Sio swala la Udiaspora linalojadiliwa hapa. Huyo Sheikh Ponda ndiye ana own hiyo redio au ni member wa Islamic Foundation Tanzania Broadcasting (IFTB)?Matatizo ya Diaspora ndio haya. omba kwanza upewe clip za Redio Imaan ndio utamjuwa huyo Shehena Ponda.
RADIO IMAAN FM on USTREAM: RADIO IMAAN FM is Islamic Radio under The Islamic Foundation Tanzania Broadcasting live from MOROGORO Town Tanzania. Which is br...
Believe me, atawekwa kizuizini kwa muda tu halafu ataachiwa huru, Radio Imani haitafanywa kitu, lakini kama ingekuwa ni Radio ya kikristo inakashfu uislamu ingefungwa mara moja. Sababu ni kuwa waislamu wakikashfiwa wanahamaki na kufura haraka sana na kufanya vurugu, lakini wakristo wakikashfiwa huwa wanakuwa watulivu na wakimya.Ni taarifa za kweli na aliwindwa kwa siku tatu ili akamatwe katika mazingira salama yasiyoweza kuibua mtafaruku na huu ni mwanzo, huenda hatua kubwa zaidi zitachukuliwa kwa Redio Imani.
usijitoe ufahamu Mkandara kama ni mfuatiliaji wa mambo mbalimbali lazima ufahamu.. Otherwise ww ni mgen wa mambo yatokeayo nchiniSheikh Ponda amefanya kosa gani?..tujue kwanza kisha tutajadili kitu kinachoeleweka haya ya kudandia treni tu kusema kweli wengine hatuwezi.. Tuambieni kafanya nini kufikia kukamatwa..
Ndio maana nimeomba mnifahamishe.. yeye kafanya nini na kama unazo hotuba zake niwekee hapa tumjue sote huyu mtu ni wa aina gani?..nasikia tu watu wakisema amekamatwa sielewi kosa lake hivyo nashindwa kuchangia jambo.usijitoe ufahamu Mkandara kama ni mfuatiliaji wa mambo mbalimbali lazima ufahamu.. Otherwise ww ni mgen wa mambo yatokeayo nchini
Si wamfanye kama shekh Abdull Rogo, watu tuishi kwa upendo na amani.
money money money i hear about you very well but you dont me. he he heh