Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Sheikh Ponda akamatwa Dar!

Ujinga wako haufichiki ndugu yetu, sheria hailinganishi makosa na kuamuru kwa kuwa kosa la kwanza ni kubwa basi aliyekosewa naye avunje sheria.

Askofu kuomba radhi ni kwa kitendo cha mtoto aliyekosa maadili kiasi akakojolea kitu cha mtu mwingine, hiyo haimaanishi kuwa anaunga mkono wezi nyinyi kuiba vitu kanisani na kuchoma moto kanisa.

Mlipochoma makanisa kule Zanzibar, nani aliomba radhi kwa hilo? Au kule nako mlikojolewa kwa hiyo ikawa haki yenu kuyachoma?

Nianze sai , nianze nkate?

Tuache sharia ichukue mkondo wake. Tuombe haki isimame na kutendeka kwa wote.

 
MGANGA WA KIENYEJI katishie ukoo wako!! pathetic! kama amekosa aadhibiwe kama mwanadamu yeyote yule, na kama hana hatia aachiwe! period! USITAKE KUTISHA TISHA WATU!
 
Last edited by a moderator:
Kwani Kuidhalilisha Qur'an ni kosa dogo?

Tatizo ni huko Tanganyika waandishi wa habari wamejawa ushabiki wa kidini kiasi cha KUSAHAU CHANZO na kushabikia MATOKEO. Ni mara ngapi tumeshuhudia vyombo va habari vya huko vikiandika watu wenye hasira wamemchoma moto na kumuua kibaka. Lakin haviandiki hata siku moja watu wenye hasira wamemuua Mtu.

Kumbuka kuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican huko Tanzania Dr Mokiwa amewaomba radhi waislam
kwa kitendo alichofanya muumini wake. Lakin utashangaa suala hili huko Tanzania halijaonyeshwa wala kuandikwa ila tumemuona na kumsikia katika Aljazeera News. Je hao waandishi wenu wa habari wnawapeleka wapi?

Poleni sana. Tuombe Mola mengi tutayasikia.


hapo ndipo tofauti ya viongozi wa Kikristo na Kiislamu ilipo , Ni kweli Mokiwa kaomba radhi kwa kadhia ile, lakini Mokiwa hakuwashawishi waumini wake wakachome moto misikiti kwakua kuna Bible ziliunguzwa kwenye makanisa hayo...hiyo ndio Ishara ya uongozi na hekima iliyotukuta.

Huyu Ponda anafanya dini zenye ushari na hatari , anatamani kuishi kwenye Taifa lenye Waislamu watupu, kitu hiko hakiwezekani, na mimi bado nashangaa akili za watu anaowashawishi kuchoma moto makanisa, wakati huo huo wanasema kuwa chanzo cha tukio zima ni mabishano ya watoto wakiislamu na yule kijana aliekojolea Quran, sasa kama ni mabishano ya watoto MAKANISA YANAHUSIKAJE.

Tukio lile lilipangwa , maana Tangu Jumatano wao wanakuja kuchoma moto makanisa Ijumaa, AIBU KWA WAISLAMU WA MBAGALA WALIOHUSIKA NA UHAMBA HUO.
 
Sasa isiwe akamatwe kwa sababu wameamua kumtoa kafara; Ponda hajaanza leo kusema anayoyasema. Kama muda wote (miaka yote) wameweza kumvumilia imekuwaje leo waamke na kusema wanamkamata? Kama kosa ni yale ya Mbagala au anayoyasema ukweli ni kuwa itakuwa ni kumuonea! Kosa ni la serikali inayotawala. Ukiacha mlango wazi kwenye zizi kila sikuw watu wanakuambia chui ataingia na kula mbuzi nawe ukapuuzia siku chui akiingia na kula utalaumu zizi kwanini halikufungwa?
Mkuu kwa hiyo Kama Serikali walizembea waendelee kumwacha aendelee na uchochezi?
 
Kwani Kuidhalilisha Qur'an ni kosa dogo?

