Mkuu wangu nitafurahi sana kama utanieleza badala ya haya aneno yanayozungumzwa humu. Sijajitoa Ufahamu isipokuwa napingana na dhana zinazokuzwa humu pasipo kuwa na uhakika nini hasa kimeajili. Mimi ni msikivu sana pale napoona sababu mbona ya Jussa na UAMSHO nawapinga siku zote iweje leo nisherekee kuchomwa kwa makanisa kama kweli ndilo kosa lake.Mkandara umejitoa ufahamu ningekwambia A to Z kilichomfanya ponda akamatwe bt you seems not ready to understand... Na hivyo basi sitapoyeza muda wangu na naomba member yoyote asipoteze muda ku'argue na ww
Nimesema siku zote hapa JF wamba UDINI tutautengeneza sisi wenyewe na serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria. UFISADI sio kuiba mali za umma tu ama kuhujumu uchumi, Ufisadi ni pamoja na kujenga mfumo usiothamini sheria has apale haki za wananchi zinapokwaza kwa kutumia turufu ya nguvu ya Dola na nidhamu ya woga.