Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Sheikh Ponda akamatwa Dar!

acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.

Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazui watoto wao.

sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.
Kilichotokea Mombasa nacho ni cha kusimuliwa miaka 50 ijayo? Mbona jamaa ameshanyooshwa na upepo umepita na unasahaulika sasa?
 
acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.

Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazui watoto wao.

sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.
Wee jamaa zuzu kweli, hivi wewe unadhani wakristo ni mapoyoyo wa kuendelea kuwaangalieni tu mnapofanya huo uhuni wenu? Hivi nyie mtafanya fujo wapi? Nakuhakikishia, iwapo tutaanza mapigano ya stahili hiyo, basi huo ndo utakuwa mwisho wa Uislam bara. Nawaambieni wote mtahamia Zanzibar, maana hatasalia Mwislam popote. Believe me or not. watu wenyewe mmezoea kunywa gahawa na kwenda msikitini mnaweza kupigana na nani?
 
Kama unakubali kile kitendo cha kuharibu na kuiba mali walichofanya waislam kule mbagala ni uhalifu, basi ni lazima ukubali kwamba shehe ponda kafanya kosa kubwa kuwapongeza wale waislam na kuwahimiza waislam tanzania nzima wafanye kile kitendo. Kama serikali iko serious , shehe ponda ni lazima anyee debe kwa kosa la uchochezi!

kwa kosa la kupongeza....kwamba aliwapongeza na kuwataka wafanye nchi nzima...really?.
Even so mchungaji mtikila ndo bingwa wa matamshi ya dizaini hizo na hadi leo yuko free.
Bila kumsahau slaa,ambae anakesi mahakamani ambazo serikali ilishazigeuza maagizo,huwaga hazitolewi hukumu zinapigwa tarehe tu.
 
acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.

Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazui watoto wao.

sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.

Ngoja nikuulize swali ndugu yangu usiye na akili. Kuna mtu alikwambia Mkristo hawezi kushika panga?

Ujinga wenu ni kudhania kuwa kuna mtu anawaogopa. Kaa ukijua kuwa ni mtu mjinga tu ndio huamini katika machafuko, lkn hiyo bado haimaanishi kwamba mwenye ufahamu hana makucha.
 
Kwani Kuidhalilisha Qur'an ni kosa dogo?

Tatizo ni huko Tanganyika waandishi wa habari wamejawa ushabiki wa kidini kiasi cha KUSAHAU CHANZO na kushabikia MATOKEO. Ni mara ngapi tumeshuhudia vyombo va habari vya huko vikiandika watu wenye hasira wamemchoma moto na kumuua kibaka. Lakin haviandiki hata siku moja watu wenye hasira wamemuua Mtu.

Kumbuka kuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican huko Tanzania Dr Mokiwa amewaomba radhi waislam kwa kitendo alichofanya muumini wake. Lakin utashangaa suala hili huko Tanzania halijaonyeshwa wala kuandikwa ila tumemuona na kumsikia katika Aljazeera News. Je hao waandishi wenu wa habari wnawapeleka wapi?

Poleni sana. Tuombe Mola mengi tutayasikia.

Two wrongs don't make a right. Pamoja na hiyo ni lazima uangalie mazingira yaliyopekea Qoran kukojolewa.
 
Kwani Kuidhalilisha Qur'an ni kosa dogo?

Tatizo ni huko Tanganyika waandishi wa habari wamejawa ushabiki wa kidini kiasi cha KUSAHAU CHANZO na kushabikia MATOKEO. Ni mara ngapi tumeshuhudia vyombo va habari vya huko vikiandika watu wenye hasira wamemchoma moto na kumuua kibaka. Lakin haviandiki hata siku moja watu wenye hasira wamemuua Mtu.

Kumbuka kuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican huko Tanzania Dr Mokiwa amewaomba radhi waislam kwa kitendo alichofanya muumini wake. Lakin utashangaa suala hili huko Tanzania halijaonyeshwa wala kuandikwa ila tumemuona na kumsikia katika Aljazeera News. Je hao waandishi wenu wa habari wnawapeleka wapi?

Poleni sana. Tuombe Mola mengi tutayasikia.

This is none sense, mara ngapi waislamu tena watu wazima wenye akili timamu wamechoma biblia hadharani na wakristu hawakufanya kitu? Mbona hata kule mlikovamia makanisa mmechoma biblia tumenyamaza kimya? Sisi dini yetu ndo inatufandisha hivyo, mtume wetu anatufundisha katika Luka 6: 27 kwamba tusilipe visasi na tuwapende adui zetu kama ninyi waislamu. Tofauti na mtume wenu anayefundisha magomvi. Sijui kama kweli ni mtume kutoka kwa Mungu au kwa shetani.

Maana Mungu ni mpole na mwenye huruma. Mungu huwanyeshea mvua wema na waovu, huwabariki wanaomwabudu na wasiomwabudu. Kama Mungu angekuwa na tabia kama za mtume wenu ni dhahiri kwamba wale wote wasiomwabudu na wanaomtukana kila siku wasingekuwepo kabisa duniani. Jiangalieni na huyo Mungu wenu mnayemwabudu - Mungu wa magomvi.
 
Siamini mtu aliyesoma anaweza kuharibu na kuiba mali za kanisa. Huo ni ukosefu mkubwa wa elimu si ya dunia tu, bali hata ya ahera!!

Je mtu aliyosoma na kulelewa kimadili anaweza sio tu kukojolea kitabu cha Cha Dini yake au Ningine. lakin sifikirii hata kama ataweza kukojolea daftari lake la skuli?

Je ina maana mtoto huyo hajapata mafunzo yale ya sunday school?
 