Tatizo ni huko Tanganyika waandishi wa habari wamejawa ushabiki wa kidini kiasi cha KUSAHAU CHANZO na kushabikia MATOKEO. Ni mara ngapi tumeshuhudia vyombo va habari vya huko vikiandika watu wenye hasira wamemchoma moto na kumuua kibaka. Lakin haviandiki hata siku moja watu wenye hasira wamemuua Mtu.

Kumbuka kuwa Askofu mkuu wa Kanisa la Anglican huko Tanzania Dr Mokiwa amewaomba radhi waislam kwa kitendo alichofanya muumini wake. Lakin utashangaa suala hili huko Tanzania halijaonyeshwa wala kuandikwa ila tumemuona na kumsikia katika Aljazeera News. Je hao waandishi wenu wa habari wnawapeleka wapi?

Poleni sana. Tuombe Mola mengi tutayasikia.


Sasa Barubaru wewe nae ujitahidi kuonyesha utofauti na hawa watu aina ya uamsho.

Waingereza wana msemo wao maarufu "two wrongs does not make it right" lakini wewe unaonekana kuwa na mawazo sawa na sheikh ponda katika suala hili.

Kwanza unaelewa kwamba tayari yule mtoto amekwishafikishwa mahakamani kujibu mashitaka yanayomkabili, na vivyo hivyo waislamu wote walioshiriki kuchoma na kupora makanisa nao wamekamatwa na kufikishwa mahakamani, kwahiyo hapo ni sheria ya nchi tu ndiyo inafanya kazi. Na katika hilo kwakuwa sheikh ponda mekuwa akitoa maneno mengi ya chuki dhidi ya wakristo na hata hili la mbagala amelitumia kuwapongeza waislamu na kuwataka waendelee kufanya hivyo hivyo nchini kote, basi atafikishwa mahakamani kujibu tuhuma zinazomkabili kama wengine.

Na kwa suala la Askofu mkuu wa kanisa la Anglikan kuomba radhi kwa muumini wake kwa kitendo alichofanya huo ndio uongozi wa kiroho unatakiwa kuwa. Sasa ninyi ndugu zetu mbona hatujasikia mkiomba radhi kwa matendo maovu ya wenzenu wa mbagala? Kwanini ndugu zako walifikia hatua ya kupora fedha(zaka na sadaka) pamoja mali nyengine za kanisa? manake baadhi ya vitu vimekamatiwa majumbani mwao.

Kwahiyo ndugu yangu sidhani kama na wewe unaswihi kutetea huu ujinga unaofanywa na sheikh ponda.
 
Last edited by a moderator:
Two wrongs don't make a right. Pamoja na hiyo ni lazima uangalie mazingira yaliyopekea Qoran kukojolewa.

kweli kabisa lakini pia pamoja na hayo ni lazima uangalie mazingira yaliyopelekea makanisa kuchomwa.
 
quote_icon.png
By MGANGA WA KIENYEJI
Acheni kudanganya wenzenu enyi majirani zetu. Ponda akikamatwa, au akifanyiwa uhalifu wowote hata kwa bahati mbaya. Kitakachotokea matahadithia kwa miaka hamsini mingine kwa wale watakao kua hai.

Kumbekeni nini kilitokea mombasa baada ya kupigwa risasi kwa sheikh aboud rogo, na watu eti wasiojulikana. Vijana wa kiisalamu walichukua mwili wa marehemu na kwenda kumzika kimya kimya. Walipo rudi, nadhani mlisikia nini kilichotokea. Ilibidi waombwe wazazi wa kiislamu kuwazuia watoto wao.

Yaani kama kuna maadui wa kiislamu wanaojidai kupambana na uislamu, basi jueni vijana wa kiislamu wao wamepinda zaidi. Endeleeni kuwachokoza. Kama uliangalia vizuri, zile vurugu za mbagala ziliongozwa na watoto wa madrasa tu.

Sasa mkamateni sheikh ponda, ndio mtawajua kaka zao wale watoto wa madrasa.

Ponda hayuko juu ya sheria. Anaweza kuitwa kuhojiwa wakati wowote ili kuweka jambo bayana. Hivyo mnavyo shangilia kua kakamatwa huo upotofu wa taarifa.

Ponda haongei uchochezi. Anaongea kwa hoja na ndio maana sheria haiwezi kumtia hatiani. Kuweni waelewa.

