Sio vibaya kama amekamatwa, Yapo mengi anatakiwa kujibu.
amekamatwa kafanya kosa gani? tuambieni au ndio ule ule mzimu wa nyerere unafanya kazi???
Sio vibaya kama amekamatwa, Yapo mengi anatakiwa kujibu.
Mkuu wangu sielewi kabisa ila navyosoma hapa JF inaonyesha kwamba kuna tuhuma ama ushahidi kuwa Sheikh Ponda anahusika na mauaji ya Mbagala. Lakini hizi tuhuma ni za hapa JF sielewi ukweli ni upi ktk kukamatwa kwake na kama amehusika kweli ipo kila sababu ya kukamatwa na kupelekwa mbele ya sheria lakini kinyume cha hapo kama ni sababu ya yale maandamano ya kupinga sensa, akasimama kuiomba serikali iwaachie huru waumini wa Kiislaam waliokamatwa - hapo sioni kama lilikuwa kosa la watu kushabikia kiasi hiki maana hata Dr.Slaa, Mbowe Lema, Tundu Lissu wote wameisha kamatwa kwa makosa ya kutetea wafuasi wa Chadema ambao walikisiwa kufanya vurugu.Mkandara si kwamba hajui kinachoendelea . Anajua fika hata makosa ya Ponda anayajua. Anachokifanya ni kufunga ubongo wake wa great thinker na kufungua wa kidini. Dini ni upofu unaomfanya hata Prof asijiulize kwanini ni muislamu, kwanini ni mkristu au mpagani. Kwa mambo mengine anajiuliza kila kitu ikfika kwa dini kafyata. Sasa kwa taarifa yako tu nikuambie kati ya dini hizi mbili.ukristo, uislamu. Kuna dini.moja ya shetani na dini.ya pili ni ya Mungu. Manake ni kuwa wale maprophesa, Madaktari, wasomi, wanasayansi ya jamii, wsgalme, marais na wale wote waliojaliwa hekima lakini wako kwenye dini ya shetani huku.wskiamini wsko kwenye dini ya Mungu ni wajinga na wapumbavu. Tafakari.
Mimi sijui kama kuna mwislamu mwenye akili timamu anaweza kushabikia uhuni wa namna hii! Throughout history, Waislamu wamekuwa watu wa shari na kwa sababu hiyo usilamu unapoteza heshima kila kukicha. Mwezi wa nne nilihudhuria kanisa moja hapa jijini kwa mwaliko wa rafiki yangu aliyekuwa anabatiza mtoto. Siku hiyo 40% ya wabatizwa walikwa ni watoto kati ya miaka 14-18 na % kuwa ni kutoka dini ya kiislamu. Hii inaonyesha ni jinsi gani hata watoto wanashwishika kuuhama uislamu kwa sifa mbaya uislamu unaojijengea. Matatizo haya yote yanatokana na udhaifu wa uongozi katika nchi katika kusimamia sheria na kujali usawa hasa katika elimu. Mimi sidhani swala hapa ni imani tu. Kubwa zaidi ni mapungufu katika elimu inayoweza kuwafanya wenzetu watoke huko waliko, wapate na kupambana kupata fursa mbalimbali, nje na ndani ya nchi. Hata masheikh wenyewe uwezo wao ni mdogo sana wa kuendana na kasi ya mabadiliko. Ndio maana mara nyingi nikisikiliza redio iman, huwa nashindwa kabisa kuamini. Elimu ndio mkombozi wa waislamu na si kuchoma makanisa kwani at the end of the day yatajengwa mengine na wale waliyoyajenga. Kwa kuyachoma, imani inazidi kwa wale waliochomewa. Kwa sasa serikali inapaswa kusimamia sheria, na kama inadhindwa basi jeshi lichukue nchi kwa muda. Looks like Kikwete amekuwa dhaifu mno au anatelekeza matakwa ya watu fulani. Kwa sasa taifa liko rehani. We don't see the state!! Hata usalama wa taifa haupo na ndio maana chochoko na mihadhara kupitia redio kama Iman inaendelea bila shinda huku magazeti yanayofichua ukweli kama Mwanahalisi yanafungiwa. We need a peaceful state, Otherwise we are doomed!!!