Mjinga ww,watu wakiongea ukweli wanaitwa wachochez, wamezoea kutufanyia mabaya sasa wanaumbuliwa wanataka ifungwe weweee si tuko tayar kufa, are you?

uko tayari kufa wapi wewe!mnatafuta tu sababu ili muende kuiba sadaka zetu na vinanda,hamna lolote nyie na njaa zenu.
 
acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.

Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazui watoto wao.

sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.
Mkubwa hatishiwi nyau...Kama mtu anavunja sheria za nchi kwa nini achekewe??? Sheria lazima zichukue mkondo wake hapa.
 
Ngojeni ijumaa tutoke kwenye swala, watamuachia wenyewe tu, serikali yenyewe dhaifu
 
Kwani Kuidhalilisha Qur'an ni kosa dogo?

Tatizo ni huko Tanganyika waandishi wa habari wamejawa ushabiki wa kidini kiasi cha KUSAHAU CHANZO na kushabikia MATOKEO. Ni mara ngapi tumeshuhudia vyombo va habari vya huko vikiandika watu wenye hasira wamemchoma moto na kumuua kibaka. Lakin haviandiki hata siku moja watu wenye hasira wamemuua Mtu.

Kumbuka kuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican huko Tanzania Dr Mokiwa amewaomba radhi waislam kwa kitendo alichofanya muumini wake. Lakin utashangaa suala hili huko Tanzania halijaonyeshwa wala kuandikwa ila tumemuona na kumsikia katika Aljazeera News. Je hao waandishi wenu wa habari wnawapeleka wapi?

Poleni sana. Tuombe Mola mengi tutayasikia.

Ujinga wako haufichiki ndugu yetu, sheria hailinganishi makosa na kuamuru kwa kuwa kosa la kwanza ni kubwa basi aliyekosewa naye avunje sheria.

Askofu kuomba radhi ni kwa kitendo cha mtoto aliyekosa maadili kiasi akakojolea kitu cha mtu mwingine, hiyo haimaanishi kuwa anaunga mkono wezi nyinyi kuiba vitu kanisani na kuchoma moto kanisa.

Mlipochoma makanisa kule Zanzibar, nani aliomba radhi kwa hilo? Au kule nako mlikojolewa kwa hiyo ikawa haki yenu kuyachoma?
 
Katika kumbukumbu zangu, mauwaji ya kimbali nchini rwanda na burundi yalihamasishwa zaid na radio. mi binafsi sijawahi kuisikia hiyo radio make nipo kandaya ziwa, ila kutokana na laana nyingi za wana JF nahisi ni tatizo kubwa. Nacho omba wale wenye umbwa wanaoshika dhamana walifanyie kazi jambo hili la hii radio imaan 😛oa
Maadamu umesema unaishi kanda ya ziwa basi akili yako haipishani na ya samaki KAMONGO.
 
Je mtu aliyosoma na kulelewa kimadili anaweza sio tu kukojolea kitabu cha Cha Dini yake au Ningine. lakin sifikirii hata kama ataweza kukojolea daftari lake la skuli?

Je ina maana mtoto huyo hajapata mafunzo yale ya sunday school?
Kweli huyo mtoto ana tatizo..lakn tatizo kubwa lipo kwa yule mwenzie aliyemdanganya kuwa atageuka mjusi
 
Je mtu aliyosoma na kulelewa kimadili anaweza sio tu kukojolea kitabu cha Cha Dini yake au Ningine. lakin sifikirii hata kama ataweza kukojolea daftari lake la skuli?

Je ina maana mtoto huyo hajapata mafunzo yale ya sunday school?

Ni dhahiri hakupata. Mtoto yeyote aliyepitia Sunday School hawezi fanya kitendo cha kipuuzi kiasi kile. Na huo ndio uzuri wa Sunday School kwani huko mtoto hufundishwa maadili mema na upendo.

Nashukuru umejua sasa kuwa ni mtoto. Sasa jiulize busara iko wapi mtoto anapokosea na watu wazima nao wakaamua kukosea. Tena majizi yasiyo na aibu
 
Jamani ki ukweli amani tunaipenda, kila ninapotizama Tv na kuona habari za Pakistan, Syria na kwingine natamani kulia maana watu wanavyoteseka... Sasa Mponda asilete ya kule kuja huku. Au mpelekeni SYRIA mwezi mmoja akapumzike. GOMESA ...SOMA
 
Uhuni wake hautokani na kukamatwa na polisi bali matendo yake. Nakushangaa sana kama wewe ni muislamu mwenye akili timamu halafu unamwona Ponda ni kiongozi mwenye heshima! Hizi kauli zenu ndo zinaudhalilisha sana uislam na kuufanya uonekane ni dini ya wakorofi na wenye uwezo mdogo wa kuchambua mambo. Hivi haya anayofanya Ponda bado yanamqualify kuwa sheik mwenye heshima kweli? Achani kuudhalilisha uislam nyie!
mwenye macho na akusome na mwenye kusikia na akusikie,chezea elimu akhera weye!
 
kwa kosa la kupongeza....kwamba aliwapongeza na kuwataka wafanye nchi nzima...really?.
Even so mchungaji mtikila ndo bingwa wa matamshi ya dizaini hizo na hadi leo yuko free.
Bila kumsahau slaa,ambae anakesi mahakamani ambazo serikali ilishazigeuza maagizo,huwaga hazitolewi hukumu zinapigwa tarehe tu.
Kwa mtazamo wako huo basi neno 'Uchochezi' litakuwa halina maana kabisa na inabidi tulitoe kwenye kamusi yetu. Lakini Ponda aliongezea kwamba kuanzia sasa waislam watakuwa wanadai haki zao bila kufuata sheria za nchi na kazi ndiyo imeanza...na hilo na lenyewe sijui utalisemeaje?
 
Back
Top Bottom