kosa ni nini?
Jmushi1, nimeandika haya baada ya kuwasoma wachangiaji walokuwa wakitukana matusi mazito na kutangaza vita. Sikuanzisha mimi hoja au mada hii. Kosa langu ni kuuliza Sheikh Ponda amefanya kosa gani? watu wanataka niamini kwamba anahusika na mauaji ya Mbagala jambo ambalo halikuwepo hapa kijiweni isipokuwa maswala ya Redio Iman.Kuna pahaka itabidi tuwe tunaacha kuchanganya dini na siasa.Hakuna connection yoyte hapo zaidi ya kuonyesha hisia zinavyokutuma in a very wrong way...Ni angalizo tu mkuu wangu,kuna namna mnachanganya siasa na dini na ndiyo maana unahisi hayo mambo.
Ifike mahala wanaChadema myapime maswala kwa kutazama makalio yenu wenyewe. Mnaiona Haki viongozi wenu wanawatetea wanaChadema lakijni hamuioni haki pale kiongozi wa Kiislaam anapopingana na Uongozi wa CCM. Kama Sheikh Ponda amehusika na njama zozote dhidi ya Wakristu na sio mfumo unaowakandamiza Waislaam basi nifahamisheni ili nami nishiriki ktk harakati hizi za kuwachambua viongozi hawa wa dini wanaosababisha UDINI..All I know Sheikh Ponda huikaripia serikali ya CCM kwa kuwakandamiza Waislaam kwa lugha ambayo hutoa hatadhari ya kwamba itafikia wakati Waislaam na wakristu watakuwa maadui..
Mkuu naomba Maxence na Invisible wakupe kazi ya Moderator maana unemwaga mapoint kuliko hata Kardinali Pengo na Askofu Malasusa
Jmushi1, nimeandika haya baada ya kuwasoma wachangiaji walokuwa wakitukana matusi mazito na kutangaza vita. Sikuanzisha mimi hoja au mada hii. Kosa langu ni kuuliza Sheikh Ponda amefanya kosa gani? watu wanataka niamini kwamba anahusika na mauaji ya Mbagala jambo ambalo halikuwepo hapa kijiweni isipokuwa maswala ya Redio Iman.
Nachojua mimi hii ni redio ya mtu ambaye kaisajili kwa kutumia jumuiya wa Waislaam huko Mrogoro. Hawa huenda na kurecord watu mbali mbali nchini ikiwa ni pamoja na huy Sheikh Ponda ktk propaganda zao za Kidini ambazo wananchi wameikemea serikali kwa muda mrefu lakini hadi leo ina operate..
Ponda sii mwanahisa wala mmiliki wa hiyo redio isipokuwa hawa jamaa hurekodi speach zake ambazo kusema kweli binafsi yangu sijazisikia isipokuwa moja inayohusu kuipinga serikali ktk swala la sensa, maswala ya MoU na hata NECTA ambayo kwa madai yake inatakiwa seirkali iyafanyie uchunguzi..I would..Kama mnayo hotuba yoyote ya Ponda inayoukashifu Ukristu ningeomba sana mniwekee ili nami nimjue huyu Sheik ni mtu wa aina gani lakini anapotetea maslahi ya waislaam sioni tatizo ndio kazi yake aloapa kuifanya kama navyowasikia Mbowe, Dr.Slaa, kwa Chadema wenyeviti wa Union iwe madaktari, walimu au mwenyekiti wa Wanawake na watoto nchini akilalamikia serikali. Hawa wote kama hukubaliani nao utawaona wanasababisha vurugu nchini..