Mkuu wangu sielewi kabisa ila navyosoma hapa JF inaonyesha kwamba kuna tuhuma ama ushahidi kuwa Sheikh Ponda anahusika na mauaji ya Mbagala. Lakini hizi tuhuma ni za hapa JF sielewi ukweli ni upi ktk kukamatwa kwake na kama amehusika kweli ipo kila sababu ya kukamatwa na kupelekwa mbele ya sheria lakini kinyume cha hapo kama ni sababu ya yale maandamano ya kupinga sensa, akasimama kuiomba serikali iwaachie huru waumini wa Kiislaam waliokamatwa - hapo sioni kama lilikuwa kosa la watu kushabikia kiasi hiki maana hata Dr.Slaa, Mbowe Lema, Tundu Lissu wote wameisha kamatwa kwa makosa ya kutetea wafuasi wa Chadema ambao walikisiwa kufanya vurugu.
Wananchi wana kila haki na Uhuru wa kutoa maoni yao (freedom of expression). Ikiwa leo seirkali inapingana na maoni ya wananchi kwa sababu ya dini yao basi hiyo katiba mpya sijui itakuwaje. Na kila siku mnabishana na kina Ritz na Zomba humu mnawaita wao ndio wajinga, washenzi na wapumbavu wa kuitetea serikali. Serikali imekuwa ikitafuta ushahidi wa kumkamata Sheikh Ponda kutokana na mgomo na maandamano ya waislaam yalofanyika kupinga sensa ile hata kufikia kuharibu sensa nzima ya watu nchini...
Ifike mahala wanaChadema myapime maswala kwa kutazama makalio yenu wenyewe. Mnaiona Haki viongozi wenu wanawatetea wanaChadema lakijni hamuioni haki pale kiongozi wa Kiislaam anapopingana na Uongozi wa CCM. Kama Sheikh Ponda amehusika na njama zozote dhidi ya Wakristu na sio mfumo unaowakandamiza Waislaam basi nifahamisheni ili nami nishiriki ktk harakati hizi za kuwachambua viongozi hawa wa dini wanaosababisha UDINI..All I know Sheikh Ponda huikaripia serikali ya CCM kwa kuwakandamiza Waislaam kwa lugha ambayo hutoa hatadhari ya kwamba itafikia wakati Waislaam na wakristu watakuwa maadui..
Hapa ndipo mnapokosea sana wakristu kwa sababu wepesi sana kutukana matusi mazito mazito dini badala ya watu waliohusika tena ktk vitu ambavyo hamna ushahidi. Kuna tatizo gani kuifungia hiyo Redio Iman kwani inatakiwa saini ya Rais au..Nimewasoma sana hapa JF nadhani imefika mahala hili swala haina suluhisho lakini najua ukweli nikwamba Watanzania ni WOGA kupita maelezo. Mnauchonga sana mdomni nahata mkizibwa midomo basi maneno yatawatokea nyuma lakini vita hamuiwezi. CCM anatawala miaka 50 na atatawala tena miaka 50 kupitia sandiuku la Kura.
Huna sababu yoyote ya kunitukana miye nmeuliza Sheikh Ponda amekamatwa kwa sababu gani?.. Hivi wewe umeona taabu gani kunambia anahusika na mauaji ya Mbagala? nimesema mimi nsijui sababu na ningeomab nielezwe tayari mnaona ni mshabiki kwa sababu tu mnajua Mkandara ni Muslaam. Ningekuwa nauliza kukamatwa kwa Dr.Slaa msingeyasema yote haya. Na kama ungesema unachokifahamu wewe kuhusu kukamatwa kwake ungepoteza nini? au unajua fika hujui sababu isipokuwa unajaribu kuaminisha watu hapa JF kuwa Sheikh Ponda anahusika na mauaji ya Mbagala? Ni swali dogo sana niliuliza niitaka nijue maana tayari nyie mmeisha anza kufanya kampeni za Kidini kuwafanya watu waamini jambo ambalo hamlijui wala hamna Uhakika.Siku zote nitalaani unafiki.