Kama ponda angekamatwa kwa staili hiyo, saa hizi tungekua tunaongea habari nyingine. Waislamu wote tunajua wajibu wetu katika kuwalinda viongozi wetu.
Wako tunao tumia busara katika hili, lakini wapo vijana wao ni kazi pale wanapo amrishwa.

Hii nchi tusipo kua na adabu na nidhamu, juu ya imani na tofauti zetu, basi msishangae tukigawana milango na madirisha.

Hatupendi tufike huko, lakini hatuko tayari kua second citizen katika nchi tulio ipagania. Mlicho tufanyia ni sawa sawa na kumtu kukuomba lifti, na wewe unampa kwa roho mmoja kama binadamu mwenzako, kumbe ni jambazi. Bahati nzuri tumeshtuka, before it is too late.

Sasa ukitaka kujua ladha ya sumu onja.
Tanzania bado tuna kazi kubwa.
 
Kwa mtazamo wako huo basi neno 'Uchochezi' litakuwa halina maana kabisa na inabidi tulitoe kwenye kamusi yetu. Lakini Ponda aliongezea kwamba kuanzia sasa waislam watakuwa wanadai haki zao bila kufuata sheria za nchi na kazi ndiyo imeanza...na hilo na lenyewe sijui utalisemeaje?

na aliyesema TUTAHAKIKISHA NCHI HAITAWALIKI.HATUMTAMBUI RAIS NA NGUVU YA UMMA ITAITOA SERIKALI MADARAKANI...Kama si uchochezi sijui utalisemeaje?
 
Sijajua tatizo la sheikh Ponda.Tujuzane nn matatizo ya huyu sheikh Ponda
 
ni kweli wamemkamata maana ni janga kwa taifa letu akati yeye sio mtz...mbona sheikh mkuu hana reasons kama zake...a behave bwana, hatutaki kuwa kama somalia na vita

Si ana uhakika vurugu zukitokea nchini atakimbilia RWANDA/BURUNDI - he has nothing to loose, kwa mawazo yangu Serikali yetu ianzishe operation maalumu ya kuhoji kiundani URAIA wa baadhi ya watu ambao wanaonekana wana nia thabiti ya kutaka kuanzisha vurugu za kidini nchini. Mtu ambaye hataki kuelewana hata na mkuu wake wa DINI atakuwa na agenda gani za SIRI kuhusu mstakabali wa TAIFA letu!! Nilimsikiliza kwenye luninga jana jioni - yaani kauli yake inaonyesha wazi wazi kwamba hakuwa na hoja yoyote ya msingi zaidi ya kulahumu kila kitu kuhusu Serikali ya JK - mpaka akajisahu kujilahumu mwenyewe.

Baada ya kuona vituko hivi hatarishi ndio nikakumbuka ni kwa nini Raisi J.K.Nyerere alikuwa mkali kupindukia inapokuja suala la kuleteleza mambo ya UDINI, Mzee wangu aliwahi kunieleza kwamba wakati wa enzi za Nyerere sio kwamba mambo yalikuwa shwali - kuna watu walikuwa wanajaribu sana kutaka kuanzisha vurugu za kidini lakini nasikia Kambarage alikuwa anawatia mbaroni kimya kimya at a hypersonic SPEED - JK na Serikali yake nawashauri wamu-emulate Kambarage; tukilaza damu mambo ya BOKA ARAM yatatu-haunt. Wenzetu Serikali ya Kenya suala hili wamekwisha lishtukia na wanalifanyia kazi bila utani.
 
Je mtu aliyosoma na kulelewa kimadili anaweza sio tu kukojolea kitabu cha Cha Dini yake au Ningine. lakin sifikirii hata kama ataweza kukojolea daftari lake la skuli?

Je ina maana mtoto huyo hajapata mafunzo yale ya sunday school?

Ni kweli mtoto aliyekojolea hicho kitabu hana malezi mazuri ya kitabia na kiimani,na unaweza kuta ni Mkristo jina tu,kama tulivyo wengi wetu. Ni wachache sana wanaishi ktk misingi ya dini zetu hizi!
 
