Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Familia moja watoto 20 kama ni baba ukapanga kuwapeleka international school labda ST Mary kila mtoto 2,000,000 utaweza? ndo maana hawana msaada kazi kucheza bao, shule wanakomaa wenye vipaji tu, akili za kawaida kazi yao kuimba madrasa

hiyo sio issue tunayoongea.hata hivo vipi hao wakikua na kwenda kupiga kura.wadhani wanaweza chagua padre au shehe awe rais?
 
waarabu katika nchi zao huwa na radio maalumu ya kuwachochea watu kuichukia Israel, marekani na Ulaya magharibi. Vile vile wana magazeti maalum ya kuandika propaganda za kuichukia Israek na Marekani na Ulaya. serikali lazima ilifunge gazeti la al noor na kitua cha radio cha imani. halafu lazima ipunguze maofisa wa ubalozi hapa nchini na kubakiza wawili tuu.

w atanzania sio tukubali kugawika kwa dini. Hii ni mbaya sana na mwisho wake tutakuja kuwa kama Ivory Cost, somali na lebanon. halafi ligi kuu haitapendeza.

je amerika na ulaya hawana media ambazo kazi yake ni kueneza propaganda za kuuchukia uislam na waislam????
 
one step ahead ni sawa na kuuwawa kwa Osama bin laden.Dhaifu amekuwa strong! Big up mwema,kova na msangi
 
one step ahead ni sawa na kuuwawa kwa Osama bin laden.Dhaifu amekuwa strong! Big up mwema,kova na msangi
leo mwema anasifiwa,,,,sio mwema yule anawaambia polisi waue,,,,si yule mnayesema apelekwe ICC???,
MSANGI UNAYEMZUNGUMZIA HAPA SI YULE ULOMZUNGUMZIA WAKAT WA DR ULI,,,,,,
WAZEE WA NDIMI 2 BHANA
 
Najaribu kufikiria amekamatwa kwa kosa gani? Au anahusishwa na uchomaji wa makanisa huko Mbagala.

Kama watafuata Rules of Law na kumfikisha mahakamani NI LAZIMA ATASHINDA kwani siku zote mahakama zinasimamia FACTS na sio Rais au Mkuu wa mkoa kasemaje.

Hii nainasibisha na kesi ya Almarhum Sheikh Kassim Bin Jumaa wa msikiti wa Mtoro kariakoo na sakata la Uvunjaji wa mabucha ya Nguruwe. Nakumbuka wakili Mussa Kwikima na Hussein Mucaddam waliigaragaza Serikali.

Ok tuwe na subra. Cha msingi ni haki yake ya kuwekewa dhamana
.
 
Nani au umepata wapi? mafundisho hayo ya kuwa mtu akiwa SHEIKH ni MCHOCHEZI?.....Haya ndiyo mambo ambayo Jamii kwa ujmla yanatakiwa kuyaangalia na siyo kuangalia yanayojiri baada Dharau kufanywa......Hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa miaka kama 5 hivi anasoma Chekechea Kanisa fulani (jina nalihifadhi) Wakipita watu waliovaa KANZU za kiislamu huyu dogo Utamsikia anasema MAJINI hao wanapita, sasa huwa najiuliza Mtoto huyu maneno haya anayatoa wapi? ni mafundisho? je siku akionywa kwa kuchapwa bakora Mzazi wake ataridhia? au itakuwa kama Mbagala?...... Tujifunze kuvumiliana......ACHENI KUCHANA, KUKOJOLEA, KUCHOMA Vitu vya ibada za wenzenu halafu tuone kama kuna vurugu tena.....UTOTO HAUVUNJI MAADILI YA JAMII...

Unauliza nini sasa na ulishasikia ni sheikh¿? Zaidi ya uchochezi unafikiri ni nini tena.
 
Ni taarifa za kweli na
aliwindwa kwa siku tatu ili akamatwe katika mazingira salama yasiyoweza
kuibua mtafaruku na huu ni mwanzo, huenda hatua kubwa zaidi
zitachukuliwa kwa Redio Imani.

Ndugu wanajanvi tuwe makini sana na viongozi kama hawa.
 
Ndio maana nimeomba mnifahamishe.. yeye kafanya nini na kama unazo hotuba zake niwekee hapa tumjue sote huyu mtu ni wa aina gani?..nasikia tu watu wakisema amekamatwa sielewi kosa lake hivyo nashindwa kuchangia jambo.