Mkuu Mkandara, sisi wote ni Watanzania, lkn sasa imefikia sehemu tutambuane kwa hulka zetu. Nyinyi wenzetu mmekuwa MIZIGO. Mmekuwa mizigo kwa namna mnavyojiweka na kwa kudhania mnatetea kile mnachokiamini ilhali hamjui u wapi msingi wa imani yenu.
Hili swali lako kwa kifupi ni la kipumbavu.
Upumbavu wa swali lako unaambatana na unafiki wa wengi wenu. Naomba unisome kwa makini kabla hujakurupuka kusema umetukanwa au umeonewa. Mmekuwa na tabia ya kudumu ya unafiki ambao sielewi mmepofuka kiasi hamuoni au mnafanya makusudi mkidhania watu wengine ni wajinga.
Imekuwa kawaida yenu sasa kutokuwa na msimamo imani yenu inapoingia majaribuni kiasi mnakuwa na matamko mawili yanayopingana. Tukio la Mbagala mmelilaani na wengi wenu mkasema kuwa UISLAMU HAUFUNDISHI VILE. Haikuishia hapo, mkadai vile vile kuwa, tukio lile haliwezi kamwe kufanywa na Muislamu kwa kuwa ni kinyume cha mafundisho ya Marehemu Mohammad. Mkasema kuwa mambo yale machafu yamefanywa na watu wenye nia ya kuuchafua Uislamu. Mimi naamini hayo yote yamesemwa ili tu kutuaminisha kuwa Uislamu hauungi mkono vurugu.
Cha kushangaza (unafiki mbaya), unapofikia wakati wa sheria kuchukua mkondo wake dhidi ya watu ambao mwanzo mmewakana kuwa si Waislamu ila wana nia tu ya kuuchafua Uislamu, basi mnageuka. Hapo kauli yenu ni UISLAMU UNAANDAMWA.
Ina maana wahalifu wana uhusiano na Uislamu kiasi wakikamatwa mseme uislamu unahujumiwa?
Jana Channel Ten imemnukuu Sheikh Ponda akisema amesikitishwa na tukio lile na analilaani. Lakini alichotaka yeye ni kusikia serikali ikilaani kitendo cha mtoto kukojolea quran. Serikali haijalaani, bali imechukua hatua za kisheria kumfikisha mtoto yule mahakamani, vivyo hivyo kwa wezi wale na wavunjifu wa amani. Lakini Ponda anahoji kwa nini wamekamatwa.
Ujinga na unafiki wa Ponda, wewe unaurudia hapa. Hii tabia yenu si nzuri kwa kweli. Ikiwa tunataka tuonekane wengi, JUMA ni MUISLAMU, lakini JUMA akiiba KANISANI, JUMA sio Muislamu.
Kwa kweli mnachosha, tukiacha masihara, mmekuwa mzigo. Ndio hizi tabia zinafanya tunarudi nyuma hata katika mambo ya msingi. Wakati watu wanakazana kuibana serikali kudai mambo ya msingi kwenye katiba mpya, wenzetu mnadai haki ya kufuga ndevu na polisi kuvaa hijabu. Hii maana yake ni kwamba, mambo ya elimu, afya na ulinzi wa nchi yetu nyie kama kundi hamna maoni, mnaji- isolate na kuwa na maoni yenu kwa faida yenu na hayo mengine mnawaachia waliopewa jukumu la kuibeba nchi, au nisemeje?
Laana huonekana kwa matendo ya mwanadamu, na unafiki ni sehemu ya laana hiyo.
