara; Ponda hajaanza leo kusema anayoyasema. Kama muda wote (miaka yote) wameweza kumvumilia imekuwaje leo waamke na kusema wanamkamata?

Kama kosa ni yale ya Mbagala au anayoyasema ukweli ni kuwa itakuwa ni kumuonea! Kosa ni la serikali inayotawala. Ukiacha mlango wazi kwenye zizi kila sikuw watu wanakuambia chui ataingia na kula mbuzi nawe ukapuuzia siku chui akiingia na kula utalaumu zizi kwanini halikufungwa?

Better late than never. Kama ndo serikali inaamka ni bora kuliko kuendelea kufuga kidonda ndugu
 
Kova ijumaa twataka segerea,ukonga nakeko waandae mazingira vzr ya kuwaweka selo. Huyu Ponda anapenda shortcut sasa wapuuzi wamuunge mkono ijumaa wakanyee ndoo.
 
Sasa isiwe akamatwe kwa sababu wameamua kumtoa kafara; Ponda hajaanza leo kusema anayoyasema. Kama muda wote (miaka yote) wameweza kumvumilia imekuwaje leo waamke na kusema wanamkamata?

Kama kosa ni yale ya Mbagala au anayoyasema ukweli ni kuwa itakuwa ni kumuonea! Kosa ni la serikali inayotawala. Ukiacha mlango wazi kwenye zizi kila sikuw watu wanakuambia chui ataingia na kula mbuzi nawe ukapuuzia siku chui akiingia na kula utalaumu zizi kwanini halikufungwa?
...kwa hiyo baada ya kukaa kosa kutendeka kwa muda mrefu huondolewa ubatili?
 
Safi sana na ikiwezekana wamrudishe kwao burundi kwani inaonekana kazoea vita sana na anataka tanzania iwe kama burundi. Ninaomba aondolewe tz yatu ibaki salama.
 
Hiyo ndio kawaida ya mafisadi. Fisadi yeyote huwa hampendi mpigania haki. unataka ujue shughuli zake ivi wewe unafanya kazi gani

eti ponda anapigania haki..!!haki ipi haswa,? kuchoma makanisa na kuiba sadaka au kuna haki nyingine mkuu mnayotafuta
 
Sasa isiwe akamatwe kwa sababu wameamua kumtoa kafara; Ponda hajaanza leo kusema anayoyasema. Kama muda wote (miaka yote) wameweza kumvumilia imekuwaje leo waamke na kusema wanamkamata?

Kama kosa ni yale ya Mbagala au anayoyasema ukweli ni kuwa itakuwa ni kumuonea! Kosa ni la serikali inayotawala. Ukiacha mlango wazi kwenye zizi kila sikuw watu wanakuambia chui ataingia na kula mbuzi nawe ukapuuzia siku chui akiingia na kula utalaumu zizi kwanini halikufungwa?

Kweli kabisa tatizo ni serikali imekuwa ikipigiwa kelele hizi habari za uchochezi za dini siyo nzuri muwe nazo makini wao wanachukulia mzaha ndo matokeo yake ndiyo haya, na shauri wamuachie na serikali yenyewe iangalie ni jinsi gani itapambana na kudhibiti hili tatizo lililo simika mizizi mirefu isyo chimbika
 
jana alikuwa anamlaumu kikwete kwanini ameenda kuangalia makanisa yaliyoharibiwa na kuacha msikiti uliovamiwa na polis. amesahau kwamba wale wez walikimbilia msikitin kujificha
 
Ni ujanja ujanja tu wa policcm...hawawezi kumkamata Ponda kwa muda mrefu kwani mtu mkubwa huyo eti! Serikali na viongozi wote wanaujua mchezo wake na wako nyuma yake...wakifanya mchezo atawaumbua na ukweli anaoujua kuwahusu! Hakuna anayeweza kuthubutu
 
uchochezi upi sasa na kwa ushahidi upi?
kwani aliposema kuwa waislamu wa mbagala wamefanya kazi nzuri na kuwahimiza waislamu wote tanzania wafanye hivyo maana kazi ndiyo imeanza , na akaendelea kudai kwamba waislam sasa watadai haki zao bila kufuata sheria za nchi...hapo uchochezi hauuoni ndugu yangu?
 
Back
Top Bottom