Labda kosa la uchochezi mkuu
 
Ijumaa hii nahama mji.......
000000000islamsemina.jpg
 
...alhamdullillah...afanyiwe haki...na apewe kila kinachomstahili kwa haki...mi nilishawahu kukasirishwa na kauli zake nilizozisikia ktk redio iran wakati mmoja alipodai ati mapinduzi ya zanzibar zilikuwa ni hila na njama za nyerere ...kana kwamba wazanzibar wote wakiridhika na utawala ulewa sultani wa kiarabu...kana kwamba wazanzibar hususan wa "asli ya afrika"...mashambani, wakiridhika na dhuluma zile walizokuwa wakifanyiwa...naweza kuwa namkosea lkn mtizamo wangu kwake ni...yeye ni aina ile ya masheikh tunaowasikia (kwa masheikh wenzao lkn) ambao (kwa mujibu wa masheikh hao wengine tunaowasikia) ni vibaraka wa wanasiasa fulani, na hata hutumiwa na balozi za mataifa fulani fulani yanyoyojiita ya kiislamu (kama ni kweli, sababu taifa la kiislamu linapaswa liwe kama ilivyokuwa dola ya kiislamu ya madina wakati wa bwana mtume s.a.w na si vinginevyo) kwa malipo..kuhamasisha "hoehae wakuelewa mambo ya kidunia na ya ki-fiqih ya kiislam"...kufanya maandamano ambayo hayana tija yoyote kwa waislamu, kama jamii na kwa taifa ...sana sana kwake yeye binafsi ktk tamaa zake hususan za mambo ya kiulimwengu..
 
Hata hivyo Uvumilivu wa wakristo karibu unafikia mwisho maana makanisa yanayochomwa yanajengwa kwa michango na sadaka zao SI Miskiti inayojengwa kwa misaada ya waarabu ili iitwe majina yao. Ponda na hao anaowatuma wajue kuwa wakristo miskiti wanaiona pia.
 
Ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Ubungo 2015 na kuishtua mfumo kristo uliomuweka mbunge wa sasa!!
yes kama ni kwel itakuwa kheri kwani jaman ni bonge la kirusi.kwani ukiacha usheke anafanya shughuli gani zingine?
 
Kwani mkitangaza Jihad na mkaanza kupigana na kuuwa wenzenu ndio mtapata haki?si ndio mnaharibu kabisa na mwishowe mnashindwa hata kupata mnachokihitaji.Hebu angalia nchi zilizo jitia kupigania haki wenyewe kwa wenyewe,hazina chochote zaidi ya kujiharibia tu na kukosa hata maasha ya maana kwenye mazingira wanayoishi kwani kutwa wanatembea na bunduku,mawe,mabomu na hakuna kusali wala kuzalisha mali mwishowe ni umaskini tu.
Mungu hakumwumba mwanadamu aje kupambana bali alimpa nchi na vyote vikaavyo viwe mali yake na avitawale ili aweze kuishi na siyo kutafuta maisha kwa binadamu mwenzie.Chukua hatua ,mobilize wenziwe mje na miradi ya maendeleo,tumieni resources zilizopo kusaidia vizazi vilivyopo na hatimae kila kaya itaishi kwa amani na upendo.
 
Najaribu kufikiria amekamatwa kwa kosa gani? Au anahusishwa na uchomaji wa makanisa huko Mbagala.

Kama watafuata Rules of Law na kumfikisha mahakamani NI LAZIMA ATASHINDA kwani siku zote mahakama zinasimamia FACTS na sio Rais au Mkuu wa mkoa kasemaje.

Hii nainasibisha na kesi ya Almarhum Sheikh Kassim Bin Jumaa wa msikiti wa Mtoro kariakoo na sakata la Uvunjaji wa mabucha ya Nguruwe. Nakumbuka wakili Mussa Kwikima na Hussein Mucaddam waliigaragaza Serikali.

Ok tuwe na subra. Cha msingi ni haki yake ya kuwekewa dhamana
.
Kama unakubali kile kitendo cha kuharibu na kuiba mali walichofanya waislam kule mbagala ni uhalifu, basi ni lazima ukubali kwamba shehe ponda kafanya kosa kubwa kuwapongeza wale waislam na kuwahimiza waislam tanzania nzima wafanye kile kitendo. Kama serikali iko serious , shehe ponda ni lazima anyee debe kwa kosa la uchochezi!
 