Nitasema tena Wadanganyika mnapenda sana kuuchonga na kutangaza vita lakini hamuwezi vita na wala sii jambo la kuombea. Diplomacy inawezekana na tusiwe na jazba tuzungumze vitu kwa kituo tupate kujua kitu gani kinafanyika. Narudia tena kuuliza Ponda amefanya kosa gani? nambie halafu tutaendelea na mjadala..
mkuu punguza jazba, kosa la Ponda ni kueneza chuki na uchochezi.....kumbuka juzi kwenye kipindi cha mwangaza wa jamii radio Iman aliunga mkono na kuhamasisha waislam kote nchini kuiga waliyoyafanya wenzao kuvamia na kuchoma makanisa......Hapa ndipo mnapokosea sana wakristu kwa sababu wepesi sana kutukana matusi mazito mazito dini badala ya watu waliohusika tena ktk vitu ambavyo hamna ushahidi. Kuna tatizo gani kuifungia hiyo Redio Iman kwani inatakiwa saini ya Rais au..Nimewasoma sana hapa JF nadhani imefika mahala hili swala haina suluhisho lakini najua ukweli nikwamba Watanzania ni WOGA kupita maelezo. Mnauchonga sana mdomni nahata mkizibwa midomo basi maneno yatawatokea nyuma lakini vita hamuiwezi. CCM anatawala miaka 50 na atatawala tena miaka 50 kupitia sandiuku la Kura.
Nashukuru kwa kunisahihisha.. Ila ningependa sana hawa watu wanieleze kwa ufasaha what is happening.. Sheikh Ponda amekamatwa kwa kosa gani? maana nayaona yalomtokea Sheikh Kassim bin Jumaa alokuwa akiipinga Bakwata sasa Ponda anachukuliwa na watu mnashabikia kitu ambacho hamkijui.. Yalotokea Mbagala hayana nafasi, wahusika wote wanatafutwa na watakamatwa hilo halina Ubishi lakini ukweli siku zote utatuacha Huru, kinyume cha hapo tunaitafuta shari maana haya matusi nayoyasioma humu I swear, kuna watu watashindwa kuyabeba na kesho wataamka tena na kufanya ushenzi.. Hii sio njia ya kutafuta suluhu ya matatizo yetu ya Udini..Mkuu vurugu za mbagala hazijafikia hatua ya mauaji! Naomba nikurekebishe kidogo hapo, otherwise naunga mkono hoja zako nzito mkuu Mkandara.
Mimi sijui kama kuna mwislamu mwenye akili timamu anaweza kushabikia uhuni wa namna hii! Throughout history, Waislamu wamekuwa watu wa shari na kwa sababu hiyo usilamu unapoteza heshima kila kukicha. Mwezi wa nne nilihudhuria kanisa moja hapa jijini kwa mwaliko wa rafiki yangu aliyekuwa anabatiza mtoto. Siku hiyo 40% ya wabatizwa walikwa ni watoto kati ya miaka 14-18 na % kuwa ni kutoka dini ya kiislamu. Hii inaonyesha ni jinsi gani hata watoto wanashwishika kuuhama uislamu kwa sifa mbaya uislamu unaojijengea. Matatizo haya yote yanatokana na udhaifu wa uongozi katika nchi katika kusimamia sheria na kujali usawa hasa katika elimu. Mimi sidhani swala hapa ni imani tu. Kubwa zaidi ni mapungufu katika elimu inayoweza kuwafanya wenzetu watoke huko waliko, wapate na kupambana kupata fursa mbalimbali, nje na ndani ya nchi. Hata masheikh wenyewe uwezo wao ni mdogo sana wa kuendana na kasi ya mabadiliko. Ndio maana mara nyingi nikisikiliza redio iman, huwa nashindwa kabisa kuamini. Elimu ndio mkombozi wa waislamu na si kuchoma makanisa kwani at the end of the day yatajengwa mengine na wale waliyoyajenga. Kwa kuyachoma, imani inazidi kwa wale waliochomewa. Kwa sasa serikali inapaswa kusimamia sheria, na kama inadhindwa basi jeshi lichukue nchi kwa muda. Looks like Kikwete amekuwa dhaifu mno au anatelekeza matakwa ya watu fulani. Kwa sasa taifa liko rehani. We don't see the state!! Hata usalama wa taifa haupo na ndio maana chochoko na mihadhara kupitia redio kama Iman inaendelea bila shinda huku magazeti yanayofichua ukweli kama Mwanahalisi yanafungiwa. We need a peaceful state, Otherwise we are doomed!!!
wewe ndio maana watu wanakuita mnafiki umu ndani,leo ndio nimeprove unafiki wako...yani uhoni kosa la Ponda!!?...ooh Mungu tunusuru!!