MGANGA WA KIENYEJI,

Wewe jamaaa, umejifunzia wapi kutisha mtu? unadhani nyie ndo wenye mikono tu? unadhani wakristo hawapo wenye miguu? unataka sema whole tanzania is for u guys? mbona kwetu musoma idadi yenu hata haiwezi tambulika? usitutishe maaana hatuogopi na usipo kaa sawa maafa yakitokea usijikute we wa kwanza kulala horizontal...maana we wont keep quite bt we gonna start resisting....ila kwa usalama wa taifa tume pozi tu...ila ponda lazima hatiwe hatiani...kwanza nani mkuu ponda ama simba? mbona hana nidhamu huyu mtu? halafu nackia sio mbongo? ila kwakweli inabidi tupeleke vijana wetu katika elimu dunia ili wasitumiwe katika kuiangusha nchi yao kama wajinga..
 
Last edited by a moderator:
Sheikh Mkuu ni GALASA ndio maana hawezi kuwa na reasons km za ponda.
Tunataka hao polisi ccm watueleza ponda kafanya nini mpaka akamatwe.bla ya hzo facts,basi itakuwa ni kupoza mfumo kristo kwa kile kichowakuta mbagala.
sasa unataka sema sheikh mkuu ni galasa? nani aliemchagua? na kama mnaongozwa na galasa wamaanisha nini sijakuelewa? then wewe unaona mtu anaendekeze udini ndo jembe zaidi ya yule anaetaka mema? nadhani Mungu wa sheik simba na yule wa ponda ni tofauti... sasa sijui wewe wamfuata nani? mtaka mema ama mtaka maovu?
 
Mpaka sasa hakuna ushahidi wa kudhihirisha kuwa serikali ya Iran imekuwa ikishiriki kuanzisha na kuendeleza chuki za kidini Tanzania, japo yawezekana kuna vikundi au watu wa Iran na Sudan ambao wamekuwa nyuma ya ujenzi wa chuki za kidini. Watu hao ni maadui wa Watanzania na ni maadui wakubwa wa Waislam. Kama wana upendo na Waislam, basi wangewasaidia Waislam wa Tanzania kuwajengea shule nzuri, hospitali nzuri na vyuo vizuri. Lakini kwa kuwa furaha yao siyo maendeleo ya Waislam bali kuona Watanzania wanagombana wenyewe kwa wenyewe, kamwe hawawezi kuyafanya hayo maana wakiyafanya hayo waislam wa Tanzania wataerevuka na kukataa kulishwa chuki na mambo mengine ya kijinga.

Kwa sasa amani ya Watanzania inategemea sana busara na hekima ya Wakristo, waislam wenye busara na Watanzania wote wenye nia njema na Taifa letu kuhakikisha Tanzania haigeuki kuwa kituo kipya cha magaidi kama Ponda na wenzake wanataka kiwe. Huko nyuma tumehsuhudia jinsi Mungu wa kweli ambavyo ameendelea kusimamia amani ya Watanzania. Miaka ya nyuma walitokea waliojiita mashekhe (siamini kama kweli walikwa mashekhe) Kassim na Mwaipopo, walipiga sana kelele za kueneza chuki baina ya Wakristo na Waislam, lakini siku ya mwisho, Mwenyezi Mungu kwa mapenzi yake, na kwa wakati alioona unafaa aliwapumzisha na kuiacha Tanzania inaendelea. Wale wenye imani waendelee kuomba, na Mungu kamwe hataacha kuwasikia. Nguvu ya binadamu pekee haiwezi kuishinda nguvu ya Mungu. Ponda na wenzake watapita lakini Taifa letu daima litasimama kwaajili ya Watanzania wote wenye mapenzi mema.

na ule wa roma pia ufungwe
 
ITS REAL AMAZING N EXCITING
ONE PONDA KEEPS THEIR HEADS RINGING....!!
:kev::bump2::bange::msela:
 
Ingekuwa ni amri yangu ningemfanya kama yule sheikh wa Kenya kule mombasa, kwani hili ni janga kubwa kwa taifa hata TV Imaan nayenyewe inahamasisha chuki ifungwe kabisa kwani wao nani katika nchi hii hata viongozi wawaogope kiasi hicho pamoja na vurugu zote hizo,
 
Back
Top Bottom