Kama wanafikiri IJUMAA hii watachoma makanisa hakika wajue watatukuta na nasema Wakristo itakuwa historia wajaribu tena waone maana wakitoka Msikitini ijumaa watakuja na yale ya Mbagala sasa wajue hawatakuta makanisa meupe kamwe tutalinda imani yetu na makanisa yetu.
 
Vurugu za ‘waislamu’ wa Mbagala ni matokeo ya serikali dhaifu ambayo badala ya kushughulika na ugonjwa katika hatua ambapo dalili zinaanza kujitokeza inasubiri kwanza mpaka ugonjwa ulipuke. Kitendo cha kufumbia macho mahubiri ya kichochezi ndani ya nyumba za ibada na mihadhara inajaza waumini wa dini zote chuki ambazo wanaziweka kifuani na mwisho wa siku wakipata upenyo wanazitoa chuki hizo kupitia hasira zitokanazo na hata jambo dogo tu.

Kama kashfa za kidini, tena hadharani na kwenye vyombo vya habari, uchochezi wa kidini, mahubiri ya chuki yaachiwa hivi hivi tu basi tutarajie nini zaidi ya vurugu miongoni mwetu. Serikali inaweka pamba masikioni mpaka inafikia hatua hii ya uharibifu mkubwa wa mali na tukizubaa tutafikia hatua ya kuuana kisa dini zetu za mapokeo hizi. Kama vyombo vya dola vinashindwa kudhibiti hali hii, nini matarajia ya wananchi kwa usalama wao na mali zao. Serikali dhaifu kwa nchi yeyote ni janga kubwa.
 
Kwa kweli shehe ponda mie binafsi ninampenda sana ila tabia zake za chuki ndiyo ninazichukia.
Unajua watu wengine sijui ni uhuru umewazidi maaana wao siku zote utakuta kazi zao ni kueneza chuki na uchochezi,watu hawa wachukuliwe hatua kali za kisheria.

Nawakumbusha kuwa kuna sheria ya chuki na uchochezi na ni hai ila basi tu.Hata hii Redio Imani itambue kuwa imeanzishwa kisheria na ni lazima iiheshimu sheria na taratibu za nchi hii kuliko kufyatuka kwa kupandikiza chuki na uchochezi.

Wakina ponda kazi yao ni kutaka kuona nchi hii haitawaliki, ila wajue kuwa wanaachwa tu kwa sababu tz tumezidisha siasa lakini tungekuwa kama URUSSI,USA na nhi nyingine za JUMUIA YA KIARABU ambazo hazitaki ujinga ujinga wa akina ponda.


Mimi naamini kabisa RADIO IMANI inaendeshwa kiuweledi mkubwa sana kwani kwa jinsi inavyowindwa basi saa hizi ingekuwa imeshafungiwa.

Radio hii wapo makini sana kueleza UKWELI bila kupendelea upande wowote japo Watawala na wale wenzao wa upande wa PILI itawauma. Kwani siku zote walizoea kubebwa na kudekezwa.

Mimi ushauri wangukwa WATANGANYIKA badala ya kuleta ujanja wa Mbuni kufukia kichwa chini kupisha majanga. NI VIZURI KULETA MJADALA WA KITAIFA BADALA YA KUJIKITA KATIKA MAS'ALA YA MUUNGANO NA HILI LA UDINI LAZIMA MLIJADILI KWA KINA SANA.

Kwani kwa wachambuzi wa mambo na matukio tunaona wazi NJE YA MUUNGANO WENU mtaingia kwa kasi sana katika VITA VYA KIDINI. Kwani waislam wa huko tanganyika ambao mliaminishwa kuwa hawajasoma, mbumbumbu, wajinga sasa wamesoma, wajanja na wanataka haki zao sawa sawa katika nchi yenu.

Wamchoka kpuuzwa na kudhauriwa kunakofanywa na wenzao wa upande wa Pili.

Mwalimu JK Nyerere aliwahi kusema katika moja ya hotba zake akanena Wazanaki wanasema “ UBUBISUBISU OBUWERE EKIRO KIRIMBURA” akiwa na maana ya MFICHAFICHA MARADHI KILIO KITAMFICHUA.
 
Back
Top Bottom