Sheikh Ponda aachiwa huru

Toka awekwe ndani matukio ya tindikali yamepungua kama sio kuisha. Natumaini ataishi bila chokochoko.
Kuna mwenzake Kenya aliitwa Makaburi. Baada ya serikali ya Kenya kuchoka issue zake wakafanya yao. Angalau kumetulia.

SI bure utakua MKATOLIKI MAANA WAKATOLIKI WANA HISTORIA YA KUTAKA KUUMALIZA UISLAMU DUNIANI

MAUAJI YA HISPANIA
 
Naamini anaweza kudai fidia sasa....Wamemnyanyasa sana mzee wawatu.....
Hivi kila ukishinda kesi unaruhusiwa kudai fidia?

Unfortunately hapana! Kutokupatikana na hatia kwenye kesi ya jinai hakuna maana kuwa ni lazima utalipwa fidia; yote inatokana na uamuzi wa mahakama katika kukuona kuwa huna hatia. Hukumu ya kuwa serikali haikutoa ushahidi wa kutosha inaonyesha kuwa kulikuwa na probable cause lakini serikali imeshindwa kuprove. Hiyo ni tofauti kabisa na hukumu kuwa ushahidi umeonyesha huna kesi ya kujibu,
 
Magufuli kamuokoa... ila huyu jamaa asipo jiunga ISIS au Al-Shabab, mtaona...!!

Ampigie magoti Magufuli...!!
 
Magufuli kamuokoa... ila huyu jamaa asipo jiunga ISIS au Al-Shabab, mtaona...!!

Ampigie magoti Magufuli...!! Hongera Magufuli, umetenda haki..
 
Toka awekwe ndani matukio ya tindikali yamepungua kama sio kuisha. Natumaini ataishi bila chokochoko.
Kuna mwenzake Kenya aliitwa Makaburi. Baada ya serikali ya Kenya kuchoka issue zake wakafanya yao. Angalau kumetulia.

kwa maana yako ni kuwa yeye ndio alikuwa anawamwagia watu tindikali
 
wameshindwa kesi ya chadema/mawazo

kwa ponda pia wameangukia pua! hivi hawa wanashinda kesi zipi za mita mia tu.
 
Duuu...nikimuona huyu mzee Ponda namkumbuka
kamanda kova alivyokuwa akimsaka kila pembe
hasa pande za TMK.
 
Haya Ponda kaatulie sasa..
Sio baada ya wiki tuanze kukusikia kwenye CD

Magufuli kamuokoa... ila huyu jamaa asipo jiunga ISIS au Al-Shabab, mtaona...!!

Ampigie magoti Magufuli...!! Hongera Magufuli, umetenda haki..

Katafuteni mabwana nyie wagalatia.
Huyu mzee kaonewa kwa sababu ya Imani yake.
Mahakama chini ya hakimu mgalatia pia imekosa sababu ya kumfunga.
Wamefanya dhuluma ya ajabu sana na huyu mzee lzm akamate Mwanasheria Wa maana ili hii serikali ya Kipumbavu Ilipe fidia.

Huyo angekuwa Baba yenu mzazi msingekuja kumwaga uharo wenu hapa.
Nyamafu wahed.
 
ShEikh Ponda alianza kuisumbua serikali toka enzi za Mwinyi, akaja Mkapa akaja Jk wote wamemshindwa, sasa ni zamu ya Ngosha, tuone kama ataweza.

Ndio tunaanza ukurasa mpya tumuone kama atajirekebisha au ataendelea na ligi.
 
Toka awekwe ndani matukio ya tindikali yamepungua kama sio kuisha. Natumaini ataishi bila chokochoko.
Kuna mwenzake Kenya aliitwa Makaburi. Baada ya serikali ya Kenya kuchoka issue zake wakafanya yao. Angalau kumetulia.

Na mtu km wewe kuwepo uraiani ni kuzidisha maambukizo ya ukimwi na magonjwa ya Zinaa.
Viumbe wa aina yako inatakiwa wachomwe zile sindano za mbwa kichaa wasitembee tena.
Mtoto wa zinaa kuropoka ni jadi zenu.
 
Back
Top Bottom