Na Sheikh Ponda alizungumza kuhamasisha Waislaam wachome makanisa?..mkuu punguza jazba, kosa la Ponda ni kueneza chuki na uchochezi.....kumbuka juzi kwenye kipindi cha mwangaza wa jamii radio Iman aliunga mkono na kuhamasisha waislam kote nchini kuiga waliyoyafanya wenzao kuvamia na kuchoma makanisa......
Nashukuru kwa kunisahihisha.. Ila ningependa sana hawa watu wanieleze kwa ufasaha what is happening.. Sheikh Ponda amekamatwa kwa kosa gani? maana nayaona yalomtokea Sheikh Kassim bin Jumaa alokuwa akiipinga Bakwata sasa Ponda anachukuliwa na watu mnashabikia kitu ambacho hamkijui.. Yalotokea Mbagala hayana nafasi, wahusika wote wanatafutwa na watakamatwa hilo halina Ubishi lakini ukweli siku zote utatuacha Huru, kinyume cha hapo tunaitafuta shari maana haya matusi nayoyasioma humu I swear, kuna watu watashindwa kuyabeba na kesho wataamka tena na kufanya ushenzi.. Hii sio njia ya kutafuta suluhu ya matatizo yetu ya Udini..
Jmushi1, nimeandika haya baada ya kuwasoma wachangiaji walokuwa wakitukana matusi mazito na kutangaza vita. Sikuanzisha mimi hoja au mada hii. Kosa langu ni kuuliza Sheikh Ponda amefanya kosa gani? watu wanataka niamini kwamba anahusika na mauaji ya Mbagala jambo ambalo halikuwepo hapa kijiweni isipokuwa maswala ya Redio Iman.
Nachojua mimi hii ni redio ya mtu ambaye kaisajili kwa kutumia jumuiya wa Waislaam huko Mrogoro. Hawa huenda na kurecord watu mbali mbali nchini ikiwa ni pamoja na huy Sheikh Ponda ktk propaganda zao za Kidini ambazo wananchi wameikemea serikali kwa muda mrefu lakini hadi leo ina operate..
Ponda sii mwanahisa wala mmiliki wa hiyo redio isipokuwa hawa jamaa hurekodi speach zake ambazo kusema kweli binafsi yangu sijazisikia isipokuwa moja inayohusu kuipinga serikali ktk swala la sensa, maswala ya MoU na hata NECTA ambayo kwa madai yake inatakiwa seirkali iyafanyie uchunguzi..I would..Kama mnayo hotuba yoyote ya Ponda inayoukashifu Ukristu ningeomba sana mniwekee ili nami nimjue huyu Sheikh ni mtu wa aina gani lakini anapotetea maslahi ya waislaam sioni tatizo ndio kazi yake aloapa kuifanya kama navyowasikia Mbowe, Dr.Slaa kuwatetea wananchi na Chadema, Wenyeviti wa Union iwe madaktari, walimu, watumishi wa serikali au Jumuiya ya Wanawake na watoto nchini wakilalamikia serikali. Hawa wote kama hukubaliani nao utawaona wanasababisha vurugu nchini..
Nitasema tena Wadanganyika mnapenda sana kuuchonga na kutangaza vita lakini hamuwezi vita na wala sii jambo la kuombea. Diplomacy inawezekana na tusiwe na jazba tuzungumze vitu kwa kituo tupate kujua kitu gani kinafanyika. Narudia tena kuuliza Ponda amefanya kosa gani? nambie halafu tutaendelea na mjadala..