Zanta
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,028
- 793
Kumwambia mtu ukweli sio kumbeza, nani kawakataza kusoma?Nimependa majibu yako lakini,nakueleza hawo watu unaowabeza ndio wataishi pamoja na watoto wetu tunawapeleka expensive English Medium.
Kumwambia mtu ukweli sio kumbeza, nani kawakataza kusoma?Nimependa majibu yako lakini,nakueleza hawo watu unaowabeza ndio wataishi pamoja na watoto wetu tunawapeleka expensive English Medium.
Mtandao si pahala salama pa kujificha na uhalifu Mkuu. Labda utakumbuka aliyechezea picha ya Kikwete aonekane anafirwa si walikuja kumkata tu. Internet haina siri kabisa Mkuu. Utapatikana tu! Dead or alive!
Kumbuka mtu mpole au mkimya anapoamua vita haitaisha mpaka kieleweke...
Waislam mnafanya kosa kubwa sana kudhani nyinyi tu ndo wenye haki miliki ya Hasira.
Upande wa pili una binadamu, na hao wanao uwezo wa hasira. Jipe muda uone kama
yataishaje.
wataandamana mpaka ofisi ya wizara ya mamabo yandani na washinikiza atolewe kama walivyofanya kwa wale waliogomea sensa
Inakuwaje nchi isiyokuwa na imani inakuwa na redio ya hivi na inarusha matangazo ya ubaguzi wa dini waziwazi na hakuna hatua yoyote ile inachukuliwa dhidi yake!ndo ule udhaifu nini?Bado na huyu kirusi RADIO IMAAN anazidi kueneza chuki baina ya watz na kutugawa kwa misingi ya udini wake.
tatizo hawa jamaa ni anti-socialradio imaan povu limeshaanza kuwatoka nawasikiliza hapa
Sasa isiwe akamatwe kwa sababu wameamua kumtoa kafara; Ponda hajaanza leo kusema anayoyasema. Kama muda wote (miaka yote) wameweza kumvumilia imekuwaje leo waamke na kusema wanamkamata?
Kama kosa ni yale ya Mbagala au anayoyasema ukweli ni kuwa itakuwa ni kumuonea! Kosa ni la serikali inayotawala. Ukiacha mlango wazi kwenye zizi kila sikuw watu wanakuambia chui ataingia na kula mbuzi nawe ukapuuzia siku chui akiingia na kula utalaumu zizi kwanini halikufungwa?
Ama kweli unyimwe mali siyo akili! Tuna safari ndefu ya kuwaelimisha hawa watu
ujue ndugu yangu suala si kumkamata ponda.tatizo ni kwamba nyuma yake kuna wanaomuunga mkono ambao watakuwa wakifanya fujo.sasa katika mazingira hayo ndo maana japo inafahamika uanavunja sheria,kuepuka kusababisha matatizo makubwa zaidi,inabidi kuanza kwa kumshawishi kuwa mstaarabu kwanza.ndo maana unakuta hata serikali zinakutana na viongozi wa waasi kwa mfano,lakini badala ya kuwakamata wanaishia kufanya mazungumzo na kuondoka na wakati inafahamika waasi ni wavunjaji sheria wa hali ya juu.kukamatwa kwa ponda ni kazi rahisi.
Swali ni je kwa hali ya mfumo wetu wa utoaji haki ilivyo sasa ponda atawajibika kwa matendo yake ya kuhatarisha amani ya nchi hii iliyodumu kwa takribani miaka 50 tangu taifa hili lipate uhuru wake.
Hiyo radio imani na ponda ni msaada wa serikali ya Iran. Ponda pale mwembachi pamoja na shehe kasim walikuwa wanalipwa $200.00 kila week ili kumkashifu yesu hadharani.Hapo sijakupata mwanakijiji. Kwa hiyo kama kwa muda mrefu ulikuwa unaacha mlango wa zizi wazi kwa kuamini kwamba chui hataingia, lakini ikatokea siku moja akaingia hutachukua hatua? Kinachoonekana ni kwamba serikali ilikuwa inampuuza kwa muda mrefu. Sasa imeanza kuona matunda ya kauli za huyu mhuni, na imechukua hatua.
Kama ni kwa mfano wako basi, serikali inachukua hatu za kufunga zizi ili huyu chui asirudi tena. Ninaungana na wale wanaosema polisi wasiishia kwa Ponda tu, bali waende mbali zaidi kwa kuifuta kabisa Radio Iman na gazeti la Al-nuur. Hivi ni virusi vibaya sana kwa mstakabali wa amani yetu. Sioni kibaya kwa serikali kuchukua hatua hiyo.
Kwa taarifa yako mimi SI mnyakyusa. Unakurupuka na conclusions--kama ilivyo kawaida yenu wafugaji wa majini nyie na kuvaa visuruali vifupi. Ninazungumza nina taarifa za kuaminika. Agenda ya Iran Kuisilimisha Tanzania ilianzia kipindi cha Ali Hassan Mwinyi. Imeongezewa Chachu kipindi hiki cha Kikwete.
Mimi sioni ubaya kushawishi watu kuwa Waislamu,lakini likifanyika kwa kubomoa makanisa linakosa taste. Huo unakuwa wehu. Unataka Ubalozi wa Vatican Ufungwe. Toa sababu. Ana finance terrorism wapi?
Ndio maana nimeomba mnifahamishe.. yeye kafanya nini na kama unazo hotuba zake niwekee hapa tumjue sote huyu mtu ni wa aina gani?..nasikia tu watu wakisema amekamatwa sielewi kosa lake hivyo nashindwa kuchangia jambo.
Christine mimi hii redio huwa naiskiza sana tu bidada,,,,maswala mengi yanayozungumzwa pale ni mfumo kristo na uonevu wanaofanyiwa waislam,case study ya juz kwa bi ndalichako,bila waislam kulalama ndo ingekua ntolee ile,,,sasa redio hii imesaidia kukemea hayo,,,,,tatizo liko wapi hapo,,,,binafsi frends zangu since kindergaten hadi hapa nilipo most are christian hatujawah kuleteana mzaha kwenye iman,,,,nimeish nao room moja,napotaka kusali wanazima redio wanasubir nisali,wala hatujawah kubaguana,lakin kwa sasa kuna some sort of dharau miongon mwa watanzania kwa kigezo cha dini
maneno walioyasema MAASKOFU kuwa KIKWETE ni chaguo la MUNGU yametimia!
Nakuelewa sana,na najua c waislam wote,coz mi nina ndugu na marafiki waislam tunaishi vzr sana!....back 2 radio,mfano mdogo,baada ya tukio la mbagala,km ulimckiliza ponda vzr!aliwapongeza mislim kwa kwa walichofanya(kuchoma hayo makanisa) na kuwasihi wasirudi nyuma!hebu niambie kwa kiongozi km yy alitakiwa kufanya hivyo?