Mkuu kama bakwata hamuitaki hakuna wa kuwazuia. Kwanza nashangaa kama hamuitaki kwanini mpaka leo bado ipo. Kuna kitu hakijakaa sawa kabisa kwenye umoja wenu ama sivyo BAKWATA ingekuwa ni history tu kwa sasa.Unaona basi.. wewe unapendekeza serikali iendelee kuwa control waislaam wakati nyie viongozi wenu wanachaguliwa Vatican na kuwa mabalozi wa waumini wa Katoliki na kupewa immune... Tuacheni tuchague viongozi wetu wenyewe hiyo Bakwata hatuitaki, kwa nini mnatulazimisha halafu watu wakisema mfumo kristu mnalalamika..
Kwa hiyo unalojua ni moja tu hayo mengine huyajui.. semeni hivyo basi na tusubiri hadi tutakapo elewa sababu.. Hii habari ya kuyakuza mambo nakwamba anahusika na uchomaji moto makanisa, sijui redio Imani wakati hata wewe unaandika matusi kibao hapa JF kuhusu waislaam mbona hatujasema Ukamatwe au JF ifungiwe ni kukosa ufahamu na kujifungia ktk kabati la udini maana huoni unayoyafanya wewe wakati unakemea wenzako.Nadhani hujanisoma vizuri...hilo la kuvamia kiwanja ni moja ila yapo makosa mengine ambayo hakupenda kuyaeleza(labda kwa sababu za kipolisi). Kinachonishangaza mimi ni kwamba kwanini waislam wanajiona wapo juu ya sheria sasa hivi? Kova amesema taratibu zote za sheria zitafuatwa na zitakapokamilika kama ni dhamana/kufikishwa mahakamani, taratibu hizo zitafuatwa.
By the way...unajua hata kukusanyika watu wengi mbele ya kituo cha polisi kama walivyofanya waislam leo ni kosa kisheria na wangeweza kukamatwa na kufunguliwa mashtaka?
watamwachia...
waislam wamestahamili sana dhulam hawamo serikalini . wafanyakazi zaidi ya 90% ni wakristro
jeshi 90% ni wakristo
polisi 90% ni wakristo
bunge 90% ni wakristo
necta yote wakristo ambao kazi yao kubwa ni kuwafelisha watoto wa liislam
nchi kweli imeshaharibika
Shehe Ponda kawapongeza wale walioharibu makanisa na kuiba mali. Kawahimiza waislam wote tanzania nzima wafanye hivyo. Huu ni uvunjaji wa sheria mchana kweupe. Kiongozi wa kiislam anawahimiza waumini wake wafanye uhalifu. Sasa hebu niambie viongozi wa chadema wanapodai haki zao wanafanaje na Ponda mpaka na wenyewe tuwaweke kwenye kundi la mtu anayehamasisha uhalifu?By Mkandara![]()
![]()
Mkuu wangu sielewi kabisa ila navyosoma hapa JF inaonyesha kwamba kuna tuhuma ama ushahidi kuwa Sheikh Ponda anahusika na mauaji ya Mbagala. Lakini hizi tuhuma ni za hapa JF sielewi ukweli ni upi ktk kukamatwa kwake na kama amehusika kweli ipo kila sababu ya kukamatwa na kupelekwa mbele ya sheria lakini kinyume cha hapo kama ni sababu ya yale maandamano ya kupinga sensa, akasimama kuiomba serikali iwaachie huru waumini wa Kiislaam waliokamatwa - hapo sioni kama lilikuwa kosa la watu kushabikia kiasi hiki maana hata Dr.Slaa, Mbowe Lema, Tundu Lissu wote wameisha kamatwa kwa makosa ya kutetea wafuasi wa Chadema ambao walikisiwa kufanya vurugu.
Wananchi wana kila haki na Uhuru wa kutoa maoni yao (freedom of expression). Ikiwa leo seirkali inapingana na maoni ya wananchi kwa sababu ya dini yao basi hiyo katiba mpya sijui itakuwaje. Na kila siku mnabishana na kina Ritz na Zomba humu mnawaita wao ndio wajinga, washenzi na wapumbavu wa kuitetea serikali. Serikali imekuwa ikitafuta ushahidi wa kumkamata Sheikh Ponda kutokana na mgomo na maandamano ya waislaam yalofanyika kupinga sensa ile hata kufikia kuharibu sensa nzima ya watu nchini...