Hapa ndipo mnapokosea sana wakristu kwa sababu wepesi sana kutukana matusi mazito mazito dini badala ya watu waliohusika tena ktk vitu ambavyo hamna ushahidi. Kuna tatizo gani kuifungia hiyo Redio Iman kwani inatakiwa saini ya Rais au..Nimewasoma sana hapa JF nadhani imefika mahala hili swala haina suluhisho lakini najua ukweli nikwamba Watanzania ni WOGA kupita maelezo. Mnauchonga sana mdomni nahata mkizibwa midomo basi maneno yatawatokea nyuma lakini vita hamuiwezi. CCM anatawala miaka 50 na atatawala tena miaka 50 kupitia sandiuku la Kura.
Hapa ndipo mnapokosea sana wakristu kwa sababu wepesi sana kutukana matusi mazito mazito dini badala ya watu waliohusika tena ktk vitu ambavyo hamna ushahidi. Kuna tatizo gani kuifungia hiyo Redio Iman kwani inatakiwa saini ya Rais au..Nimewasoma sana hapa JF nadhani imefika mahala hili swala haina suluhisho lakini najua ukweli nikwamba Watanzania ni WOGA kupita maelezo. Mnauchonga sana mdomni nahata mkizibwa midomo basi maneno yatawatokea nyuma lakini vita hamuiwezi. CCM anatawala miaka 50 na atatawala tena miaka 50 kupitia sandiuku la Kura.
Kuna pahala itabidi tuwe tunaacha kuchanganya dini na siasa.Hakuna connection yoyote hapo zaidi ya kuonyesha hisia zinavyokutuma in a very wrong way...Ni angalizo tu mkuu wangu,kuna namna mnachanganya siasa na dini na ndiyo maana unahisi hayo mambo.Hilo linapelekea kutoa michango ambayo ni out of context.Tfadhali usifanye majumuisho na uangalie uanachama wa siasa tofauti na kuangalia imani ya mtu.Hayo ndiyo yamesababisha matatizo haya tunayoyashuhudia kwa kuwekeza chuki kwenye hisia za wana dini wenzenu,mambo kama mfumo kristo na mengineyo,mambo ambayo yanapelekea waislam kwenda kushambulia watu wa imani nyigine kwenye kila tatizo wanalokumbana nalo,iwe kisiasa,kijamii na hata kiuchumi.It is a very dangerous route.Hapa ndipo mnapokosea sana wakristu kwa sababu wepesi sana kutukana matusi mazito mazito dini badala ya watu waliohusika tena ktk vitu ambavyo hamna ushahidi. Kuna tatizo gani kuifungia hiyo Redio Iman kwani inatakiwa saini ya Rais au..Nimewasoma sana hapa JF nadhani imefika mahala hili swala haina suluhisho lakini najua ukweli nikwamba Watanzania ni WOGA kupita maelezo. Mnauchonga sana mdomni nahata mkizibwa midomo basi maneno yatawatokea nyuma lakini vita hamuiwezi. CCM anatawala miaka 50 na atatawala tena miaka 50 kupitia sandiuku la Kura.
Nimesema hivyo kwasababu wewe unajiita "Mwanachadema Muislam",kwa mantiki hii,haukisaidii chama chako wala dini yako,i'm just saying.Mkandara said:Ifike mahala wanaChadema myapime maswala kwa kutazama makalio yenu wenyewe. Mnaiona Haki viongozi wenu wanawatetea wanaChadema lakijni hamuioni haki pale kiongozi wa Kiislaam anapopingana na Uongozi wa CCM. Kama Sheikh Ponda amehusika na njama zozote dhidi ya Wakristu na sio mfumo unaowakandamiza Waislaam basi nifahamisheni ili nami nishiriki ktk harakati hizi za kuwachambua viongozi hawa wa dini wanaosababisha UDINI..All I know Sheikh Ponda huikaripia serikali ya CCM kwa kuwakandamiza Waislaam kwa lugha ambayo hutoa hatadhari ya kwamba itafikia wakati Waislaam na wakristu watakuwa maadui..