Ifike mahala wanaChadema myapime maswala kwa kutazama makalio yenu wenyewe. Mnaiona Haki viongozi wenu wanawatetea wanaChadema lakijni hamuioni haki pale kiongozi wa Kiislaam anapopingana na Uongozi wa CCM. Kama Sheikh Ponda amehusika na njama zozote dhidi ya Wakristu na sio mfumo unaowakandamiza Waislaam basi nifahamisheni ili nami nishiriki ktk harakati hizi za kuwachambua viongozi hawa wa dini wanaosababisha UDINI..All I know Sheikh Ponda huikaripia serikali ya CCM kwa kuwakandamiza Waislaam kwa lugha ambayo hutoa hatadhari ya kwamba itafikia wakati Waislaam na wakristu watakuwa maadui..
watamwachia
hana kosa ni yale yale ya Sheikh wetu Kassim bin Jumaa alikamatwa kwa shinikizo la kanisa
hatimaye mrema alimkamata na kumuua kwa sumu
waislam hawatakubali amani wao ndio waliitunza
wao ndio wamewwekwa nyuma katika kila sekta ya nchii hii
ni wao viongozi wao wanaposema na kuiomba serikali hata kwa jambo la msingi basi hawasikilizwi
ni wao viongozi wao wanapo takiwa police kutoa ushahidi huburuzwa kama majambazi ilhali mapadri polise huenda wao makanisani kuwahoji
madhali haki haipo, basi sasa ni wakati wake kuweka sawa mambo
waislam wamestahamili sana dhulam hawamo serikalini . wafanyakazi zaidi ya 90% ni wakristro
jeshi 90% ni wakristo
polisi 90% ni wakristo
bunge 90% ni wakristo
necta yote wakristo ambao kazi yao kubwa ni kuwafelisha watoto wa liislam
nchi kweli imeshaharibika
uonevu na dhulma ukivuka mpaka wananchi hawaogopi dola
lazima heshima ipatikane na Ponda watamtoa ama waislam watamtoa hii ni lazima
yaliyo tokea mbagala hayamhusu ponda
polisi wanafata maelekezo ya mapadri...na hawa mapadri kuwakumbusha tu ndio walio wachoma wahutu na watusi kule burundi na rwanda baaadae wakakimbia vatican na ulaya
kwa hiyo sio ponda wala waislam watakao haribu nchi hii
nchi hii tayari imeshaharibiwa na mapadri wanaondekeza uchoyo, dhulma na wizi kwani wao hawajali wana passport mbili..
wacheni kuchochea moto waislam hawana cha kupoteza
Unaweza kutupa ushahidi wa madai haya? maana kama wewe umesikia lazima ipo copy ya hotuba hiyo na haiwezekani watu wote hapa JF wasiwe nayo. Please iwekeni hapa tumchambue huyu Sheikh Ponda. napenda sana kuwajua viongozi hawa wa dini hasa wanapozungumza maneno kama haya..Shehe Ponda kawapongeza wale walioharibu makanisa na kuiba mali. Kawahimiza waislam wote tanzania nzima wafanye hivyo. Huu ni uvunjaji wa sheria mchana kweupe. Kiongozi wa kiislam anawahimiza waumini wake wafanye uhalifu. Sasa hebu niambie viongozi wa chadema wanapodai haki zao wanafanaje na Ponda mpaka na wenyewe tuwaweke kwenye kundi la mtu anayehamasisha uhalifu?
Unaweza kutupa ushahidi wa madai haya? maana kama wewe umesikia lazima ipo copy ya hotuba hiyo na haiwezekani watu wote hapa JF wasiwe nayo. Please iwekeni hapa tumchambue huyu Sheikh Ponda. napenda sana kuwajua viongozi hawa wa dini hasa wanapozungumza maneno kama haya..
Samahani natoka kidogo lakini nitarudi kukusoma tafadhali niwekee ile kitu muhimu sana kwangu. Ni tag please.
Kamanda wa Polisi kanda maalum ni mkristu...
polisi 90% ni wakristo
Utacheka sana, lakini Mtatafuta pakwenda siku mtakayo ifungia Radio Imaan...na wewe ndo utakuwa mke wangu wa kwanza kabla sijaongeza wengine watatu.
Na mimi natoka...ila habari nzuri nilizozisikia kutoka kwa Kova ni kwamba: Operesheni kamatakamata wafuasi wa Ponda inaendelea...wanatakiwa wajisalimishe wenyewe...amesema kama Kiongozi wao Ponda amekamatwa , nao hawawezi kuachwa...amewasifu sana wakristu kwa uvumilivu wao maana na wenyewe wangekuwa wanalipuka na jazba hali ingekuwa tete. Naona mbagala ilikuwa ni wake-up call kwa jeshi la polisi.By Mkandara![]()
![]()
Unaweza kutupa ushahidi wa madai haya? maana kama wewe umesikia lazima ipo copy ya hotuba hiyo na haiwezekani watu wote hapa JF wasiwe nayo. Please iwekeni hapa tumchambue huyu Sheikh Ponda. napenda sana kuwajua viongozi hawa wa dini hasa wanapozungumza maneno kama haya..
Samahani natoka kidogo lakini nitarudi kukusoma tafadhali niwekee ile kitu muhimu sana kwangu. Ni tag please.